Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Status
Not open for further replies.
Mwanakijiji, Kubwajinga na wengineo...!

Kweli tokea nimejiunga na jambo forums, leo ni kati ya siku ambayo nimeona post ya ajabu na ya kushangaza mno. Kwanza nimejaribu kujiuliza ni nini madhumuni ya mwanakijiji kuweka post hii tena akiweka kichwa cha habari kinachosema "Viongozi wa Idara ambao ni wachaga waachie ngazi" Je ni nini hasa unataka kukitafuta hapa?

Je vyeo siku hizi vimekua vikigawiwa ka ukabila? kweli kama tumeshafikia mahali pa kuhoji hali hii, nahakika hata wachaga wakiondoka kwenye hivyo vyeo wakapewa watu wengine, kwa mfano WAKARA au WAFIPA nauhakika kuna siku utahoji pia hao WAKARA au WAFIPA nao waachie ngazi, tutaendelea kuhoji hali hio mpaka tutakuta taifa zima hamna anayeweza kutawala kwa sababu ya ukabila.

Kinachonishangaza zaidi, ni kwamba hoja yako imekuja wakati ambao Bw. Chacha wangwe akiwa ametimuliwa uongozi, hii inaashiria kwamba umetumwa uje kuwasilisha propaganda za Wangwe hapa.

Aidha, kama unaona kuna uzito kwenye hoja yako, uliombwa uipeleke kwenye gazeti halafu uichapishe huko ili kila mtu aione, lakini kwa vile unajua wazi kwamba hoja yako ni ya uchochezi wewe mwenyewe umebaini kwamba haiwezi kupokelewa wala kuchapishwa kwenye gazeti, tena hata ikichapishwa inaweza kufanya gazeti hilo kufungiwa kwa kuandika habari za uchochezi.

Kweli mimi sikufahamu kwa undani, lakini nauhakika hii post yako imekupotezea umaarufu na kukushusha sana hadhi yako kwani unaonekana ni mtu unaeyeendeshwa kwa propaganda za uchochezi, Aidha inaonekana wewe ni mtu wa kupenda mafanaikio kwa kutumia njia za mkato kama vile kulalamika na majungu ili uonekane unaonewa ili upendelewe.

Pamoja na hayo yote, hoja yako inaonekana hujaifanyia utafiti, kwani kama unalalamika hivyo, ungekuja na orodha au na data za kudhibitisha kauli yako ya kusema mambo ambayo yamefanywa na hao viongozi wachaga ambayo yanafanya wasiweze kuongoza hizo idara za serikali ukilinganisha na hayo makabila mengine, pia, ungetueleza kwa kina ni kabila gani lingine unalolipendekeza zaidi ya hao wachaga.

Mwisho, naomba nikushauri, hizi hoja za uchochezi ukiziendekeza kuna siku zitatufikisha pabaya, manake nauhakika tukimaliza kuhoji ukabila tuaanza kuhoji udini na jinsia.

Pendekezo langu ni kuomba thread kama hii itolewe mapema kabla hatujaanza kuibua hisia za chuki kati yetu watazania. Pia nakushauri uwe unajishauri mara mbili kabla ya kuweka post hapa jambo forums.

Mhafidhina,
Suala la ukabila kuwa discussed kwa nia ya kuboresha uhusiano wa waTZ sidhani kama ni jambo baya, unless utufahamishe ubaya wake.

Hilo la watu wa idara kutakiwa kuachia ngazi, sina uhakika kama tumeshafikia hapo, lakini busara inaweza kutumika kutatua yale yatakayoonekana kuwakera waTZ.

Kwa maoni yangu, hii thread ilikuwa very sarcastic and to an extent below per in terms of elaborated contents. May be it was intended to downplay the tribalism cries in CHADEMA, but to me, the general point of discussion was valid and very important.
 
WE KUBWA PUMBAVU..Huu hapa ujumbe wangu....
Inaelekea unajuwa kuwa categorize na kuwa describe wachagga kwa sana wewe na MAKABILA WENZAKO MKISAIDIWA NA MKANDARA ANAYEMWAKILISHA WANGWE KINAFIKI NA KIccm ccm!

Nataka UTAJE KABILA LAKO HALAFU TUONE KAMA HAKUNA CHA KUSEMA KUHUSU KABILA LAKO!

