Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Acheni hoja za kikabila zinaingiza chuki kubwa katika jamii na ni tool ya pili katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ya kwanza ni Udini. Lakini ngoja niguse kidogo, hebu tujaribu kutafiti ni namna gani mtu anapata kazi. Kwanza tangazo la kazi linatolewa katika gazeti, mbao za matangazo nk kama hao jamaa wakiamua lifike huko otherwise some body known by someone ktk utawala atapewa kazi hata kama shule hajamaliza bado na kazi haiwezi acheni kushangaa hii ndio hali halisi. Then watu wataaply na wachache sana watakuwashortlisted wengiwao ni walewale kamlete na labda kina kapeto wachache wakuzugia si unajua ukitaka kumuua nyani mfiche uso. Haya wakianza kazi most of them are not compitent na kazi yao kulalamikia mishahara na safari za nje bila kujipima wanaingiza kiasi gani. Kujuana kunatuangamiza wabongo naona sasa jf tujitahidi kushauliana ili tupate njia ya kuondoa kujuana hasa katika ajira.
 
Acheni hoja za kikabila zinaingiza chuki kubwa katika jamii na ni tool ya pili katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ya kwanza ni Udini. Lakini ngoja niguse kidogo, hebu tujaribu kutafiti ni namna gani mtu anapata kazi. Kwanza tangazo la kazi linatolewa katika gazeti, mbao za matangazo nk kama hao jamaa wakiamua lifike huko otherwise some body known by someone ktk utawala atapewa kazi hata kama shule hajamaliza bado na kazi haiwezi acheni kushangaa hii ndio hali halisi. Then watu wataaply na wachache sana watakuwashortlisted wengiwao ni walewale kamlete na labda kina kapeto wachache wakuzugia si unajua ukitaka kumuua nyani mfiche uso. Haya wakianza kazi most of them are not compitent na kazi yao kulalamikia mishahara na safari za nje bila kujipima wanaingiza kiasi gani. Kujuana kunatuangamiza wabongo naona sasa jf tujitahidi kushauliana ili tupate njia ya kuondoa kujuana hasa katika ajira. Na kujuana huku hakuna ubishi ukabila unachukua nafasi kubwa sio kabila hilo tu na mengine yapo.
 
Wana JF,
Hebu tumtafute huyu MORANI na tumchangie akasome kidogo uongozi na kirudi tumpe kuwa RAIS. Akiboronda na kumwaga damu basi na sisi JF tutakuwa na mikono ya Paulo. Ila huyu jamaa mie naona anafaa sana walau kuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Akomae nasisi Wanyamwezi hadi KIELEWEKE. Acha tu kuwa ATALAZIMISHA watu kubadili tabia toka ya KIINGEREZA na kuwa ya KIJERUMAN, ila kweli hata MAFISADI watakuwa wamekufa kifo cha kimya kimya. Kama Mvivu anachapwa bakora, wewe Mwizi ufanyweje? Ukijua hilo basi hata asilimia 0.5 katika kutoa tenda huombi na hata ukipewa unakimbia kama vile umemuona Chenge siku aliyowanga.
Si kweli hili tunahitaji Malaika au Roho Mtakatifu aje. Sema tu mtu kama huyu inabidi kuwa na chombo kitakachoangalia kuwa HAZIDI MIPAKA kama vile kuanza kuuwa watu au baada ya miaka 10 hataki kutoka......
 
kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaani Sikonge you made my day, duh umepinda sana wewe, L.O.L!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani kuna watu hawaamini yanayosemwa na ndugu zao hapa; na hoja hii inadhihirisha ilo. Chuki dhidi ya wachagga ipo na kama kuna watu wangekuwa na uwezo wangechukua hatua "kali" kweli kupunguza wachagga kwenye nafasi zilizofanikiwa.

Watu wanaoogopa au wanajisikia kusisimka vinyweleo wanaposoma waelewe kwamba hizi sentiments zipo. Tunapopinga ukabila ni lazimatujue how shallow the arguments of tribalists actually and how deep the believe in them. Usipojua uwezo wa adui yako usijaribu kupambana naye.

Mada hii lengo lake ni kuchokoza ili kufunua hisia za watu. Imagine.. kwenye general population watu wanafikiri nini kuhusu Wachagga...
 
Jamani Jmushi yupo likizo??
Mbona sioni mchango wake hii mada inamhusu sana mwambie atoke huko aliko aje ajibu.
 
