Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Nov 30, 2024 #21 DR Mambo Jambo said: Jamii italetaje Ukombozi wakati Bado hatujapitisha Katiba ya Mgombea Binafsi Kuchaguliwa Ingekuwa ni ruhusa mgombea binafai basi ingekuwa Poa sana maana Wengi wangegombea Click to expand... Kama mgombea anayepewa dhamana na chama cha siasa anakengeuka... Huyo mgombea binafsi anaweza kutuuza chap kwa haraka!
DR Mambo Jambo said: Jamii italetaje Ukombozi wakati Bado hatujapitisha Katiba ya Mgombea Binafsi Kuchaguliwa Ingekuwa ni ruhusa mgombea binafai basi ingekuwa Poa sana maana Wengi wangegombea Click to expand... Kama mgombea anayepewa dhamana na chama cha siasa anakengeuka... Huyo mgombea binafsi anaweza kutuuza chap kwa haraka!
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Nov 30, 2024 #22 Open school said: Wanapinga nini? Click to expand... Mauza uza ya ccm
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Nov 30, 2024 Thread starter #23 Mfikirishi said: Kama mgombea anayepewa dhamana na chama cha siasa anakengeuka... Huyo mgombea binafsi anaweza kutuuza chap kwa haraka! Click to expand... Kwani Mbona Nchi nyingi Zinamgombea Binafsi.. Mgombea Mwenye Chama Anaweza kuwa Influence na Chama chake ila Mgombea Binafsi anakuwa Mzalendo sana.. Hata Marekani Kulikuwa na Mgombea Binafsi nchi nyingi zina mgombea binafsi kwenye Katiba zao
Mfikirishi said: Kama mgombea anayepewa dhamana na chama cha siasa anakengeuka... Huyo mgombea binafsi anaweza kutuuza chap kwa haraka! Click to expand... Kwani Mbona Nchi nyingi Zinamgombea Binafsi.. Mgombea Mwenye Chama Anaweza kuwa Influence na Chama chake ila Mgombea Binafsi anakuwa Mzalendo sana.. Hata Marekani Kulikuwa na Mgombea Binafsi nchi nyingi zina mgombea binafsi kwenye Katiba zao
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Nov 30, 2024 #24 DR Mambo Jambo said: Kwani Mbona Nchi nyingi Zinamgombea Binafsi.. Mgombea Mwenye Chama Anaweza kuwa Influence na Chama chake ila Mgombea Binafsi anakuwa Mzalendo sana.. Hata Marekani Kulikuwa na Mgombea Binafsi nchi nyingi zina mgombea binafsi kwenye Katiba zao Click to expand... Kuwa nae kwenye Katiba wala si tatizo. Binafsi naona impact yake mara zote ni kuwa mchuuzi wa kura! Muhimu kwa TZ kwa sasa ni jinsi ya kuiondosha ccm.
DR Mambo Jambo said: Kwani Mbona Nchi nyingi Zinamgombea Binafsi.. Mgombea Mwenye Chama Anaweza kuwa Influence na Chama chake ila Mgombea Binafsi anakuwa Mzalendo sana.. Hata Marekani Kulikuwa na Mgombea Binafsi nchi nyingi zina mgombea binafsi kwenye Katiba zao Click to expand... Kuwa nae kwenye Katiba wala si tatizo. Binafsi naona impact yake mara zote ni kuwa mchuuzi wa kura! Muhimu kwa TZ kwa sasa ni jinsi ya kuiondosha ccm.
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 11,622 Reaction score 26,005 Nov 30, 2024 Thread starter #25 Mfikirishi said: Kuwa nae kwenye Katiba wala si tatizo. Binafsi naona impact yake mara zote ni kuwa mchuuzi wa kura! Muhimu kwa TZ kwa sasa ni jinsi ya kuiondosha ccm. Click to expand... Fuatilia Mdahalo wa startv
Mfikirishi said: Kuwa nae kwenye Katiba wala si tatizo. Binafsi naona impact yake mara zote ni kuwa mchuuzi wa kura! Muhimu kwa TZ kwa sasa ni jinsi ya kuiondosha ccm. Click to expand... Fuatilia Mdahalo wa startv