Na ndio maana nakuuliza....WE MAASAI?

JIBU SWALI USIJIFYATUWE NA KUJIDAI KUMFATA FATA MHAFIDHINA!

WE SI ULIMWALIKA ROSTAM HUKO KINONDONI?
 
Lowassa KUBWA JINGA HIYO NI DANGANYA TOTO!
Unamweka hapo kwenye AVATAR YAKO KWA PSYCHOLOGICAL PURPOSES!
WEWE NI STUPID LOWASSA!
Massai SIYO?
Sema kabila lako pumbavu wewe na usijifiche kwenye kivuli cha kusema LOWASSA KUBWA JINGA NA WAKATI UNAMNADI KWA KILA HALI NA HATA KAULI ZAKO NI KILOWASSA LOWASSA!
Nakuuliza WE MASAI?

Nikikwambia kabila langu wala hutaamini kwa ninayoandika. Just take it that I'm antianything bad for my country.
 
Nikikwambia kabila langu wala hutaamini kwa ninayoandika. Just take it that I'm untianything bad for my country.

Usijishauwe wewe MAMVI UMESHAUZA NCHI!

WEWE UME WADESCRIBE WACHAGGA UNAVYOPENDA!

MIMI NAWAAMBIA MODS KUWA KILA MTU KAMA HILI JINAMIZI JINGA HAPA..WATAJE MAKABILA YAO LA SIVYO HUU NI UONEVU KWA WACHAGGA!

WAWEKE MAKABILA YAO KAMA NI MIMI NAJULIKANA NI MCHAGGA...NA MZEE WANGU MCHAGGA ASILIA ALIHAMIA KUTOKA UMASAINI...MAMA ALIHAMIA KUTOKA UMERUNI...NI LOCATIONS ZILIWABADILISHA NA HATA DIALECTS ZAO!

Sasa ili mjadala huu uwe fair na MIMI NIANGALIE MADUDU YA KABILA LAKO KAMA ULIVYO DESCRIBE KUHUSU WACHAGGA...

NATAKA UTUMIE HAYO MAMVI YAKO KUJIBU SWALI HILI....WE NI KABILA GANI?
 
Mwanakijiji, Kubwajinga na wengineo...!

Kweli tokea nimejiunga na jambo forums, leo ni kati ya siku ambayo nimeona post ya ajabu na ya kushangaza mno. Kwanza nimejaribu kujiuliza ni nini madhumuni ya mwanakijiji kuweka post hii tena akiweka kichwa cha habari kinachosema "Viongozi wa Idara ambao ni wachaga waachie ngazi" Je ni nini hasa unataka kukitafuta hapa?

Mhafidhina, kwanza pole sana kwa mshtuko ulioupata. Ila naomba uniamini kuwa sina lengo baya au ovu ila najaribu kuonesha point kubwa ambayo hadi hivi sasa kwa yeyote atakayekuwa na reaction kama yako mwanzoni sasa atakuwa anaipata, japo yawezekana imechukua muda mrefu. Mara nyingi tumekuwa tukiandika vitu kijuuu juu. Watanzania wengi hatujawahi kukutana na maandishi ya kushtua ambayo yanalazimisha reaction and taking choices.

Miaka michache iliyopita nilisoma makala ambayo nimeitaja hapo mwanzo kwamba ndio nilikuwa naiga uandishi wake. Makala hiyo iliandikiwa mwaka 1729 huko Ireland wakati wa Ukame na njaa. Mwandishi wa makala hiyo alikuja na pendekezo aliloliita rahisi (A Modest Proposal). Pendekezo hilo lilikuwa ni njia mojawapo ya kutoa point kubwa.Naomba ukipata muda soma makala hiyo (just google "A Modest Proposal" utashangazwa alipendekeza nini.

Nimeandika na kutoa Pendekezo hili kama njia ya kuonesha the absurdity ya lawama na mzigo wa kuwalaumu Wachagga na kujaribu kuwatenga kwa kisingizio chochote kile. Nikiwa mwanafunzi mzuri wa Mwalimu, na mtu ambaye nimekuwa nikiupinga ukabila na ubaguzi wa aina yoyote sikuandika nilichoandika kwa kubahatisha. Siamini wala siwezi kusimamia hoja ya Taifa kuwabagua watu wake ati kwa vile wameshika nafasi fulani. Ungekuwa unanisoma mara nyingi bila ya shaka usingeamini kirahisi kuwa mwanakijiji anaweza kuwa anaamini mambo haya.

