Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Tena watajiwekra kanuni ingine; kura zitapigwa siku 2; ya keanza ni. vyombo vya usalama kwa uwa kesho yake watakua wanasimamia. kama ZanzibarHakuna uchaguzi hapo ni Mapolisi UVCCM na vyombo vingine vya Dola.
View attachment 3301518
Hii ndo spirit inayotakiwa kuwa ignatedHuku niliko hawataki kusikia uchaguzi bila kuwepo kwa chadema.
Wanadai chadema ni Simba na CCM ni Yanga.
Kukosekana kwa mmoja hakuna mechi.
Basi kama uoni endelea na roho mbaya yakoKuhusu maji ni uongo Nina week 3 sijaona tone la maji linadondoka.bombani, kwanza tangu Samia ashike madaraka ya urais sijawahi kuona hata bomba Moja la maji jipya likitandazwa mkoani kwangu.
Hizo shule unazojaribu kunihadaa kwamba amejenga yeye ni uongo mwingine mpya. Kuhusu ajira na mengine hayo ni muendelezo wanuongo.
Unatakiwe ufie kwenye uwanja wa vita mkuu, hakuna simple way alwaysWanajua kuwa uchaguzi huwa ni maigizo yenu huwa hakuna Uchaguzi zaidi ya nyinyi kupora haki za kuchagua kwa njia haramu za kishetani
Nitashiriki mapema sana mm na familia yangu na wale ndugu zangu wa kijijini nishawaambia kura ni kwa Samia tu kiukweli mm kuvumilia foleni siwezi ila foleni niliyoikuta siku najiandikisha niliivumilia ili ikifika siku niwe nina haki ya kumpigia kura Samia
Mm huo muda wa kupiga kura nitakuwa navuta shuka vzr kitandani nilale nipate afya, tena naomba Mungu hy siku mvua inyeshe mana ndo usingizi unakuwa mtaamuMara ya mwisho kupiga kura Mimi ni Ile 2010 Slaa na kikwete. Kwa Sasa huo ujinga tuwaachie ninyi. Muda huo mnapiga kula sitakuwa kazin Kwa kisingizio naenda kupiga kura kumbe nachakata mbususu Kwa Raha zoteee
Daa 98,,% ya walio comment wamesema hawapigi kura, CCM kazi wanayoMm huo muda wa kupiga kura nitakuwa navuta shuka vzr kitandani nilale nipate afya, tena naomba Mungu hy siku mvua inyeshe mana ndo usingizi unakuwa mtaamu
Mm sijawahi kupiga kura tangu nazaliwa, sio kisa Chadema hawapo.Daa 98,,% ya walio comment wamesema hawapigi kura, CCM kazi wanayo
Comment unaziaminiDaa 98,,% ya walio comment wamesema hawapigi kura, CCM kazi wanayo