Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Vizuri kujifunza fact na sio hisia hisia, today umezaliwa ushaota zaidi ya mara 100 je yote yamekutokea. Je umeota ukifanya mapenzi na wanganui je umefanya nao mapenzi, umeota unaruka sehemu parent je uliwahi ruka....HISIA HISIA KWA WAJINGA HATUPO HAPA KUJADIRI HISIA.

Ukiendelea na matusi matusi yako usi quote hoja zangu katukanane na wenzio msiostaarbika.
Tafsiri ya neno " MTU" ni nini Hasa? Kabla ya kwenda kwenye ndoto?
 
Sijakupata vizuri mkuu

Yaani kwenye ndoto wanaona kama tunavyoona sisi?
Wanaona sawa na sisi tunavyoona katika lango la ndoto maana ndoto ni Ulimwengu mwingine kabisa tofauti na huu.
 
Mkuu mimi siamini katika haya mambo ya kusadikika ambayo hayathibitiki
Binafsi ni muumini mzuri sana wa sayansi

Kwangu mimi ndoto ni illusions tu.... nothing more
 
Swali gumu sana hili

Kwanini mkuu?

Kama mtu anaweza kuishi bila kuona atashindwa kuota bila kuona?

Think about it
kuna watu wanaona halafu wanaota wamenyofolewa macho ndotoni hawaoni.....na ndoto inaendelea [emoji23]
 
Binafsi ni muumini mzuri sana wa sayansi
Kwako sayansi ni DINI, ndio maana wewe ni MUUMINI WA SAYANSI. Hata ukiambiwa MAVI NI SAYANSI unabugia bila ajizi.

Mwaka 2021 waumini wa DINI YA SAYANSI walipanga foleni kudungwa machanjo feki kisha wakajipongeza kwa kuiabudu na kuisujudia corona bandia.

Majasusi tunadunda tu, hatuna hofu wala mashaka. Hatubabaishwi na machanjo uchwara.
 
Wanaota hata imaginary vision kuota ni kazi ya brain sio macho
Hamjaelewa swali la mtoa mada, mnapinga bila kufikiri, kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona tangu kuzaliwa. Swali ni je, huwa wanaota ndoto na wanaota ndoto gn, je kwenye ndoto wanaona nn? Mana kwa kawaida mtu anayeota lazima aone kitu fulani lkn kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona, je anaotaje? au anaota ule wekundu na ubluu anaoona siku zote za maisha yake? tafakari kwanza ndiyo ujibu.
 
Wasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.

Upended wa kipofu hakuna data kabisa ya image yoyote ile wala imagination kwasababu pia huwezi imagine kuwa shetani ana mapembe na making ikiwa hizo pembe na majino hujawai kuyaona yaani ubongo hauna data hii inafanya kuwa ngumu kipofu kuota kiumbe harisi mpaka hiko cha ajabu.

Kifupi, ndoto ni kama AI GENERATED IMAGE AND VIDEO, Ai inability ilishwe data kwanza ndio huweze ku prompt image unayoitaka.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] nimeongeza maarifa.. Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjaelewa swali la mtoa mada, mnapinga bila kufikiri, kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona tangu kuzaliwa. Swali ni je, huwa wanaota ndoto na wanaota ndoto gn, je kwenye ndoto wanaona nn? Mana kwa kawaida mtu anayeota lazima aone kitu fulani lkn kipofu wa kuzaliwa hajawahi kuona, je anaotaje? au anaota ule wekundu na ubluu anaoona siku zote za maisha yake? tafakari kwanza ndiyo ujibu.
Kitu ambacho hufahamu ni kwamba wanaota vizuri kabisa brain ni kitu cha ajabu sana , kipofu huwa wana imaginations akisikia hata sauti yako ana imagine na kutengeneza picha kwenye ubongo wake , like wise akiota huwa anaota vile vile kwa imagination aliyoiweka kichwani kwake na mungu anavyomuonyesha
 
Ubongo hauwezi kutengeneza picha endapo hauna DATA ya picha hata moja wala hauna BASE ya kujua UONO WA HIO PICHA unafananje.....Vitu viwili hapo DATA na BASE.

Hii itawezekana endapo huyo kipofu atapewa uwezo wa kuona japonica kwa sekunde moja tu akaona mtu, nyumba na mbuzi na akapofuka tena hapo atakuwa na BASE pamoja na DATA, BASE ni ubongo kupata knowledge mpya kabisa kua KUONA KUPOJE (VISION) pia utapata DATA ambazo mtu, mbuzi, nyumba, mwanga nk.....Hivyo huyu akiendelea kuwa kipofu akasiki anaemia jamaa mrefu huyo ubongo utaenda kwenye FILE la mtu utamlinganisha na mbuzi na kufanya calculations nyingi ndipo image itatengenezwa kutoka kwenye BASE ya kuona.

Kipofu hana yoote haya unachohitaji ku-notr hapo kwenye BASE yaani ubongo wa kipfu sio hauna image ya mbuzi yupoje bali hata elimu ya kuona kupoje hauna inahitaji ubongo ujue kuona kupoje (BASE) ndio utaweza tengeneza taswira.
 
Kwako sayansi ni DINI, ndio maana wewe ni MUUMINI WA SAYANSI. Hata ukiambiwa MAVI NI SAYANSI unabugia bila ajizi.

Mwaka 2021 waumini wa DINI YA SAYANSI walipanga foleni kudungwa machanjo feki kisha wakajipongeza kwa kuiabudu na kuisujudia corona bandia.

Majasusi tunadunda tu, hatuna hofu wala mashaka. Hatubabaishwi na machanjo uchwara.

Mkuu sayansi sio DINI...... hataka kama hujachanja korana lakini wewe na ukoo wako wote mmechanja chanjo zingine lukuki kuanzia ndui nk
Hata sasa ukiumwa utatumia sayansi kujitibu

Una apply sayansi kila siku kwenye maisha yako mkuu.... hakuna maajabu yoyote

Ukitaka chai ni maji majani ya chai na sukari ...... hii ndio sayansi
 
Ubongo hauwezi kutengeneza picha endapo hauna DATA ya picha hata moja wala hauna BASE ya kujua UONO WA HIO PICHA unafananje.....Vitu viwili hapo DATA na BASE.

Hii itawezekana endapo huyo kipofu atapewa uwezo wa kuona japonica kwa sekunde moja tu akaona mtu, nyumba na mbuzi na akapofuka tena hapo atakuwa na BASE pamoja na DATA, BASE ni ubongo kupata knowledge mpya kabisa kua KUONA KUPOJE (VISION) pia utapata DATA ambazo mtu, mbuzi, nyumba, mwanga nk.....Hivyo huyu akiendelea kuwa kipofu akasiki anaemia jamaa mrefu huyo ubongo utaenda kwenye FILE la mtu utamlinganisha na mbuzi na kufanya calculations nyingi ndipo image itatengenezwa kutoka kwenye BASE ya kuona.

Kipofu hana yoote haya unachohitaji ku-notr hapo kwenye BASE yaani ubongo wa kipfu sio hauna image ya mbuzi yupoje bali hata elimu ya kuona kupoje hauna inahitaji ubongo ujue kuona kupoje (BASE) ndio utaweza tengeneza taswira.

Mkuu kipofu anaota kulingana na anavyo experience life yake
 
Back
Top Bottom