Je vyeo siku hizi vimekua vikigawiwa ka ukabila? kweli kama tumeshafikia mahali pa kuhoji hali hii, nahakika hata wachaga wakiondoka kwenye hivyo vyeo wakapewa watu wengine, kwa mfano WAKARA au WAFIPA nauhakika kuna siku utahoji pia hao WAKARA au WAFIPA nao waachie ngazi, tutaendelea kuhoji hali hio mpaka tutakuta taifa zima hamna anayeweza kutawala kwa sababu ya ukabila.

Very Good! Hiyo ndiyo point kwamba tukiacha kuwalaumu Wachagga na kuwaondoa wote na watu wengine wakaingia je tutaweza kuwa na zaidi ya mtu wa kabila moja mahali popote? Ukabila mara nyingi ambao unaoneshwa na kudaiwa na watu kama kina Wangwe hauhusiani hata kidogo na vitendo vya kabila fulani bali ni idadi tu. Ndio maana mada yangu sarcastically inajaribu kuondoa hiyo idadi kama solution ya kuondoa ukabila which if you think is ridiculous kwani ukabila ni attitude ya mind, perception and outward self-exaltation of one's own tribe as superior to others.

Kinachonishangaza zaidi, ni kwamba hoja yako imekuja wakati ambao Bw. Chacha wangwe akiwa ametimuliwa uongozi, hii inaashiria kwamba umetumwa uje kuwasilisha propaganda za Wangwe hapa.

Of course, nimeiweka hapa kwa sababu nimechukizwa. Nimechukizwa na jinsi gani vyombo vyetu vya habari vimekumbatia hoja za Wangwe na kuzirusha kwenye radio kitu ambacho kinaendelea kuchochea hisia za chuki dhidi ya wachagga. Kilichoniudhi zaidi ni kuwa hakujatokea mtu yeyote wa maana kumpinga Wangwe waziwazi kwa kutumia rational argument na kumfanya aonekane anachosema kina ukweli.

Yaani Wangwe anawalaani watu wa Kaskazini hadharani na kupanda mbegu hizi za chuki kwa kutumia vyombo vya habari bila kuoneshwa makosa yake. Of course, nimeandaa majibu yangu ambayo yatarushwa pia ili ijulikane I'm on record kupinga hoja hizo. Si kwa sababu ya kisiasa kama wengine wanavyofanya bali kwa sababu ya kuweza kuona hatari ambayo imekuwa ikiibuka muda baada ya muda dhidi ya jamii ya Wachagga. Haiwezekani mtu akitendewa kitendo kibaya na mtu mmoja ambaye ni Mchagga aproject hizo feelings zake toward an entire group of people. Haiwezekani kuona watu sita wanaohusiana na mkoa mmoja kwa namna moja au nyingine, basi mtu akubaliwe kuimba wimbo wa ukabila.

Ndio maana nilianzisha ile mada nyingine ya "Kamati Kuu ya CCM" na nikaona jinsi watu walivyoshtuka na kujaribu kutoa maelezo imekuwaje kuna idadi kubwa ya watu wa dini fulani na kwanini ilitokea hivyo. Kwenye suala la Chadema watu wamekubali tu maneno ya Wangwe na wapambe wake, lakini kwenye CCM watu wamekaa chini na kujaribu kutoa rational arguments.!

Aidha, kama unaona kuna uzito kwenye hoja yako, uliombwa uipeleke kwenye gazeti halafu uichapishe huko ili kila mtu aione, lakini kwa vile unajua wazi kwamba hoja yako ni ya uchochezi wewe mwenyewe umebaini kwamba haiwezi kupokelewa wala kuchapishwa kwenye gazeti, tena hata ikichapishwa inaweza kufanya gazeti hilo kufungiwa kwa kuandika habari za uchochezi.

wrong... usichukulie majibu yangu hapa kana kwamba sitaandika. Hoja yangu nitaifikisha kwenye magazeti kwa namna tofauti kulinganisha na hapa. Of course nimegundua siyo watu wote wanajua maandishi ambayo ni sarcasm, ironi, and pure hard core provocative.

