Yeye ni lazima agombee. Usipopiga, utakaa nyumbani ila mawe yatampigoa na atashinda. Utasikia na kura yako imehesabiwa kwamba umemchagua.Nitapiga kura, isipokuwa kura yangu sitampa Samia suluhu Hassan endapo akigombea. Kura yangu hatopata kwa hakika.