DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mliweswee! Mianyeyeee!
Nawasalimu!
Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa Umoja uliokuwa Unaitwa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi)..
Na Kusimamisha Mgombea wa Urais Mmoja, Aina hii Ya Umoja ilizaa Matunda kwani Wapinzani walipata Wawakilizi wengi Bungeni..
Katika Kipindi Hiki cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tumeshuhudia Baada ya Wagombea wa Chadema au Wa ACT, Mahali walipokuwa ACT hawakusimamisha Mgombea (kutokana na Sababu za Kutokuteuliwa Mgombea huyo) tumeona Walitumia Nguvu zote Kuwanadi wagombea wa CHADEMA na walikuwa wakifanya kampeni kwa Nguvu zote Kuwanadi wagombea wa Chama Cha mwenzake na CHADEMA na yeye Mahali ambapo hakusimamishwa Mgombea walitumia Nguvu hivyo hivyo Ikinadi wagombea wa ACT..
Nguvu Iliyozaa Matunda tumeshuhudia Temeke ACT wakichukua Ushindi Kata nzima na Baadhi maeneo Chadema Ikishinda sana..
Baada ya Mbinu hiyo kufanyika na Vikao vya Tathmini Kufanyika..
Nawadokeza Kwamba Kuna uwezekano mkubwa Vyama Hivi ACT,CHADEMA ,CUF na NCCR vikaungana na Kuunda Muungano wa Umoja wa Kidemokrasia yaani UDF (United Democratic Fronts)
Dalili zimeanza Kuonekana baada ya Aliyekuwa Kiongozi wa ACT zitto kabwe Zitto kupost na Kushea mara Kwa mara Maamuzi yaliyofanyika Zanzibar mwaka 2018 na 2019 yakijumuisha Misingi ya Kidemokrasia Kuhusu Vyama vya Upinzani..
Hata Hivyo Tujikumbushe Zanzibar Declaration Ambazo zote zipo Humu Humu Jf..
Soma Hapa....