Kweli mimi sikufahamu kwa undani, lakini nauhakika hii post yako imekupotezea umaarufu na kukushusha sana hadhi yako kwani unaonekana ni mtu unaeyeendeshwa kwa propaganda za uchochezi, Aidha inaonekana wewe ni mtu wa kupenda mafanaikio kwa kutumia njia za mkato kama vile kulalamika na majungu ili uonekane unaonewa ili upendelewe.

very wrong. Lakini nakubaliana kuwa hunifahamu kwa undani.
Pamoja na hayo yote, hoja yako inaonekana hujaifanyia utafiti, kwani kama unalalamika hivyo, ungekuja na orodha au na data za kudhibitisha kauli yako ya kusema mambo ambayo yamefanywa na hao viongozi wachaga ambayo yanafanya wasiweze kuongoza hizo idara za serikali ukilinganisha na hayo makabila mengine, pia, ungetueleza kwa kina ni kabila gani lingine unalolipendekeza zaidi ya hao wachaga.

That is the point! wanapodai ukabila wa wachagga watoe data basi siyo idadi tu. Waoneshe wachagga kama jumuiya wamefanya nini kujitukuza na kujipendelea na zaidi ya yote wanapotoa data hizo waoneshe data linganifu pia kwamba wapare hawako hivyo, wangoni hawako hivyo, wazigua hawako hivyo n.k! Je makabila mengine hawasaidiani kupata kazi? Je wale wanaoitana kaka na dada au mashemeji na wifi kutokana na makabila yao hawalindani? Hawapeani maonyo ya chini chini?

Kutoka mang'amuzi yangu binafsi nimeshawahi kushuhudia bosi wa kisukuma akimuita nyumbani afisa mmoja wa polisi msukuma kule Mbeya na kumkalisha chini kwa sababu ya vitendo vyake fulani na ya kumtishia kuwa akiendelea navyo hatosita kuona anafanyiwa court marshal na kuondolewa jeshini. Jambo hilo hakuwahi kusikika kulifanya kwa mtu mwingine, isipokuwa huyo kijana wa kisukuma.

Hivyo unachosema ndio point kubwa ya mada hii. Only umeshindwa kuelewa upande nilioko mimi.

Mwisho, naomba nikushauri, hizi hoja za uchochezi ukiziendekeza kuna siku zitatufikisha pabaya, manake nauhakika tukimaliza kuhoji ukabila tuaanza kuhoji udini na jinsia.

exactly.. kwa kadiri tunavyovumilia watu wanaoimba ukabila wa wachagga, muda si mrefu tutaanza kuimba ukabila wa watu fulani. Hivi msemo wa "Waarabu wa Pemba, hujuana kwa vilemba" msingi wake siyo ndiyo huu? Na ni kweli tukishawaondoa wachagga kwenye kazi mbalimbali lakini matatizo yetu yakaendelea tutaanza kutafuta "mchawi" mwingine. Ndiyo maana ukabila na ubaguzi wowote lazima upingwe kwa nguvu zote.

Pendekezo langu ni kuomba thread kama hii itolewe mapema kabla hatujaanza kuibua hisia za chuki kati yetu watazania. Pia nakushauri uwe unajishauri mara mbili kabla ya kuweka post hapa jambo forums

Usiogope, chuki watu wanazo na nyingine umeziona humu. Angalia jinsi nilivyoanza mada hii (ile mistari ya mwanzo) halafu angalia michango ilivyoendelea. Kujificha na kutokuzungumzia mambo haya ndio kukaribisha ukabila pole pole. Binafsi nafurahi kuwepo kwa JF kwa sababu mambo ambayo makabila mengine yanasema juu ya Wachagga pembeni na kwenye mazungumzo yao ambapo Wachagga hawayasikii, hapa yanaweza kusikika na Wachagga wanapata nafasi ya kudefend, kuchochea moto hisia hizo au kujua ni jinsi gani wanazijenga.

