Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
- Thread starter
- #21
Kwanini tena mkuu,😁😁 kwani chama cha kupigia kura ni CDM, tu, wapo Chauma huku tunakula wali tu, unaujua wali wewe???😁Sitashiriki
Kwanini tena mkuu,😁😁 kwani chama cha kupigia kura ni CDM, tu, wapo Chauma huku tunakula wali tu, unaujua wali wewe???😁Sitashiriki
Nitampigia kura Samia. Legacy ya mwanamke wa kwanza kupigiwa kura za urais na kushinda ni muhimu kwa mabinti zangu.Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Hakika itakuwa ni siku njema sana.Nitashiriki mapema sana mm na familia yangu na wale ndugu zangu wa kijijini nishawaambia kura ni kwa Samia tu kiukweli mm kuvumilia foleni siwezi ila foleni niliyoikuta siku najiandikisha niliivumilia ili ikifika siku niwe nina haki ya kumpigia kura Samia
Same here!Hata Kama wangekuwepo hao chadema nisingepiga kura
Huwezi kupata takwimu sahihi kwa Mazingira haya yalivyo !Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Kapige kura hukoSITAPIGA KURA
Bora fujo inayozuia wizi, uporaji, ufisadi na uuaji kuliko utulivu unaochochea mambo hayo!Wamesema watajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kwani kile chama kinachojinasibu kuzuia uchaguzi na kuleta fujo kitakuwa hakipo
Kwani mapolisi hawaji na vibegi vyao mgongoni?
Sidhani kama wanalalamikagaHivyo vyama 18 vilivyosaini hizo kanuni za kuibiwa kura, visije na stori za kuibiwa kura baadaye!
Gentleman,Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?

Tutapiga kura.Na wananchi waliopo watzpiga kura.Safari hii mpaka wa miaka 18,watapiga.Ukisusa wenzako wanakulaSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?