Nadhani kuna watu hawaamini yanayosemwa na ndugu zao hapa; na hoja hii inadhihirisha ilo. Chuki dhidi ya wachagga ipo na kama kuna watu wangekuwa na uwezo wangechukua hatua "kali" kweli kupunguza wachagga kwenye nafasi zilizofanikiwa.
Watu wanaoogopa au wanajisikia kusisimka vinyweleo wanaposoma waelewe kwamba hizi sentiments zipo. Tunapopinga ukabila ni lazimatujue how shallow the arguments of tribalists actually and how deep the believe in them. Usipojua uwezo wa adui yako usijaribu kupambana naye.

Mada hii lengo lake ni kuchokoza ili kufunua hisia za watu. Imagine.. kwenye general population watu wanafikiri nini kuhusu Wachagga...

There you go.....Hata WANGWE nae anachuki kwa wachaga, si umeona hata kwenye hii thread?. Kwahiyo na Chadema hakina uchaga wala wabunge walioteuliwa hawana hata uchaga ni chuki tu kama tulivyoona humu..................
Big up Mwanakijiji!
 
Mkandara...tofauti ya mzungu na mchagga ni kuwa Mzungu alitutawala kwa nguvu pasipo ridhaa yetu. Wazungu walikuja mahali kusiko kwao na wakafanya kana kwamba ni kwao. Kumbuka shairi la Shaaban Robert "Kwetu ni kwao kwanini".

Wazungu hawakuwa na haki na ardhi yetu, mali yetu na kila kitu kilichochetu. Wachagga na watu wa makabila mengine wana haki sawa kabisa na sisi wengine kwani hapa na wao ni kwao. Kama wamefanikiwa wamefanikiwa kupitia kilicho chao. Na wengine watakaofanikiwa hawana budi kufanikiwa kwa kutumia kilicho chao.

Tulipowaondoa wazungu walienda wapi? kwao. Tukiwaondoa wachagga katika nchi yao tutawapeleka wapi isipokuwa wale viongozi wenye chuki dhidi yao watajaribu kufanya kile kilichojaribiwa kufanya na Hitler.

Tatizo la Tanzania si wachagga. Anayelaumu wachagga kwa matatizo yake ni kwa sababu hana ujasiri wa kujiangalia yeye mwenyewe.

Mwanakijiji.
Kwa maelezo haya unaweza kupewa uchaga through naturalisation ukawa kama maulidah aliyeamua kujiita ANNA KOMU, sio wewe hata wafrika wengine waliokuwa radhi kuwatetea wakoloni wabaki kwani yao yanakwenda bila kutizama maslahi ya jumla kwa wananchi wote.
 
teh teh teh tehhhhhheeeeeeeeeeeeeeee, nina element za uchaga na ninajua yanayosemwa ni kweli. Ukienda likizo chrismas kule Moshi utajua haya pia. Ni connection ka kwenda mbele, chagas wapenda maendeleo lakini tatizo wanapenda waendelee wao tu. Kitu kikubwa ni kwamba hawapendi kutegemewa na hivyo hufanya kila njia kuhakikisha watu wa familia wanajitegemea na pia upate wa kukusaidia pindi unapokwama. Hivyo hujitahidi kusaidia wa kwao na hapo upendeleo wa ukabila ndipo unapokuja. Think about it in a wider sense and be honest on your self, utakubali kuwa ukabila upo huko nyumbani Moshi.
Mwanakijiji.
hajafika Kilimanjaro na kama kafika hajaishi nao,mtu huwezi kumjua hadi uishi nao,Wangwe kaishi nao kawajua.
 
There you go.....Hata WANGWE nae anachuki kwa wachaga, si umeona hata kwenye hii thread?. Kwahiyo na Chadema hakina uchaga wala wabunge walioteuliwa hawana hata uchaga ni chuki tu kama tulivyoona humu..................
Big up Mwanakijiji!

hata lugha inaanza kuwatatiza.. huu "uchaga" ni ududu gani..? yaani ni kitu gani ambacho kimo ndani ya watu kiasi cha kuweza kutolewa kama funza? "uchagga"??? mnadhihirisha na kuthibitisha maneno yangu. Sijawahi kusikia "Usukuma", "Undengereko" n.k huu uchagga una sifa gani?
 