Kama Taifa hatuwezi kujificha chini ya vivuli vya "amani na mshikamano" wakati ndani yetu kuna hisia hizi za hatari ambazo zimekuwa zikipikwa taratibu. Kinachonishtua sana ni kuwa hisia hizi dhidi ya Wachagga zilikuwepo tangu miaka ya sitini. Utadhani baada ya miaka mingi ya uhuru na watu wa makabila mengine kufanikiwa pia (kama anavyoonesha Mkandara) hisia hizi zitapoa na kutulia. La hasha, inaonekana kizazi kipya kimeanza kuzipokea. Na hapo ndipo ilipohatari yetu.
 
Mkodoleaji hivi wewe unafikiri watu hawawaoni wivu Wakinga? Nenda Mbeya utashangaa... tena wao wanadaiwa kupata utajiri wao kwa njia mbaya kweli...

Wakinga wanajituma na si majambazi usitake kuwapazia, wanafanya sana biashara na hawana ukabila mabus yao kila mtu anapanda.
 
Joka,
Sidhani kuwa watu wako too obsessed na wachaga kwenye TRA na CHADEMA tu, hizo mbili ni zile tu ambazo tu zilizokuwa mbele hivi karibuni. Lakini ukweli ni kuwa sehemu nyingi serikalini na hata kwenye biashara binafsi, hayo malalamiko yapo wazi.

Lakini sidhani kuwa hayo malalamiko hayana ukweli, hasa ukichukulia simple statistics ulizoonyesha. Tanzania kuna graduates kutoka makabila karibu yote kwenye kila taaluma ingawa kuna makabila yenye namba kubwa zaidi kuliko wengine. Kwa hiyo inapotokea wahasibu wengi wa TRA wanapokuwa kabila moja na bosi wao, hiyo ina haki ya wengine kulalamika hata kama hilo kabila wana 15% au zaidi ya graduates wa BCom au Adv. Dipl. in Tax Management za IFM.

Tuachane na kupigilia misituni, ukweli unajulikana kuwa, yapo makabila Tanzania yenye tabia za kujipendelea bila hata ya kuona aibu na yamejulikana kufanya hivyo tokea nchi yetu ilipoanzishwa. Tulipasue hili jipu ili maumivu yake yawe ni ya muda tu otherwise litazua mengine.

La muhimu ni kwa hayo makabila kujiangalia wenyewe katika matendo yao na waTanzania kutofungia macho huo upendeleo unapotokea ili uangaliwe ukweli wake.

wasukuma si wakabila na hawajipendelei kama wachagga.
 
Nani anaweza kunihakikishia kuwa Wachagga wamesoma kuliko makabaila mengine! nipeni hizo dataz!..haiwezekani kabisa nchi yenye population karibu 40 na makabila 120 ukasema Wachagga wamesoma!..wapo wengi lakini hilo sio somo kabisa...

China yenye population zaidi ya Billion mbili wana wasomi pengine sawa na population nzima ya Marekani Je wao wamesoma kuliko Marekani au Norway...jamani hizo kazi zinachukua nafasi gani ya ajira nchini kama sio less than 30%.. Asilimia kubwa ya wananchi wote tunaambiwa ni wakulima ambao hata Wachagga wamo kwa asilimia kubwa kuliko waliosoma.. sawa kabisa na makabila mengine.
Hizi secondary unazozungumzia kuna watu wa makabila kibao wamesoma huko haikuwa swala la kabila fulani kusoma Kilimanjaro hata kidogo. Kifupi sasa wewe ndio unataka kunambia hata elimu hiyo ilitolewa kwa Wachagga. Kuwepo shule Kilimanjaro haina maana waliosoma ni Wachagga,,,matokeo ya taifa yalieleza wazi nani anakwenda secondary gani hata uwe Mtwara..
Mkuu Tumekwenda sote vyuoni tumewaona wachagaa na tunafahamu wingi wao.
Leo msitazame nafasi za kazi nchini na kuutazama mfumo mzima wa Kiutawala mnaanza kuleta habari za Wachagga wamesoma..When?.. bado mnazungumzia miaka ya 50 na 60 au hivi leo.. Nipeni takwimu za chuo kikuu toka mwaka 1990 na vyuo vingine vyote hata tufuate majina tuone ukweli wa haya madai yenu..Kwani taabu nini si hawa ndio maofisa ktk taasisi zetu?..kwanini tuandikie mate hali wino upo toeni takwimu!.

