Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

We hukuandaliwa na babako, na mtoto unataka nani amwandae? Mtalalamika mpaka mwisho wa dunia wenzetu wakiandaa future zao na familia zao. We laumu uko wako
 
Ujinga wote huu huna cha kufanya? Ndio utegemee kiongozi atokee kwenye ukoo km wako, ni ndoto. We km mamantilie mtoto wako mamantilie.
 
Uimla uliouwaza hata usipowekwa na kunadiwa majukwaani nchi hii upo, unaheshimiwa na kupendwa sana na koo za wanufaika, ref to: Makongoro Nyerere, Vita Kawawa, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwete, Ally Mwinyi, Moses Nauye, deshdesh Pinda na wengineo nisiowakumbuka kwa najina nk nk.

Ukiacha sifa wanazoweza kushindanishwa na watu wengine, majina ya koo zao ndiyo muhimu yanayowabeba na kuwapa sifa za vyeo vya uongozi wa ngazi mbali mbali Tz.

Siyo siri kwa utaratibu huu wa: 'unanijua mimi ni nani', ubini za majina hayo yataendelea kurotet kwenye maofisi ya umma to the infinity.

Aheri ya Mwigulu kaonesha kumfagilia na kupalilia njia ya mwanaye waziwazi hajawa mnafiki.

Kuliko ilivyozoeleka, watu wasiojulikana wenye majina ya koo za viongozi saazingine huibuka kutia nia mida ya majeruhi na kupoka sifa za wengine wenye sifa kwa kigezo cha majina ya koo zao na wakashinda.
 
Duniani tunapita. Walikuwepo akina Jose Kongolo Nzanga Mobutu (Saddam Hussein) na Moses Mwanga Amin, aliyekuwa anavalishwa combat ya kijeshi na baba yake Gen.Iddi Amin na kupigiwa salute na wanajeshi, leo hawapo. Duniani tunapita.
 
Umemalizia vizuri sana hii. Akina Mwigulu pia ni amkini wanawatengenezea watoto wao maadui mapema mapema!
 
Duniani tunapita. Walikuwepo akina Jose Kongolo Nzanga Mobutu (Saddam Hussein) na Moses Mwanga Amin, aliyekuwa anavalishwa combat ya kijeshi na baba yake Gen.Iddi Amin na kupigiwa salute na wanajeshi, leo hawapo. Duniani tunapita.
Ni UBATILI MTUPU!
 
Wanaingizwa kwenye mfumo mapema ili walambe asali ya nchi
 
Kuandaa mtoto kuwa someone in future ni ndoto ya Kila mzazi mwenye akili timamu
Muandae mtoto awe someone laaiki sop kwenye uwanja wa Siasa. Unless kama tunaongelea serikali za kidiktekta
 
Yaani siku hizi jamii forum limeshapoteza mvuto, kwa mada za kipuuzi Kama hizi, wewe mtoa post huna kazi za kufanya yaani unafuatilia mpaka unajua mtoto mwigulu kila siku alikuwa ana vaa nguo mpya.!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…