Sipendi kama sipendi sijisikii kabisa kuhusika na mada hii moja kwa moja lakini nina swali moja dogo la nyongeza...Hivi hawa ndugu zangu wachaga wakishapumzishwa kwa manufaa ya umma na kwa vile najua wengi wanawatazama kupitia sekta ya umma (mashirika na taasisi za umma) ambazo zinatoa ajira kwa watz ambao si zaidi ya 2% ya ajira zote kwa ujumla, na kwa kuwa sehemu kubwa ya umiliki wa sekta binafsi (wajasiliamali), aridhi n.k ambavyo vina ajiri watz wengi zaidi ya 50%, Je nao hawa wamachinga wa kichaga, nyoka yaani wachimba madini migoni, wakulima wachaga wa sehemu mbali mbali za nchi, wamiliki wa hoteli, migahawa, nyumba za wageni, kumbi, vyombo vya usafiri, maduka makubwa na madogo, n.k nao ni lini wanapaswa wapumzike ile wawapishe makabila mengine? Kwa mweye kuijibu ni vema lakini sidhani kama majibu yatakidhi haja ya wengi kwani suala hili ni tete.
 
Sipendi... umeuliza kitu muhimu. Yoyote anayefikiria kuwaondoa wachagga katika kufanikiwa atakuwa na kazi kubwa sana. Badala ya watu kukaa chini na kuona wivu dhidi ya Wachagga hatuna budi kujiuliza kwanini wao wamefanikiwa na ni nini wengine tunaweza kufanya kufanikiwa.

Wachagga siyo chanzo cha matatizo ya Tanzania. Chuki dhidi yao inaonesha zaidi jinsi gani wengine tunavyojiona duni.
 
I still cannot believe hii thread inavyoelekea!
All I know ni CHAGGAS A GREAT TRIBE HAVE WORKED AND ARE WORKING HARD EVERYDAY,TO BE WHAT THEY ARE TODAY!
Mtasema weeeeeeeeeeee mtachoka....sisi tunabanana na maendeleo!
VERY PROUD TO BE CHAGGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
it is in our nature to be proud of what we have and what we are,our heritage, (not our shortfalls)
Please just bear with us. We are what we are
we cant be sorry for that, or should we be?
Not me.
Mimi ni mtanzania i am very proud of the country Tanzania, also of our land of kilimanjaro.
I just can not be apologetic.
Happy discussion
 
Mwana Kijiji nimeona thread yako ya Udini katika CC, ingawa sijaipitia lakini katika issue kama hiyo tunacho ona ni reflection au taswira ya udini, kwa namna hiyo hiyo kuna sehemu kunaweza kuwa na taswira ya ukabila, na hi taswira inaweza kuendelea katika maeneo meingine kama walutheri dhidi ya wakatoliki au wakristo dhidi ya waislamu nakadhalika.
Sasa njia iliyo bora kuondoa hii taswira iwe ya udini au ya ukabili ndio kitu kilicho bora sisi kukijadili kuliko ulivyo sema, aidha wachaga wote wawapishe wenzao nk. au mwenyekiti wa chama fulani kaweka watu wake etc etc.
Pendekezo langu lilo bora ni kuweka vigezo vilivyo wazi wa kuteua watu iwe kwenye vyeo vya uteuzi au iwe kwenye kazi, tenda nk, kinyume cha hapo hizi hadithi hazitaisha.
Na mifano ya hii taswira ipo mingi tu eg kulikuwa na mgogora wa walutheri kule Meru, kwamba Askofu fulani kamuweka Mwanae awe kiongozi sijui Akyoo, kulikuwa na Mgogoro Same, nao walikuwa wanataka Dayosisi yao mpaka Watu walitumia Cleopa Msuya kutetea maslahi yao, na hata kwenye bakwata ya Marehemu Sheikh Hemed Bin Jumaa bin Hemed, kuna watu Tanga walikuwa wanadai kaweka ndugu wa karibu kama viongozi wa misikiti, na ukienda kwenye vyeo vya serekalini na taasisi zake taswira hizo zinakuwepo, fulani kamsogezea mtoto wake au wa rafiki kwenye desk "zuri" au kampeleka masomoni, wakati mwingine kaachwa, matokeo yake ndio hayo manunguniko ya udini au ukabila wa mkwere au wa mjaluo nk, na siku hizi tumejenga ukabila mwingine wa kwenye kulindana na kusaidiana, ndipo utamkuta Chenge ana msaidia Lowasa, nk Lowasa anampendekeza Kaaya awe mkurugenzi may be dawasaco au AICC, mwingine nae anamuweka mtu wake BET etc
 
