Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na wewe mwanao ni kama "Mtoto wa Mamba kwenye kina kirefu"Wewe kama watoto wako ni mafala,jisikitikie mwenyewe si kosa lao ni lako.
We hukuandaliwa na babako, na mtoto unataka nani amwandae? Mtalalamika mpaka mwisho wa dunia wenzetu wakiandaa future zao na familia zao. We laumu uko wakoDkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia.
Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa.
Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana akiwa amerudia nguo hizo hizo. Mtoto yupo darasa la tano sijui la sita lakini anaonekana tayari ni mtoto mwenye ukwasi.
Mwanae huyo alijinadi kuwa ni Mwakilishi wa Chipukizi Wialaya ya Iramba Taifa na pia yeye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Wilaya ya Iramba. Zaidi ya yote anasema yupo ziarani kuwashukuaru waliomchagua (hadiray yenyewe sasa?) kujifunza.
Anongea hayo yote wakati baba yake Mheshimiwa Mwigulu Nchemba yupo pembeni akiwa ameshika maiki na mikono yake mfukoni. Yaani ni dhihaka kubwa sana unaiona pale, kwani kuna akina bibi wamekaa chini wamechoka na Isac anaenda kuwainua pale. Zaidi ya yote katika speech ya mwanae huyo anamsifia baba yake ati "Dr Mwigulu Nchemba oyee!". Kazi ipoooo!
Hoja iliyopo ninaona kabisa Dr. Mwigulu ni kama anamtengenezea mwanae maadui - mtoto huyu hajafikisha miaka 18, umri ambao pengine angekuwa nao, asingeweza kukubaliana kuambatana vile na baba yake. Lakini privacy yake ipo wapi sasa? Siku baba akiangushwa kwenye uongozi na akapata mascandals makubwa makubwa ninaamini itakuwa ni pigo pia kwa huyo mtoto.
Iramba ilikuwa na Mbunge akiitwa Nalaila Kiula - alishika umaarufu sana na hata kidogo naye apate cheo kama cha doto Biteko kwa sasa lakini alipoporomoka kisiasa, watoto wake wapo salama kabisa, wanakula maisha kwa sababu ya kuficha identity.
Nani amwambie Dr. Mwigulu kuwa anamharibia mtoto wake. Kuna chipukizi gani wa umri ule anatembea kwenye ziara za vile? tena na baba yake! Kwaaahhhh!
Dkt Mwigulu kwa sababu wewe hupita na kusoma njumbe za Jukwaa hili hebu acha kumtangaza mtoto hivyo bhana! Jali haki ake za huko badaye kuliko kuanza kumtengenezea maadui mapema!
Kwa kfupi Tanzania hii uongozi wa kiimla haiupendi, hasa ule ambao mzazi anamtenegenezea mazingira hayo mtoto wake wazi wazi.
Mwishowe mtoto naye sasa anaweza kuanza kuwatisha wenzke wakitaka nafasi zake kuwa "Wasimfuate Mamba kwenye Kima Kirefu" manake atawamaliza.
Baada ya miaka 10 ndogo anaingizwa kwenye mfumo wa kupiga mali za ummaMadaraka ya kizazi gani watakayoshika?
AI 🐼
Ni hatari snLakini haikuwa kama hivi kuwaexpose watoto kupita kiasi. Kwa hiyo na Isaac Nchemba ameiga Chiupukizi wa Marekani?
Haitakuwa rahisi kama unavyofikiria 😂Baada ya miaka 10 ndogo anaingizwa kwenye mfumo wa kupiga mali za umma
Kweli?Haitakuwa rahisi kama unavyofikiria 😂
Dunia inabadilika kwa Kasi sana 😂Kweli?
Una hoja tena nzitoMtoto anaishi Mbezi beach, anakua mwenyekiti wa chipukizi Iramba.
Watoto wanaoishi Kinampanda, Kiomboi,Kisiri, Shelui,Misigiri n.k hawakupata hiyo nafasi.
