Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
Makala Nipashe ya leo, Vyombo vya Habari.jpg

Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa -
View: https://youtu.be/bTs3S76UuoY

2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa by UTPC Kenneth Simbaya -
View: https://youtu.be/ai1tcK77mJw

3. Prog. 3 – Majadiliano, Maswali na Majibu Mada Kuu ya Kwanza, -
View: https://youtu.be/Mg8n_4_ndkI

4. Prog. 4 - Kanuni za Utangazaji Uchaguzi, vyombo vya Utangazaji by TCRA-
View: https://youtu.be/hp4x6UjGy8c

5. Prog. 5 - Maswali na Majibu kuhusu hoja ya TCRA na Vyombo vya Utangazaji -
View: https://youtu.be/BXV8rA1gqNc

6. Prog. 6 - Majumuisho na Ufungaji wa Waziri wa Habari -
View: https://youtu.be/cLew1tjX39s

Paskali
 
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
View attachment 3166754
Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa -
View: https://youtu.be/bTs3S76UuoY

2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa by UTPC Kenneth Simbaya -
View: https://youtu.be/ai1tcK77mJw

3. Prog. 3 – Majadiliano, Maswali na Majibu Mada Kuu ya Kwanza, -
View: https://youtu.be/Mg8n_4_ndkI

4. Prog. 4 - Kanuni za Utangazaji Uchaguzi, vyombo vya Utangazaji by TCRA-
View: https://youtu.be/hp4x6UjGy8c

5. Prog. 5 - Maswali na Majibu kuhusu hoja ya TCRA na Vyombo vya Utangazaji -
View: https://youtu.be/BXV8rA1gqNc

6. Prog. 6 - Majumuisho na Ufungaji wa Waziri wa Habari -
View: https://youtu.be/cLew1tjX39s

Paskali

Paskali shida yako ni nini?

Chama chako kimeshinda kwa kishindo, hiyo elimu unayoulizia Leo inasaidia nini, kama sio unafiki na uchawa tu,

Unategemea elimu kwa mpiga kura, ingezuia mizengwa ya wizi wa kura, kura feki, na kupindua matokeo kulikofanywa na CCM na vyombo vyake?

Hakuna maamuzi ya haki pale mchezaji Mh Mchengerwa anapokuwa mwamuzi wa mchezo,

Hata wakati wa Chama kimoja Cha kuchagua nyumba au jembe huyu ufedhuli haukuwepo,

Ulale unono Bw Pascali
 
Back
Top Bottom