Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu si iko sawa kwa ajili ya watanzania wote? Na kama kutumia raslimali au vyeo vya uma kwa upendeleo na kwa kigezo cha ukabila,Ni ubaguzi au UKABILA;je,si UKABILA kuzuia mtu kushika ofisi fulani ambayo ni haki ya kila mtanzania kwa kutoa hukumu kwa kundi fulani lenye tabia zenye uhusiano wa kinasaba na kabila Fulani?
Mwanakijiji,
Naomba nikushukuru kwa kuwa na uwezo mzuri wa kuspin na kuwapata baadhi ya watu humu.
Hongera, ila sisi wakulu wa kale huwezi kutupata.
Tukubaliane kutokubaliana.
Asante
FairPlayer
Mtu makini kama wewe usiyeogopa "utaonekanaje" ukichangia mada "tata" kama hii una maswali magumu .
My two cents: ukabila ni sub set ya ubaguzi.
Mama,
Kuna mdau ameona kuna haja ya kuweka morani wa kimasai pale ikulu ili kuzui labda makabila fulani yasiingie hapo.This is beyond tribalism!Isn't it?
Huu mjadala umegusa sanaaa hawa wachagga wamezidi kwa usanii ndo maana wanaleta unbalance katika maendeleo kimikoa.
Mkuu wangu,Fair Player,
Mkjj
Alipopost tu nilimshtukia.Lakini amefanya vizuri sana kuipost kwani inaweza kutoa opportunity nzuri za kuzima element za ukabila katika vichwa fulani au kuendeleza hizi element.Ni jukumu la wadau katika hili jukwaa mahususi kutekeleza wajibu wao ambao uta-reflect kwa kiasi fulani ile jamii ya kule vijijini ambayo hatujui masuala kama haya wangeyachukuliaje.
Nasizitiza tena,hizi element zinakuzwa tu kwa sababu za kisiasa bila kujali madhara yake katika vizazi vijavyo.Na hii ni kutokana na aidha kukosa uzalendo,moyo wa upendo,ubinafsi,Chuki,madhara fulani binafsi ya kisaikolojia au ukali wa maisha nk
Suppose ikafikia hatu hiyo mikoa ya kanda ya kaskazini ikaona kwamba sasa inachukiwa na inataka kujitenga ili isiwe kikwazo kwa makabila mengine itakuaje?
Mimi naona hatred ikizidi wanaweza kufanya hivyo. Tena wanaouwezo mkubwa . Mimi nawapenda maana ni watu wako serious and realy dedicated to whatever they do . makabila mengine especially ya Pwani hawako hivyo.Hawajitumi ndio maana wanabaki vile. Wanawaonea wenzao wivu.
teh teh teh teh teh. By the way nasikia masai wanafanya kazi nzuri. TIC inaongozwa na masai? Lowassa kaharibu kweli credibility ya masai, au yeye ni mwarusha? kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Suppose ikafikia hatu hiyo mikoa ya kanda ya kaskazini ikaona kwamba sasa inachukiwa na inataka kujitenga ili isiwe kikwazo kwa makabila mengine itakuaje?
Mimi naona hatred ikizidi wanaweza kufanya hivyo. Tena wanaouwezo mkubwa . Mimi nawapenda maana ni watu wako serious and realy dedicated to whatever they do . makabila mengine especially ya Pwani hawako hivyo.Hawajitumi ndio maana wanabaki vile. Wanawaonea wenzao wivu.
Mku Mfamaji,
wewe ukiwapenda kwa sababu hiyo,kuna idadi kubwa itawachukia kwa sababu hiyo hiyo.Sasa hilo kundi ndilo ambalo litakuja kuhatarisha amani na linatumiwa vibaya na watu wasio na moyo wa upendo au wasio na huruma au uchungu watakapoona damu ya mtanzania ikimwagwa,kwa sababu tu wanataka kutimiza malengo yao
Ole Selelii anaweza kusimama kwenye urais 2010? au masai mwingine, wanaweza kazi hawa?
Ole selelii ndiye maasai haswa,huyo ndiyo hero suvai halisi,kuna ole sendeka lakini huwa haeleweki ni kinyonga mno.
Namkumbuka maasai mmoja,alikua anaitwa Ole Molaimet,kwa kweli amekua DC katika wilaya mbalimbali,ila anachekesha kweli yaani sheria za nchi zipo lakini mwenzetu huyu alikua anapendelea sheria mwitu kweli,yaani kuchapa wananchi viboko kwa kwenda mbele.Eeeh,yaani hivi hivi tu mwenzetu aka-apply viboko
...damn,hata wewe?
Mkuu,
Unamaanisha nini? Sasa kwa mantiki hiyo sitaki kulazimika kuamini kwamba unamanisha kuilinda ikulu isiongozwe na Mchagga? Sasa hapo mkulu si utakua umeendekeza ukabila at the highest level?
Kuna hii statement ya kwamba Mchagga hawezi kuingia ikulu,hii ni ya ubaguzi wa hali ya juu na ni statement ambayo imekua ikihusishwa na role model wa Watanzania wengi.Huu ni ukabila uliopita vipimo vyote hata zaidi ya ubaguzi wa kikaburu.NALAANI KWA NGUVU ZOTE HII KAULI!
Ole selelii ndiye maasai haswa,huyo ndiyo hero suvai halisi,kuna ole sendeka lakini huwa haeleweki ni kinyonga mno.
Namkumbuka maasai mmoja,alikua anaitwa Ole Molaimet,kwa kweli amekua DC katika wilaya mbalimbali,ila anachekesha kweli yaani sheria za nchi zipo lakini mwenzetu huyu alikua anapendelea sheria mwitu kweli,yaani kuchapa wananchi viboko kwa kwenda mbele.Eeeh,yaani hivi hivi tu mwenzetu aka-apply viboko
pamoja nakua hutaki kukubali lakini hiyooooooo!sasa huyo director kutoka minority group, akiona kuwa kuna minority katika waombaji tena kutoka kabila lake awape ka"upendeleo" ka aina fulani? Tutamzuiaje yeye kutowapendelea watu wa kabila lake au kula njama na minority mwingine ili wabadilishane wanaowapendelea ili wasioneshe ukabila "mkwere ampendelee msegeju, na msegeju ampendelee mkwere"?