Hakuna dataz za kusema wachagga wamesoma,shule zote za zamani zilikuwa Tabora,Tanga na Morogoro.
mwaka huu darasa la saba mwanafunzi aliyeongoza katoka Rufiji na kidato cha sita aliyeongoza katoka FEZA BOYS mwanafunzi si mchagga na shule haiko KILIMANJARO. hawa wachagga hadi mitihani ya CPA walikuwa wakinunua si watu wa kuaminiwa.
 
LETA wewe kwanza hizo data zinazoonyesha kuwa NAFASI ZOTE WALIZONAZO HAWAJA QUALIFY?
Kihiyo naye MCHAGGA?
Hata waislam wenyewe wameanza kushitukia elimu sasa hivi kwani zamani ilikuwa ni MADRASSA TUUU!
Na SHULE WALISEMA NI ELIM DUNIA!
Hivyo haikupewa kipaumbele sana.Na wakati wakienda ku apply kazi wanakuta kuwa elimu ya MADRASSA haiwasaidii kupata kazi na hivyo wanabakia kulalamikia UDINI NA UCHAGGA!

wewe Mushi mzima? kuuza mtori kuna qualification gani? kupiga KIWI viatu au shoeshine unahitaji digrii gani?ufundi gereji n.k.
kazi za wachagga hadi kuuza mishikaki na kuwa wahudumu wa Bar, kama wamesoma wasingefanya kazi hizo.
 
Usijishauwe wewe MAMVI UMESHAUZA NCHI!

WEWE UME WADESCRIBE WACHAGGA UNAVYOPENDA!

MIMI NAWAAMBIA MODS KUWA KILA MTU KAMA HILI JINAMIZI JINGA HAPA..WATAJE MAKABILA YAO LA SIVYO HUU NI UONEVU KWA WACHAGGA!

WAWEKE MAKABILA YAO KAMA NI MIMI NAJULIKANA NI MCHAGGA...NA MZEE WANGU MCHAGGA ASILIA ALIHAMIA KUTOKA UMASAINI...MAMA ALIHAMIA KUTOKA UMERUNI...NI LOCATIONS ZILIWABADILISHA NA HATA DIALECTS ZAO!

Sasa ili mjadala huu uwe fair na MIMI NIANGALIE MADUDU YA KABILA LAKO KAMA ULIVYO DESCRIBE KUHUSU WACHAGGA...

NATAKA UTUMIE HAYO MAMVI YAKO KUJIBU SWALI HILI....WE NI KABILA GANI?

Mushi mbona kila mtu unataka mjue kabila lake? huwezi kumsaidia au kujadiliana na mtu hadi ujue kabila lake? huo ndio ukabila wenu.
 
Mwanakijiji, Kubwajinga na wengineo...!

Kweli tokea nimejiunga na jambo forums, leo ni kati ya siku ambayo nimeona post ya ajabu na ya kushangaza mno. Kwanza nimejaribu kujiuliza ni nini madhumuni ya mwanakijiji kuweka post hii tena akiweka kichwa cha habari kinachosema "Viongozi wa Idara ambao ni wachaga waachie ngazi" Je ni nini hasa unataka kukitafuta hapa?

Je vyeo siku hizi vimekua vikigawiwa ka ukabila? kweli kama tumeshafikia mahali pa kuhoji hali hii, nahakika hata wachaga wakiondoka kwenye hivyo vyeo wakapewa watu wengine, kwa mfano WAKARA au WAFIPA nauhakika kuna siku utahoji pia hao WAKARA au WAFIPA nao waachie ngazi, tutaendelea kuhoji hali hio mpaka tutakuta taifa zima hamna anayeweza kutawala kwa sababu ya ukabila.

Kinachonishangaza zaidi, ni kwamba hoja yako imekuja wakati ambao Bw. Chacha wangwe akiwa ametimuliwa uongozi, hii inaashiria kwamba umetumwa uje kuwasilisha propaganda za Wangwe hapa.

Aidha, kama unaona kuna uzito kwenye hoja yako, uliombwa uipeleke kwenye gazeti halafu uichapishe huko ili kila mtu aione, lakini kwa vile unajua wazi kwamba hoja yako ni ya uchochezi wewe mwenyewe umebaini kwamba haiwezi kupokelewa wala kuchapishwa kwenye gazeti, tena hata ikichapishwa inaweza kufanya gazeti hilo kufungiwa kwa kuandika habari za uchochezi.

