Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Kwanini wakati kuna vyama vingine 17?Ni vema tutangaze mama kapita bila kupingwa- watake wasitake
Kwanini wakati kuna vyama vingine 17?Ni vema tutangaze mama kapita bila kupingwa- watake wasitake
Jamani mbona hamtuelewi sauti ya Watanzania tuliowengi Ambayo niSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
[SIZE=7]Ni Kwamba[/SIZE]Hatutaki vyama vingine sisiKwanini wakati kuna vyama vingine 17?
Hakuna mtu anayejitambua atashiriki uchaguzi wa kupotezeana muda.Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
LISSU ALITAKA AKAMATWE NA ALIJUA ATAKAMATWAhii ni calculated motion, lissu kakamatwa sikuchache kabla ya kutiwa sign makubaliano na wakijua wasiposign watafutwa kwenye daftari, that end of story
Hamna calculated move yoyote, usitake kufanya wana mahesabu ya hivyo.hii ni calculated motion, lissu kakamatwa sikuchache kabla ya kutiwa sign makubaliano na wakijua wasiposign watafutwa kwenye daftari, that end of story
Tume ya uchaguzi itokane na wananchi sio watawala na isifungamane na upande wowote na wasimamizi wote wasitokane na upande wowote siku hiyo nitapiga kula vinginevyo no, never
Huko huko utakakoipeleka ataichukuaNitapiga kura, isipokuwa kura yangu sitampa Samia suluhu Hassan endapo akigombea. Kura yangu hatopata kwa hakika.
MnajijazaGA ujingaa halafu mnajiita akili kubwa. Uchaguzi Mkuu LAZIMA ufanyike.; mtake mistake!Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Labda wa kumchagua hawara ya mkeo!Uchaguzi hautokuwepo,
Saaa utapiga vp kura?
😁😁😁😁hata akipiga kura mtu mmoja kura zitakazo hesabiwa ni milioni 65
Bora kupumzikaMSHINDI SI TAYARI ANAJULIKANA HATA KICHAA TU ANAJUA MSHINDI ATAKUWA NANI?sasa kwa nini nikapige kura wakati majibu tayari yanajulikana.
uchaguzi lazima uwepo, tumefuga wajumbe mwaka wa pili sasa, wanakula wanakunywa wanapata mabando boda zinakula weseUchaguzi hautokuwepo,
Saaa utapiga vp kura?