Uimla uliouwaza hata usipowekwa na kunadiwa majukwaani nchi hii upo, unaheshimiwa na kupendwa sana na koo za wanufaika, ref to: Makongoro Nyerere, Vita Kawawa, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwete, Ally Mwinyi, Moses Nauye, deshdesh Pinda na wengineo nisiowakumbuka kwa najina nk nk.Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia.
Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa.
Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana akiwa amerudia nguo hizo hizo. Mtoto yupo darasa la tano sijui la sita lakini anaonekana tayari ni mtoto mwenye ukwasi.
Mwanae huyo alijinadi kuwa ni Mwakilishi wa Chipukizi Wialaya ya Iramba Taifa na pia yeye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Wilaya ya Iramba. Zaidi ya yote anasema yupo ziarani kuwashukuaru waliomchagua (hadiray yenyewe sasa?) kujifunza.
Anongea hayo yote wakati baba yake Mheshimiwa Mwigulu Nchemba yupo pembeni akiwa ameshika maiki na mikono yake mfukoni. Yaani ni dhihaka kubwa sana unaiona pale, kwani kuna akina bibi wamekaa chini wamechoka na Isac anaenda kuwainua pale. Zaidi ya yote katika speech ya mwanae huyo anamsifia baba yake ati "Dr Mwigulu Nchemba oyee!". Kazi ipoooo!
Hoja iliyopo ninaona kabisa Dr. Mwigulu ni kama anamtengenezea mwanae maadui - mtoto huyu hajafikisha miaka 18, umri ambao pengine angekuwa nao, asingeweza kukubaliana kuambatana vile na baba yake. Lakini privacy yake ipo wapi sasa? Siku baba akiangushwa kwenye uongozi na akapata mascandals makubwa makubwa ninaamini itakuwa ni pigo pia kwa huyo mtoto.
Iramba ilikuwa na Mbunge akiitwa Nalaila Kiula - alishika umaarufu sana na hata kidogo naye apate cheo kama cha doto Biteko kwa sasa lakini alipoporomoka kisiasa, watoto wake wapo salama kabisa, wanakula maisha kwa sababu ya kuficha identity.
Nani amwambie Dr. Mwigulu kuwa anamharibia mtoto wake. Kuna chipukizi gani wa umri ule anatembea kwenye ziara za vile? tena na baba yake! Kwaaahhhh!
Dkt Mwigulu kwa sababu wewe hupita na kusoma njumbe za Jukwaa hili hebu acha kumtangaza mtoto hivyo bhana! Jali haki ake za huko badaye kuliko kuanza kumtengenezea maadui mapema!
Kwa kfupi Tanzania hii uongozi wa kiimla haiupendi, hasa ule ambao mzazi anamtenegenezea mazingira hayo mtoto wake wazi wazi.
Mwishowe mtoto naye sasa anaweza kuanza kuwatisha wenzke wakitaka nafasi zake kuwa "Wasimfuate Mamba kwenye Kima Kirefu" manake atawamaliza.
Umemalizia vizuri sana hii. Akina Mwigulu pia ni amkini wanawatengenezea watoto wao maadui mapema mapema!Uimla uliouwaza hata usipowekwa na kunadiwa majukwaani nchi hii upo, unaheshimiwa na kupendwa sana na koo za wanufaika, ref to: Makongoro Nyerere, Vita Kawawa, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwete, Ally Mwinyi, Moses Nauye, deshdesh Pinda na wengineo nisiowakumbuka kwa najina nk nk.
Ukiacha sifa wanazoweza kushindanishwa na watu wengine, majina ya koo zao ndiyo muhimu yanayowabeba na kuwapa sifa za vyeo vya uongozi wa ngazi mbali mbali Tz.
Siyo siri kwa utaratibu huu wa: 'unanijua mimi ni nani', ubini za majina hayo yataendelea kurotet kwenye maofisi ya umma to the infinity.
