Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Huu mjadala umegusa sanaaa hawa wachagga wamezidi kwa usanii ndo maana wanaleta unbalance katika maendeleo kimikoa.
 
Mtu makini kama wewe usiyeogopa "utaonekanaje" ukichangia mada "tata" kama hii una maswali magumu .

My two cents: ukabila ni sub set ya ubaguzi.
 
Mwanakijiji,

Naomba nikushukuru kwa kuwa na uwezo mzuri wa kuspin na kuwapata baadhi ya watu humu.

Hongera, ila sisi wakulu wa kale huwezi kutupata.

Tukubaliane kutokubaliana.

Asante

FairPlayer

Mkuu wangu,Fair Player,

Mkjj
Alipopost tu nilimshtukia.Lakini amefanya vizuri sana kuipost kwani inaweza kutoa opportunity nzuri za kuzima element za ukabila katika vichwa fulani au kuendeleza hizi element.Ni jukumu la wadau katika hili jukwaa mahususi kutekeleza wajibu wao ambao uta-reflect kwa kiasi fulani ile jamii ya kule vijijini ambayo hatujui masuala kama haya wangeyachukuliaje.

Nasizitiza tena,hizi element zinakuzwa tu kwa sababu za kisiasa bila kujali madhara yake katika vizazi vijavyo.Na hii ni kutokana na aidha kukosa uzalendo,moyo wa upendo,ubinafsi,Chuki,madhara fulani binafsi ya kisaikolojia au ukali wa maisha nk
 
Mtu makini kama wewe usiyeogopa "utaonekanaje" ukichangia mada "tata" kama hii una maswali magumu .

My two cents: ukabila ni sub set ya ubaguzi.

Mama,

Kuna mdau ameona kuna haja ya kuweka morani wa kimasai pale ikulu ili kuzui labda makabila fulani yasiingie hapo.This is beyond tribalism!Isn't it?
 
Mama,

Kuna mdau ameona kuna haja ya kuweka morani wa kimasai pale ikulu ili kuzui labda makabila fulani yasiingie hapo.This is beyond tribalism!Isn't it?

teh teh teh teh teh. By the way nasikia masai wanafanya kazi nzuri. TIC inaongozwa na masai? Lowassa kaharibu kweli credibility ya masai, au yeye ni mwarusha? kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ben Mkuu,

He does not start a thread without a motive behind.... ,,, Ndo maana nimesema sisi wakulu wa kale tunamsoma tu. Watu wazima hawaumbuani hadharani. Ninamheshimu sana. Ila amewapata.......................!!
 
Huu mjadala umegusa sanaaa hawa wachagga wamezidi kwa usanii ndo maana wanaleta unbalance katika maendeleo kimikoa.

The Following User Says Thank You to fidel80 For This Useful Post:
Kungurumweupe (Today
)

....then there is a God!
 
yessssssssssssssss, teh teh teh tehhhhhheeeeeeeeeeeee, watu bwana!
 
teh teh teh teh teh. By the way nasikia masai wanafanya kazi nzuri. TIC inaongozwa na masai? Lowassa kaharibu kweli credibility ya masai, au yeye ni mwarusha? kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mama,
Huyo wamasai hawataki kujihusisha nae kabisa,huyo ni mwarusha.Ndiyo maana hata jimbo wanataka aache next time wampe Moringe sokoine Jr.

Si,unajua morani akisimama kwenye geti hasikilizi maelezo ni kuangalia pengine sura tu na akigundua huyu ni Mangi basi ni mikuki tu,hapo kura ianakua haina kazi tena Tz.Kaazi kweli kweli tutaingia kwenye Guinness book records sasa!
 
Ole Selelii anaweza kusimama kwenye urais 2010? au masai mwingine, wanaweza kazi hawa?
 
Dar kuna Lita Mlaki na Charles Kenja, Viti maalmu CCM (NGO) kuna Mrs. mwangunga kutoka Singinda, Zanzibar (Chadema) kuna Anna Komu, Arusha kuna Felix Mrema, Kirimanjaro wabunge wote ni wachaga.

Haya leteni data zingine hapa
 
Ole Selelii anaweza kusimama kwenye urais 2010? au masai mwingine, wanaweza kazi hawa?

Ole selelii ndiye maasai haswa,huyo ndiyo hero suvai halisi,kuna ole sendeka lakini huwa haeleweki ni kinyonga mno.

Namkumbuka maasai mmoja,alikua anaitwa Ole Molaimet,kwa kweli amekua DC katika wilaya mbalimbali,ila anachekesha kweli yaani sheria za nchi zipo lakini mwenzetu huyu alikua anapendelea sheria mwitu kweli,yaani kuchapa wananchi viboko kwa kwenda mbele.Eeeh,yaani hivi hivi tu mwenzetu aka-apply viboko
 
huyu ndie anayefaa kuwa kiongozi, yaani mafisadi wangekoma, kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii. Wangechapwa viboko hadi walie na nchi isingekuwa na mafisadi saa hii. Yupo wapi Ole Moloimet jamani!
 
Nimesema ibaki kuwa MALI ya WATANZANIA wote.
 
Na yule Ole Saibul alikuwa kamanda wa Polisi huko Mara.
 
pamoja nakua hutaki kukubali lakini hiyooooooo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…