PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wenye nchi walisema hata usipowapigia kura bado wao ndio wataunda serikali.

Kiufupi uchaguzi wa hii nchi ni usanii tu
 
Huku niliko hawataki kusikia uchaguzi bila kuwepo kwa chadema.

Wanadai chadema ni Simba na CCM ni Yanga.
Kukosekana kwa mmoja hakuna mechi.
 
Chadema kwa sasa hawajui hata Wanachokiamini, wanatembea na fikra za Facebook
Wanajua kuwa uchaguzi huwa ni maigizo yenu huwa hakuna Uchaguzi zaidi ya nyinyi kupora haki za kuchagua kwa njia haramu za kishetani
 
Sitapiga kura mimi na nimepanga kabisa safari ya ukooo nje ya nchi ni bora nisiwepo na nisishuhudie
 
Uchafuzi wa nini tena na mama kwshashinda kwa 100%? Why wasting time? No reforms no election ndugu
 
Kijana Mimi ni mwanaume. Sitamchagua kwasababu mpaka sasa sijaona Wala kuelezwa kitu chenye tija alichofanya. Ndugu yangu katika taarifa nyingi nilizopata kuhusu yeye ni kusafiri safiri. Na kuhusu Ile royal tour, labda mengine yapo ila sijasikia Wala kuyaona.
26 shule za sayansi kwa wanawake kila mkoa,maji yamesambaa,umeme wa rea asilimia 90,Kajitunze kuhusu Mradi wa HEET, watumishi wanapenda madaraka,ajira Zina mwagwa,busisi,daraja la mwalimu Nyerere, hospital Zipo za kutosha, Mabadiliko ya Elimu ,Amali,amani,demorasia, diplomacy
 
26 shule za sayansi kwa wanawake kila mkoa,maji yamesambaa,umeme wa rea asilimia 90,Kajitunze kuhusu Mradi wa HEET, watumishi wanapenda madaraka,ajira Zina mwagwa,busisi,daraja la mwalimu Nyerere, hospital Zipo za kutosha, Mabadiliko ya Elimu ,Amali,amani,demorasia, diplomacy
Kuhusu maji ni uongo Nina week 3 sijaona tone la maji linadondoka.bombani, kwanza tangu Samia ashike madaraka ya urais sijawahi kuona hata bomba Moja la maji jipya likitandazwa mkoani kwangu.
Hizo shule unazojaribu kunihadaa kwamba amejenga yeye ni uongo mwingine mpya. Kuhusu ajira na mengine hayo ni muendelezo wanuongo.
 
Siwezi kushirikiana na wezi,matapeli,walaghai,walarushwa,wahujumu nchi,wahuni...
Siwezi kushirikiana na timu ya uchafuzi!!
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Acha Hangaya ajipigie yeye na machawa yake....maana anaogopa hadi kivuli chake.....atawateka wagombea wote siku hiyo abakie yeye tu........
 
No reforms no elections
similarly to expecting results from what you know

Ni sawa na kutegemea matokeo chanya kwenye uchafuzi, (kwenye jambo unalo lijua)

Kutegemea matokeo chanya toka kwa watu ambao hawana maadili, (bao la mkono), lakini wao wanataka uwe na maadili, kikikiki 😭
 
Back
Top Bottom