Inawezekana ila kwa mapenzi yake kwa kile chama hapana kuna namna😁😁😁Naye labda amechoka
Cha kushangaza bado ccm wataiba kura ili ionekane wengi wamesshiriki.Wamesema watajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kwani kile chama kinachojinasibu kuzuia uchaguzi na kuleta fujo kitakuwa hakipo
Kwanini tena mkuu,😁😁 kwani chama cha kupigia kura ni CDM, tu, wapo Chauma huku tunakula wali tu, unaujua wali wewe???😁
SDGs Un Agenda 2023 aim to promote peace, prosperity and environmental protection. Nilidhani labda swali lako la msingi ungeuliza nini maana ya logo yako, ningeona kidogo kwamba you need to know something ila anyway, nimekujibu ulichouliza.Kama unajua ungesema hiyo symbol Ina maana gani, kwakuwa hujui huna la kusema
Mama atabadilika tu wakati ukifika😁 na doti ya khanga tena, labda kama khanga hataki tena..Inawezekana ila kwa mapenzi yake kwa kile chama hapana kuna namna😁😁😁
Ni haki yako kikatiba, unakuwa hujitendei haki usipopiga kura, kuwa mwananchi mwajibikaji kwa kupiga kura yako
Hataki maana ni mjumbe wa nyumba kumi hata shamrashamra ya chama hana amebaki ana mlilia yule HAYATI.Mama atabadilika tu wakati ukifika😁 na doti ya khanga tena, labda kama khanga hataki tena..
Bravo, now i can believe you know something..SDGs Un Agenda 2023 aim to promote peace, prosperity and environmental protection. Nilidhani labda swali lako la msingi ungeuliza nini maana ya logo yako, ningeona kidogo kwamba you need to know something ila anyway, nimekujibu ulichouliza.
Hakika alikuwa mtetezi wa watu, walimpenda kweliHataki maana ni mjumbe wa nyumba kumi hata shamrashamra ya chama hana amebaki ana mlilia yule HAYATI.
Now you grab somethingBravo, now i can believe you know something..
But wanasema Agenda 2023 ni kwaajili ya kutunza mazingira na mambo mengine, lakini nyuma ya hiyo Agenda ni vise versa. Ndyomaana umeona ipo hapo kwenye profile picture yako ambayo ina maudhui machafu.
Ili nigundue nini?Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Wapuuzi tu ndio wanaweza kujipanga kupiga kura kwenye uchaguzi fakeSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?