Aheri ya Mwigulu kaonesha kumfagilia na kupalilia njia ya mwanaye waziwazi hajawa mnafiki.
Kuliko ilivyozoeleka, watu wasiojulikana wenye majina ya koo za viongozi saazingine huibuka kutia nia mida ya majeruhi na kupoka sifa za wengine wenye sifa kwa kigezo cha majina ya koo zao na wakashinda.
Ni UBATILI MTUPU!Duniani tunapita. Walikuwepo akina Jose Kongolo Nzanga Mobutu (Saddam Hussein) na Moses Mwanga Amin, aliyekuwa anavalishwa combat ya kijeshi na baba yake Gen.Iddi Amin na kupigiwa salute na wanajeshi, leo hawapo. Duniani tunapita.
Basi msajili wa vyama vya siasa aruhusu tu rasmi watoto waingie kwenye siasaKuandaa mtoto kuwa someone in future ni ndoto ya Kila mzazi mwenye akili timamu
Muandae mtoto awe someone laaiki sop kwenye uwanja wa Siasa. Unless kama tunaongelea serikali za kidiktektaKuandaa mtoto kuwa someone in future ni ndoto ya Kila mzazi mwenye akili timamu
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia.
Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa.
Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana akiwa amerudia nguo hizo hizo. Mtoto yupo darasa la tano sijui la sita lakini anaonekana tayari ni mtoto mwenye ukwasi.
Mwanae huyo alijinadi kuwa ni Mwakilishi wa Chipukizi Wialaya ya Iramba Taifa na pia yeye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Wilaya ya Iramba. Zaidi ya yote anasema yupo ziarani kuwashukuaru waliomchagua (hadiray yenyewe sasa?) kujifunza.
Anongea hayo yote wakati baba yake Mheshimiwa Mwigulu Nchemba yupo pembeni akiwa ameshika maiki na mikono yake mfukoni. Yaani ni dhihaka kubwa sana unaiona pale, kwani kuna akina bibi wamekaa chini wamechoka na Isac anaenda kuwainua pale. Zaidi ya yote katika speech ya mwanae huyo anamsifia baba yake ati "Dr Mwigulu Nchemba oyee!". Kazi ipoooo!
Hoja iliyopo ninaona kabisa Dr. Mwigulu ni kama anamtengenezea mwanae maadui - mtoto huyu hajafikisha miaka 18, umri ambao pengine angekuwa nao, asingeweza kukubaliana kuambatana vile na baba yake. Lakini privacy yake ipo wapi sasa? Siku baba akiangushwa kwenye uongozi na akapata mascandals makubwa makubwa ninaamini itakuwa ni pigo pia kwa huyo mtoto.
Iramba ilikuwa na Mbunge akiitwa Nalaila Kiula - alishika umaarufu sana na hata kidogo naye apate cheo kama cha doto Biteko kwa sasa lakini alipoporomoka kisiasa, watoto wake wapo salama kabisa, wanakula maisha kwa sababu ya kuficha identity.
Nani amwambie Dr. Mwigulu kuwa anamharibia mtoto wake. Kuna chipukizi gani wa umri ule anatembea kwenye ziara za vile? tena na baba yake! Kwaaahhhh!
Dkt Mwigulu kwa sababu wewe hupita na kusoma njumbe za Jukwaa hili hebu acha kumtangaza mtoto hivyo bhana! Jali haki ake za huko badaye kuliko kuanza kumtengenezea maadui mapema!
Kwa kfupi Tanzania hii uongozi wa kiimla haiupendi, hasa ule ambao mzazi anamtenegenezea mazingira hayo mtoto wake wazi wazi.
Mwishowe mtoto naye sasa anaweza kuanza kuwatisha wenzke wakitaka nafasi zake kuwa "Wasimfuate Mamba kwenye Kima Kirefu" manake atawamaliz