PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuhusu maji ni uongo Nina week 3 sijaona tone la maji linadondoka.bombani, kwanza tangu Samia ashike madaraka ya urais sijawahi kuona hata bomba Moja la maji jipya likitandazwa mkoani kwangu.
Hizo shule unazojaribu kunihadaa kwamba amejenga yeye ni uongo mwingine mpya. Kuhusu ajira na mengine hayo ni muendelezo wanuongo.
Basi kama uoni endelea na roho mbaya yako
 
Kwa tume hii Mimi nilikwishakataa baada 2015 sitapiga Kura tena hata kama chadema wangeshiriki uchaguzi
 
Wanajua kuwa uchaguzi huwa ni maigizo yenu huwa hakuna Uchaguzi zaidi ya nyinyi kupora haki za kuchagua kwa njia haramu za kishetani
Unatakiwe ufie kwenye uwanja wa vita mkuu, hakuna simple way always
 
Hili swali tata!

Nitashiriki vipi uchaguzi usiokuwepo?

No Reforms no Election?
 
Nitashiriki mapema sana mm na familia yangu na wale ndugu zangu wa kijijini nishawaambia kura ni kwa Samia tu kiukweli mm kuvumilia foleni siwezi ila foleni niliyoikuta siku najiandikisha niliivumilia ili ikifika siku niwe nina haki ya kumpigia kura Samia
 
Mara ya mwisho kupiga kura Mimi ni Ile 2010 Slaa na kikwete. Kwa Sasa huo ujinga tuwaachie ninyi. Muda huo mnapiga kula sitakuwa kazin Kwa kisingizio naenda kupiga kura kumbe nachakata mbususu Kwa Raha zoteee
 
Kwahy kumbe watu hua wanaenda kupiga kura kisa Chadema wanashiriki?
 
Mimi na familia yangu sitopiga kura kabisa, miaka yote napoteza nguvu zangu kwenda vituo vya kura, bora nilale usingizi au nikae na manati sehemu kutungua wakuda
 
Mara ya mwisho kupiga kura Mimi ni Ile 2010 Slaa na kikwete. Kwa Sasa huo ujinga tuwaachie ninyi. Muda huo mnapiga kula sitakuwa kazin Kwa kisingizio naenda kupiga kura kumbe nachakata mbususu Kwa Raha zoteee
Mm huo muda wa kupiga kura nitakuwa navuta shuka vzr kitandani nilale nipate afya, tena naomba Mungu hy siku mvua inyeshe mana ndo usingizi unakuwa mtaamu
 
Mm huo muda wa kupiga kura nitakuwa navuta shuka vzr kitandani nilale nipate afya, tena naomba Mungu hy siku mvua inyeshe mana ndo usingizi unakuwa mtaamu
Daa 98,,% ya walio comment wamesema hawapigi kura, CCM kazi wanayo
 
Back
Top Bottom