Kweli mimi sikufahamu kwa undani, lakini nauhakika hii post yako imekupotezea umaarufu na kukushusha sana hadhi yako kwani unaonekana ni mtu unaeyeendeshwa kwa propaganda za uchochezi, Aidha inaonekana wewe ni mtu wa kupenda mafanaikio kwa kutumia njia za mkato kama vile kulalamika na majungu ili uonekane unaonewa ili upendelewe.

Pamoja na hayo yote, hoja yako inaonekana hujaifanyia utafiti, kwani kama unalalamika hivyo, ungekuja na orodha au na data za kudhibitisha kauli yako ya kusema mambo ambayo yamefanywa na hao viongozi wachaga ambayo yanafanya wasiweze kuongoza hizo idara za serikali ukilinganisha na hayo makabila mengine, pia, ungetueleza kwa kina ni kabila gani lingine unalolipendekeza zaidi ya hao wachaga.

Mwisho, naomba nikushauri, hizi hoja za uchochezi ukiziendekeza kuna siku zitatufikisha pabaya, manake nauhakika tukimaliza kuhoji ukabila tuaanza kuhoji udini na jinsia.

Pendekezo langu ni kuomba thread kama hii itolewe mapema kabla hatujaanza kuibua hisia za chuki kati yetu watazania. Pia nakushauri uwe unajishauri mara mbili kabla ya kuweka post hapa jambo forums.

Mwanakijiji yuko upande wa MBOWE sio Wangwe.
 
mushi Mbona Kila Mtu Unataka Mjue Kabila Lake? Huwezi Kumsaidia Au Kujadiliana Na Mtu Hadi Ujue Kabila Lake? Huo Ndio Ukabila Wenu.

Yule Mwenye Kuwa Describe Wachagga Anavyopenda Basi Ni Lazima Mchagga Naye Ajuwe Kabila Lake Ili Na Yeye Am Describe Anavyopenda!
Si Ndiyo Demokrasia Hiyo Unayoipigania Huko Chadema?
Ama Demokrasia Yako Wewe Ni Ya Kuwalaani Na Kuwachukia Wachagga Na Wao Wanyamaze!
Thubutu!
 
wasukuma si wakabila na hawajipendelei kama wachagga.

Kama WEWE HUJIPENDELEI ULIJIPENDEKEZA NINI KWENYE CHAMA CHA WACHAGGA NA WAKATI KABURU ALISHAKUKANYA?
NA HUKO CHUMBANI KEMPISKI KUNA VIDEO MLISHUTI?
AMA WE NI MZEE WA PONO NA MWARABU BILA VIDEO SHOOTING?
MWARABU ALIKUFURAHISHA?
AMA NI NINI KIKUFURAISHACHO?
 
jmushi!

Hii Topic Kama Nilivyosema Awali Sio Swala La Demokrasiatu, Ila Pia Inakupa Picha Halisi, Ya Upeo Wa Kufukiria Alionao Mwanzisha Mada,kufirisika Kitopic Ndiko Huko Sasa.

Pili Inaonyesha Ni Jinsi Gani Watu Wako Tayari Kutoweka Masilahi Ya Taifa Mbele Na Juiweka Wenyewe Mbele.na Nidhamu Ya Aina Hiyo Sidhani Kama Mtu Wa Namna Hiyo Anaweza Kuwa Kiongozi Mzuri.

Hii Forum Itatupa Vipimo Vingi, Kimoja Wapo Ni Kuangalia Uwezo Wa Mtu Kuongoza, Kama Watu Ambao Huwaoni Ana, Kwa Ana Unawachonganisha Inakuaje Ukiwa Naoo Mezani........
 
MKJJ Muungwana huyo mpe jibu tafadhali kabla mjadala haujaendelea.
Ahsante.
 
Of course, nimeiweka hapa kwa sababu nimechukizwa. Nimechukizwa na jinsi gani vyombo vyetu vya habari vimekumbatia hoja za Wangwe na kuzirusha kwenye radio kitu ambacho kinaendelea kuchochea hisia za chuki dhidi ya wachagga. Kilichoniudhi zaidi ni kuwa hakujatokea mtu yeyote wa maana kumpinga Wangwe waziwazi kwa kutumia rational argument na kumfanya aonekane anachosema kina ukweli.

