Ubongo hauwezi kutengeneza picha endapo hauna DATA ya picha hata moja wala hauna BASE ya kujua UONO WA HIO PICHA unafananje.....Vitu viwili hapo DATA na BASE.
Hii itawezekana endapo huyo kipofu atapewa uwezo wa kuona japonica kwa sekunde moja tu akaona mtu, nyumba na mbuzi na akapofuka tena hapo atakuwa na BASE pamoja na DATA, BASE ni ubongo kupata knowledge mpya kabisa kua KUONA KUPOJE (VISION) pia utapata DATA ambazo mtu, mbuzi, nyumba, mwanga nk.....Hivyo huyu akiendelea kuwa kipofu akasiki anaemia jamaa mrefu huyo ubongo utaenda kwenye FILE la mtu utamlinganisha na mbuzi na kufanya calculations nyingi ndipo image itatengenezwa kutoka kwenye BASE ya kuona.
Kipofu hana yoote haya unachohitaji ku-notr hapo kwenye BASE yaani ubongo wa kipfu sio hauna image ya mbuzi yupoje bali hata elimu ya kuona kupoje hauna inahitaji ubongo ujue kuona kupoje (BASE) ndio utaweza tengeneza taswira.