Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Tunao vaa kofia, pama, masheni kama yote, Pete tano kwenye vidole, tunaruhusiwa kukometi.
My beibe 🀩🀩🀩 kumbe we ni mvaaji wa madude yote hayo? We si mtt wa kiislamu lkn
 
Nakumbuka niliwahi kuvaa cap, Niko Taifa getini nasuburi kuingia uwanjani kucheki mpira, mama yuko kwenye gari kanicheki naludi home siku alisema ile sikuwahi kuvaa tena ila napenda mno.
Achana na maswala ya mama, cha msingi uwe na kinywele cha kutolea nyuma ya cap 😍😍😍
 
My beibe 🀩🀩🀩 kumbe we ni mvaaji wa madude yote hayo? We si mtt wa kiislamu lkn
Beibe hii comment si mimi nilikometi Siamini imebidi nirudie kusoma tena na tenaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
huu mtazamo wako aiseee kwamba ni uhuni naona umekaa kikoloni sana
 

HAPANA, kuvaa kofia si uhuni ni kama vazi lingine, ISIPOKUA unaposalimiana na mkubwa unapaswa kuvua kofia, hii ni alama ya utii. Ni mambo ya kistaarabu tu!

Nakumbuka nikiwa mdogo maza alininunulia kapelo sema mzee wangu alikua anaishi town so ilikua nikiwnda kumsalimia kabla ya kusalimia maza alikua ananiambia vua kofia!
 

British civilization!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…