PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
No Reforms, No Election!!
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Sitashiriki japo nina kitambulisho cha mpiga kura. Ulinzi wa kura yangu ndio muhimu japo sijahakikishiwa. Nawasikiliza viongozi wangu wa CDM
 
Gentleman,
kwa mujibu wa katiba,
hata wakishiriki wapiga kura wa3 tu nchi nzima,
atakaepata kura2 atatangazwa mshindi, atakamata dola, ataunda serikali, ataongoza nchi na waTanzania wote, kwasababu THE WINNERS TAKES ALL.

chadema au chama kingine chochote cha siasa, kishiriki au kisishiriki uchaguz mkuu, hakuna athari zozote za kisheria wala kisiasa zitatokea.

nchi itasonga mbele bila mayowe ya mtu yeyo binafsi na chama chake:NoGodNo:
Huu ndio ukweli
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Bila chadema hakuna uchaguzi.
 
😁😁 Ni haki yako kikatiba lakini, baadae usilalamike viongozi watakapo chaguliwa
Nilishakula kiapo cha damu, yeyote anayeongoza vizuri hata kama sijamchagua huyo ndio kiongozi wangu...

Lakini kupiga kura ng'ooo
 
Nilishakula kiapo cha damu, yeyote anayeongoza vizuri hata kama sijamchagua huyo ndio kiongozi wangu...

Lakini kupiga kura ng'ooo
You have to shape your perspective for at least to take control on very important aspect in life like election. Yani upo tayari watu wakuchagulie kiongozi badala ya kura yako kweli? Bora upige hata asiposhinda at least ulifanya maamuzi. Si kila wakati utashinda japo kila wakati inakupasa kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom