Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20 mtu wakawaida kashaota zaidi ya mara 100 hakuna ujumbe wowoteNdoto ni ujumbe Toka kwa Mungu au shetani so lazima waote
Hapo unaposema watafiti wanasema vipofu wanaona ndotoni,Kwa kawaida mtu huwa ANAOTA mambo yanayomzunguka kwa kusikia kuona nk nk
Kipofu ana maisha kamili hivyo anaota yale mambo yanayomtokea kila siku kwenye maisha yake pamoja na yale ambayo anayatengeneza mawazoni mwake hata kama hayaja wahi kumtokea
Ataota anakula, kalewa, kazinguana na boss wake, ana sex, amesafiri nk nk
Kipofu haoni kama sisi lakini ana namna yake ya kutengeneza vitu physical, ndio maana ukimpa kijiko na kalamu atavijiu
Akimshika mtu atajua ni mtoto au mtu mzima au ni mwanamke au mume nk
Wataalamu wana kwenda mbali zaidi na kusema vipofu wanaona ndotoni kwa sababu sehemu ya ubongo unayotengeneza visionary ipo isipokua haina mlango(macho)
So anapo lala na kuota sehemu hiyo hutengeneza vision ingawaje inaweza isiwe kama ya mtu anayeona lakini inatengeneza kama vile anayeona anaweza kutengeneza vision ya kitu ambacho hajawahi kukiona kabisa
Hapo unaposema watafiti wanasema vipofu wanaona ndotoni,
Panahitaji ufafanuzi na ushahidi zaidi.
Ufafanuzi mzuri sana [emoji120]
Unaandika kwa kujiamini kweli kweli, wakati kiuhalisia unatema makapi mabichi mabichi kama nguruwe wa kisasa.Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20
Nakubali HOJA hiyo,Kwanza unakubaliana na hoja kwamba wanaota mambo yanayojiri kwenye maisha yao kama kula sex nk nk?
Ndoto ni mkusanyiko wa matukio yote ambayo ubongo wako umeya digest,Una ushahidi?
Kuna kitu nataka tujifunze hapa.
Kwako kukosa miguu ni mfanano harisi wa kukosa macho kwenye ishu inayohusu mfumo wa fahamu kweli.Anaota vzuri tuu na nafkr wakat huo anakuwa anaona kila kitu.. Hii ni sawa na mtu awe amekatwa miguu yote, si anaweza kuota anakimbi au anapanda kwenye mti?
Hapa tunazingumzia mtu kipofu kuzaliwa mpaka kufa hajawai kuona kabisa and total blind for 100% sio sijui akivaa miwani anauwezo wa kuona kwambali, sijui nini He or she total black pitch black.Tatz akimka ndio atashindwa kutafsir yale aliyoyaona.
Mfano, mtu alipata sight problems n kuwa kipofu akiwa tayar mtu mzima huyu atakuwa anaota na kujua kila kitu akiamka.
Nimewaza tu mkuu kama ulivyowaza jina la id yako😁duh sijui hata kama tuko nchi moja. Umewaza nini lakini?
Nyie MAKASUKU WA SHULE ZA KATA huwa mnanishangaza sana. Mkikariri jambo kwenye NOTES ZENU basi linakuwa kama ANDIKO LA DINI.🤣🤣🤣 Dogo kama wewe elimu haijakukomboa kifikra umeitumia kumaliza tu shule uende chuo ni wewe....
Ndoto ni taswira zilizohifadhiwa katika kumbukumbu, na sio harufu wala mguso.Ndoto ni mkusanyiko wa matukio yote ambayo ubongo wako umeya digest,
Kama una milango 5 ya fahamu lazima uwote ndoto, hata kama mlango mmoja hufanyi kazi ipasavyo
Your out of context, hakuna hoja hapa matusi matusi tu.Unaandika kwa kujiamini kweli kweli, wakati kiuhalisia unatema makapi mabichi mabichi kama nguruwe wa kisasa.
Kitu kama hukielewi kwanini ujifanye mjuzi badala ya kukaa kitako na kupokea elimu kutoka kwa maguru?
Wajinga huwa wanajiamini sana, sijui kwanini?
Hata mavi wanakula wanasema ni matamu.
Wewe ukimwota Mungu unamwota ktk image gani?🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjui
Umetepeta?Your out of context, hakuna hoja hapa matusi matusi tu.
Labda hana elimu juu ya tasfiri ya ndoto.Ndoto ni illusions tu za ubongo sio ujumbe wala nini labda kwa watu Specials tu kama manabii mpaka upright wa miaka 20 mtu wakawaida kashaota zaidi ya mara 100 hakuna ujumbe wowote
Nikuulize Boss, ushawahi kuota unafanya mapenzi nini una experience pale siunapata raha ya tendo japonica si kwa asilia zote, sasa je kusikia raga ile ni taswira inayotengenezwa na macho, Mwanamke ni Visual ila ile ran sio Visual haiwi generated na macho.Ndoto ni taswira zilizohifadhiwa katika kumbukumbu, na sio harufu wala mguso.
Taswira inatengenezwa na ubongo kwa ushirikoano wa macho.
Kama mtu hawezi kuona, anawezaje kujenga taswira katika ubongo ili kuleta ndoto?
Nakubali HOJA hiyo,
Ila wanaotaje, wanaona au hawaoni, wanasikiza tu Hilo nahitaji ufafanuzi wa kina na ushahidi.
Vizuri kujifunza fact na sio hisia hisia, today umezaliwa ushaota zaidi ya mara 100 je yote yamekutokea. Je umeota ukifanya mapenzi na wanganui je umefanya nao mapenzi, umeota unaruka sehemu parent je uliwahi ruka....HISIA HISIA KWA WAJINGA HATUPO HAPA KUJADIRI HISIA.Umetepeta?
Ndoto sio illusions, ni kitu halisi.
Kuna mtu akiota jambo, linatokea vile vile kama alivyoota.
Usibwate sana kama nguruwe wa kisasa, jifunze.
Nikisema katika lango la ndoto, vipofu na wanaona wako sawa sawa,Hapa na assume tunaongelea kipofu wa kuzaliwa
Mkuu wanaota namna wanavyoishi
Kipofu anaweza kukwambia nimeota mwanangu kachaguliwa chuo kikuu, nimeota mke wangu kapata mimba baada ya kuhangaika sana, nimeota nasex nikachafua shuka nk nk...... hapa maana yake kuota sio lazima UONE
Kuhusu KUONA ndotoni
Vipofu wana namna yao ya kutengeneza visuals kwanye vitu halisi na ndio maana ukimpa kofia akiishika atakwambia ni kofia nk nk
Visuals hizo ndio wanazotumia kuwaza,kuota, kutengeneza vitu nk nk
Umetepeta?
Ndoto sio illusions, ni kitu halisi.
Kuna mtu akiota jambo, linatokea vile vile kama alivyoota.
Usibwate sana kama nguruwe wa kisasa, jifunze.