Mwanakijiji,
Tokea awali ulipoileta hii article nilikuhadharisha kuwa mapenzi yako makubwa kwa CHADEMA yanakufanya usiwe unafikiria sawia. This paragraph says it all.

Umeinvest too much kwenye CHADEMA na Mbowe in particular kiasi kuwa anything antiMbowe kwako ni matusi.

Ambaye haoni kasoro zenye sura ya kikabila ndani ya CHADEMA naomba anyooshe mkono...........!!@$%$%#???

Wake up MJJ before you destruct yourself. Wangwe has some points that need consideration but only if you are sober and awake.
 
Mbona uaharibu mjadala wewe?
Kweli we Lowassa!
Sasa wewe unabisha hutofautiani mawazo na JK!
Mi nakwambia hizi siku kadri zinavyosogea tutajuwa mengi maana hata wale viongozi tulofikiri wako pamoja si hivyo kabisa!
Sasa unajua LeoKweli ni nani?
 
Mwanakijiji,
Tokea awali ulipoileta hii article nilikuhadharisha kuwa mapenzi yako makubwa kwa CHADEMA yanakufanya usiwe unafikiria sawia. This paragraph says it all.

Umeinvest too much kwenye CHADEMA na Mbowe in particular kiasi kuwa anything antiMbowe kwako ni matusi.

Ambaye haoni kasoro zenye sura ya kikabila ndani ya CHADEMA naomba anyooshe mkono...........!!@$%$%#???

Wake up MJJ before you destruct yourself. Wangwe has some points that need consideration but only if you are sober and awake.

KJ... naomba wewe basi utuoneshe ukabila ndani ya Chadema, nje ya hoja za Wangwe.
 
KJ... naomba wewe basi utuoneshe ukabila ndani ya Chadema, nje ya hoja za Wangwe.

MJJ,
Nafikiri itakuchukua muda kwako kufunguka macho kwa sababu kupenda ni ugonjwa. Lakini naomba tu usizidharau hoja za Wangwe. Ushahidi juu ya ukabila ni mwingi na wa wazi wazi na wala huhitaji kuwepo Dar kuufahamu. Ni kuamua tu kuuamini au la.

Sidhani kama waTanzania waliwasingizia Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa n.k., in decreasing order, kwenye suala la upendeleo wa kikabila. Ni kutokana tu na yaliyotokea kwenye maisha yao ya kilasiku. Muhimu cha kuangalia kwenye CHADEMA, among others ni vifuatavyo;
  1. Ni nini cha kufanyika ukabila unapokiingilia chama kama CHADEMA? Njia gani ziwe zinafuatwa kurekebisha?
  2. Kumpiga mawe Wangwe kwa kutumia pesa na influence ya Mbowe je hiyo ni dawa?
  3. Je hizo mbinu za Mbowe zitapooza hizo hisia zilizopo ndani ya chama au hisia ni za Wangwe peke yake?
  4. Je inachukua muda kiasi gani au pesa kiasi gani kupangana upya ndani ya chama badala ya kuendekeza 'civil war' inayoua vyama?
Kama ni wabunge wnaolalamikiwa, wote ni wa kuteuliwa wanaweza badilishwa over-night. Kama ni madereva na masecretary, hiyo ndio rahisi kabisaa. Fukuza wale wote wenye udugu na viongozi.

Litakuwa jambo la kusikitisha sana kuwa CHADEMA mahali ilipofikia ikaruhusu suala lenye kutatulika kama hili kuua chama.
 
Mambo ya ukabila yaishe sasa KJ..Na kama ni kweli unawatakia mema na unataka wafanye mabadiliko then haina maana ya kusema waendelee kusikiliza wangwe ambaye ni wazi hapendi wachagga kabisa!
Tusipoangalia tutaletewa chuki na mafisadi!
Kwani sasa issue imelazimishiwa sana na WANGWE NA RA!

Ila kuna waale wasiopenda UPUUZI HUU NA TUNAWAUNGA MOKONO BILA KUJALI DINI ZAO WALA MAKABILA YAO!

Na pia bila kujali hata ITIKADI WALA VYAMA VYAO VYA KISIASA!

There is always gonna be a common people with common interests and ofcourse our common INTEREST and objectives here is nothing more than OUR FREEDOM!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom