LGE2024 Je, Vyama Vya Upinzani vinataka Kuungana pamoja Kuunda Umoja Unaitwa UDF (United Democratic Fronts)?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Jamii italetaje Ukombozi wakati Bado hatujapitisha Katiba ya Mgombea Binafsi Kuchaguliwa Ingekuwa ni ruhusa mgombea binafai basi ingekuwa Poa sana maana Wengi wangegombea
Kama mgombea anayepewa dhamana na chama cha siasa anakengeuka... Huyo mgombea binafsi anaweza kutuuza chap kwa haraka!
 
Kwani Mbona Nchi nyingi Zinamgombea Binafsi..
Mgombea Mwenye Chama Anaweza kuwa Influence na Chama chake ila Mgombea Binafsi anakuwa Mzalendo sana..

Hata Marekani Kulikuwa na Mgombea Binafsi nchi nyingi zina mgombea binafsi kwenye Katiba zao
 
Kuwa nae kwenye Katiba wala si tatizo.
Binafsi naona impact yake mara zote ni kuwa mchuuzi wa kura!
Muhimu kwa TZ kwa sasa ni jinsi ya kuiondosha ccm.
 
Back
Top Bottom