Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Asante kwa kutufahamisha kuwa mke wako anaakili timamu kuliko wewe.Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Good. Mie nitapiga kura ya ndio saa tatu asubuhi kwa Jembe la waTz JPM.Probably uko sahihi.Ila jibu langu ni lilelile simpi bora niharibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Good to know.ThanksGood. Mie nitapiga kura ya ndio saa tatu asubuhi kwa Jembe la waTz JPM.
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
inabidi akatize salama NEC kwanza kwani kuna watu lukuki mule wamejiandaa na vichinjio vyao ready!!Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mke wangu chadema damu, anasema safari hii ni T2020 JPM, kijijini kwao kwenda ni mkeka tu na maji na umeme umefika sasa. Humuelezi kitu sasa hivi, hivyo hakijaaribika kitu. Wanapisha barabarani wako anaenda huku wangu anaenda huku.
Swali zuri sana hili maana kapotea ghafla zile Kiki zote za zimamoto kushineh 😂kwanza yuko wapi
Una uhakika by November atakuwepo???Tatizo linakuja umpe usimpe atatangazwa
Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
Anajua lakini kuwa kakimbia mjini kujificha kijijini mwezi sasa ili asiongoze mapambano ya koona? Eti ujemedari kampa Dada Ummy?Mimi mke wangu chadema damu, anasema safari hii ni T2020 JPM, kijijini kwao kwenda ni mkeka tu na maji na umeme umefika sasa. Humuelezi kitu sasa hivi, hivyo hakijaaribika kitu. Wanapisha barabarani wako anaenda huku wangu anaenda huku.
..ni kwasababu mlisema Magufuli ni sawa na Nabii Musa.
..lakini ktk kupambana na corona amekuwa kama Idi Amin ambaye alikimbia vita Kampala akaenda kujificha kijijini kwao Koboko.
..huyu amevuruga uchumi, amebomoa misingi umoja wa waTz, ameleta chuki na uhasama ktk siasa zetu, chini ya uongozi wake ukabila umechomoza waziwazi. heshima ya nchi kimataifa imeporomoka.
..kwa kifupi Magufuli ame-prove kuwa ni failure na hafai kupewa kipindi kingine cha miaka 5.
Sijampa kura yangu wakati ule kwa sababu niliona udhaifu wake mapema safari hii hata akigombea udiwani kura yangu hapati kwa sababu amethibitisha bila shaka yoyote kuwa angefaa abaki kuchunga mifugo tu labda ndo ataweza. Miaka mingine mitano itakuwa janga kuliko Covid-19!Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app