Tafsiri ya neno " MTU" ni nini Hasa? Kabla ya kwenda kwenye ndoto?Vizuri kujifunza fact na sio hisia hisia, today umezaliwa ushaota zaidi ya mara 100 je yote yamekutokea. Je umeota ukifanya mapenzi na wanganui je umefanya nao mapenzi, umeota unaruka sehemu parent je uliwahi ruka....HISIA HISIA KWA WAJINGA HATUPO HAPA KUJADIRI HISIA.
Ukiendelea na matusi matusi yako usi quote hoja zangu katukanane na wenzio msiostaarbika.
Nikisema katika lango la ndoto, vipofu na wanaona wako sawa sawa,
Nitakuwa nimepatia?
Wanaona sawa na sisi tunavyoona katika lango la ndoto maana ndoto ni Ulimwengu mwingine kabisa tofauti na huu.Sijakupata vizuri mkuu
Yaani kwenye ndoto wanaona kama tunavyoona sisi?
Mtu si Mtu, au binadamu kwa jina lingine.Tafsiri ya neno " MTU" ni nini Hasa? Kabla ya kwenda kwenye ndoto?
Wanaona sawa na sisi tunavyoona katika lango la ndoto maana ndoto ni Ulimwengu mwingine kabisa tofauti na huu.
Swali gumu sana hili
Wahi mirembe.Mkuu niliwahi kuota namgegeda Madonna..... kumbe ilikua HALISI kabisa[emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu aliwahi kuota kakutana na Mungu kalewa [emoji23]
Jf wakaona isiwe tabu wakatuvalisha vinyago tufanane kweli.Nimewaza tu mkuu kama ulivyowaza jina la id yako😁
Kwako sayansi ni DINI, ndio maana wewe ni MUUMINI WA SAYANSI. Hata ukiambiwa MAVI NI SAYANSI unabugia bila ajizi.Binafsi ni muumini mzuri sana wa sayansi
Haujaona majibu murua ya WAHITIMU WA SHULE ZA KATA?Swali gumu sana hili
Jf mwakani wasitufanyie hiviJf wakaona isiwe tabu wakatuvalisha vinyago tufanane kweli.
Hamjaelewa swali la mtoa mada, mnapinga bila kufikiri, kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona tangu kuzaliwa. Swali ni je, huwa wanaota ndoto na wanaota ndoto gn, je kwenye ndoto wanaona nn? Mana kwa kawaida mtu anayeota lazima aone kitu fulani lkn kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona, je anaotaje? au anaota ule wekundu na ubluu anaoona siku zote za maisha yake? tafakari kwanza ndiyo ujibu.Wanaota hata imaginary vision kuota ni kazi ya brain sio macho
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] nimeongeza maarifa.. ThanksWasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.
Upended wa kipofu hakuna data kabisa ya image yoyote ile wala imagination kwasababu pia huwezi imagine kuwa shetani ana mapembe na making ikiwa hizo pembe na majino hujawai kuyaona yaani ubongo hauna data hii inafanya kuwa ngumu kipofu kuota kiumbe harisi mpaka hiko cha ajabu.
Kifupi, ndoto ni kama AI GENERATED IMAGE AND VIDEO, Ai inability ilishwe data kwanza ndio huweze ku prompt image unayoitaka.
Kitu ambacho hufahamu ni kwamba wanaota vizuri kabisa brain ni kitu cha ajabu sana , kipofu huwa wana imaginations akisikia hata sauti yako ana imagine na kutengeneza picha kwenye ubongo wake , like wise akiota huwa anaota vile vile kwa imagination aliyoiweka kichwani kwake na mungu anavyomuonyeshaHamjaelewa swali la mtoa mada, mnapinga bila kufikiri, kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona tangu kuzaliwa. Swali ni je, huwa wanaota ndoto na wanaota ndoto gn, je kwenye ndoto wanaona nn? Mana kwa kawaida mtu anayeota lazima aone kitu fulani lkn kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona, je anaotaje? au anaota ule wekundu na ubluu anaoona siku zote za maisha yake? tafakari kwanza ndiyo ujibu.
Ubongo hauwezi kutengeneza picha endapo hauna DATA ya picha hata moja wala hauna BASE ya kujua UONO WA HIO PICHA unafananje.....Vitu viwili hapo DATA na BASE.Kitu ambacho hufahamu ni kwamba wanaota vizuri kabisa brain ni kitu cha ajabu sana , kipofu huwa wana imaginations akisikia hata sauti yako ana imagine na kutengeneza picha kwenye ubongo wake , like wise akiota huwa anaota vile vile kwa imagination aliyoiweka kichwani kwake na mungu anavyomuonyesha
Wahi mirembe.
Kwako sayansi ni DINI, ndio maana wewe ni MUUMINI WA SAYANSI. Hata ukiambiwa MAVI NI SAYANSI unabugia bila ajizi.
Mwaka 2021 waumini wa DINI YA SAYANSI walipanga foleni kudungwa machanjo feki kisha wakajipongeza kwa kuiabudu na kuisujudia corona bandia.
Majasusi tunadunda tu, hatuna hofu wala mashaka. Hatubabaishwi na machanjo uchwara.
Ubongo hauwezi kutengeneza picha endapo hauna DATA ya picha hata moja wala hauna BASE ya kujua UONO WA HIO PICHA unafananje.....Vitu viwili hapo DATA na BASE.
Hii itawezekana endapo huyo kipofu atapewa uwezo wa kuona japonica kwa sekunde moja tu akaona mtu, nyumba na mbuzi na akapofuka tena hapo atakuwa na BASE pamoja na DATA, BASE ni ubongo kupata knowledge mpya kabisa kua KUONA KUPOJE (VISION) pia utapata DATA ambazo mtu, mbuzi, nyumba, mwanga nk.....Hivyo huyu akiendelea kuwa kipofu akasiki anaemia jamaa mrefu huyo ubongo utaenda kwenye FILE la mtu utamlinganisha na mbuzi na kufanya calculations nyingi ndipo image itatengenezwa kutoka kwenye BASE ya kuona.
Kipofu hana yoote haya unachohitaji ku-notr hapo kwenye BASE yaani ubongo wa kipfu sio hauna image ya mbuzi yupoje bali hata elimu ya kuona kupoje hauna inahitaji ubongo ujue kuona kupoje (BASE) ndio utaweza tengeneza taswira.