PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Utashangaa mikutano yao yote CCM watakuwa wanaongelea CDM. Wasira sasa atapambana na Zitto na wajinga wenzake.
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Sina muda huo mchafu
 
Maskini CCM hawana hata haja ya kuhonga tena wala kuwasumbua Maded kuiba kura maana ni kupita bila kupingwa.
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Putin.jpg
 
Tunaishukuru tume huru ya uchaguzi na jeshi kwa kuiengua Chadema mapema.

Huu ni ubunifu mzuri.

Hapa sasa hakuna haja tena ya kuengua wagombea wa chadema wala kuiba kura. Automatically mama ni 100%
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Kwanini nisishiriki wakati kuna vyama vya siasa 18 vitagombea. Cdm imegeuka kuwa kikundi cha wanaharakati.
 
Unapiga kura ugundue nini?

Uchaguzi haupo hapo. Kazi wanayo wasimamizi, watapiga kura usiku kucha maana wananchi watakaokuja ni wachache na maeneo mengine itakuwa hakuna wapiga kura
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Hacha wajichague wenyewe tuone sasa.
 
Unapiga kura ugundue nini?

Uchaguzi haupo hapo. Kazi wanayo wasimamizi, watapiga kura usiku kucha maana wananchi watakaokuja ni wachache na maeneo mengine itakuwa hakuna wapiga kura
hata akipiga kura mtu mmoja kura zitakazo hesabiwa ni milioni 65
 
Back
Top Bottom