Mwanakijiji,
Mkuu mimi nashindwa kabisa kuchangia mada hii kwa sababu pande zote mbili mnashindwa kunipa darasa...Yaani hakika mada hii inachusha sana na haitakiwi kabisa kuendelea.
Mfano huko nyuma umenambia kuwa kuna tofauti ya Mzungu na Mchagga ni swala la Ugeni, lakini mkuu kwa uhakika nani aliyepanga mipaka hii haswa ikiwa kuna swala la Uraia. Mapoambano ya Uhuru hayakuwa kuhusiana na Utawala tu hata Wazungu wenyewe walikuwa ni adui iwe Kaburu ambaye hakuwa mgeni huko South ama Utawala wa Malkia, Mjarumani, mwarabu au Mreno.
Kwa mfano wa ugeni na kutawala kwa nguvu, hata huyo Mchagga anapokuwa Mwanza ni mgeni vile vile akinyimwa haki fulani kwa sababu ni mchagga basi bila shaka tutasema Wasukuma wametumia Ukabila ktk kum profile huyo jamaa au sio. Na Mchagga akitumia Ubabe wake ndani ya Wasukuma kwa sababu ni Mchagga hapa lugha itakuwa bado ni Ukabila... sioni mipaka ya ugeni au mwenyeji..
Mazungumzo yote humu ukiyageuza kidogo tu kuondoa mchagga ukaweka mzungu ama Mhindi watu watakuwa na hukumu tofauti hata kama mzungu/mhindi huyo ni Mtanzania. Watakao tetea upande huo nina hakika ni wale wenye ukaribu na Wazungu/wahindi..kama vile wachagga wanavyofanya hapa.
Na kibaya zaidi ni kwamba wale wanaotetea Wachagga wanazunguza lugha ya mkoloni, lugha ya Makaburu ambao waliyasema hayahaya kwamba kuwepo kwao Afrika ndiko kumeleta Ustaarabu na maendeleo yaani wengine sisi kina Yakhe ni wanyama, wavivu na kadhalika..
Inashangaza sana kuona mwafrika akimwita mwafrika mwingine kwa majina hayo kisha anaendelea kudai kuwa hakuna Ukabila na hata kudiriki kuwaita watu wa makabila mengine wana inferiority complex... Kwa nini isiwe Wachagga wanajiona wao ni superior kuliko makabila mengine?... Jamani jamamni Ukabila ni sisi wenyewe hizi lugha mnazozitumia ndio zinajenga Ukabila.
Wala sio swala la kupeleka mali zetu nje ndio kilichotufanya sisi waafrika tupiganie Uhuru wetu. Makaburu tayari walikwisha fukuzwa huko Holland wakatupwa South na wengine Australia. Hawa watu walikuwa wabaguzi hawakutawala kwa nguvu isipokuwa utawala wa malkia ambao kama unakumbuka kina Smith, Botha na hata Zanzibar ulitangazwa Uhuru ambao bado ulijengwa kwa matabaka..
Ni pale binadamu mmoja anapojiona yeye Superior kuliko wengine ndipo Ukabila unapotumika ktk matendo yetu. Ukabila siku zote ni yule mwenye nguvu (Power) mwenye uwezo wa kupanga na kuamrisha sera ambazo hazina haki kutumika iwe kimaandishi ama kwa vitendo tu. Mnyoinge asiyekuwa na uwezo huo ambaye ktk Mada hii mnamwita ana inferiority ni mpambanaji mtu asiyekubali kuonewa na anapoyataja mabaya ya huyo mwqenye nguvu ni jukumu letu sisi Watanzania kuyasikia malalamiko hayo na kuyatafutia ufumbuzi.. Mkuu Vita ya Rwanda ilianza hivi hivi taratibu na propaganda ambazo kwa wale mnaowaita wenye elimu duni zilianza ku sink in. Wakayatazama matendo ya Watusi dhidi yao wakaziona tofauti ktk ajira, ktk utawala, ktk urafiki wao na kadhalika...Hapakuwepo mgeni pale wala mtu anayechukua mali na kupeleka nje!.. Ni swala la ndani...
Kwa hiyo jamani acheni kabisa hizi habari za Wachagga na watu wa makabila mengine. Ni propaganda chafu sana, na laukama kuna ukweli fulani basi nawaombeni hao Wachagga msijione Miungu watu hata kidogo wala msifikirie hii ni fun thing to talk about!.. Inaonyesha wazi jinsi mnavyowaona binadamu wengine kama walivyofanya Makaburu huko South, lugha ya dharau na kujitanua kifikra kwa sababu tu ya elimu ya kuiga!...Waswahil wanasema kutangulia sio kufika wala mjanja sio kuwahi ila ni Kupata!...
Mkianza na matusi madogo yenye imani kama hizi baadaye itakuja fuata vitendo, Mchagga ataanza kujitenga na kujiona mbora zaidi, ili kufanya hivyo itabidi ajenge ngome zake ambazo ndizo zitakuwa chanzo cha Ugonvi mkubwa..
 
Mzee mwanakijiji, wewe ni mbaguzi au mpinga ubaguzi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom