Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Bandiko kuu lina maswali ya msingi na ya kufikirisha kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, kutokana na mwenendo, kauli na matendo ya viongozi wakuu wa chama. Naamini, kama Wajumbe watayazingatia kwa undani maswali hayo, na kuyapatia majibu halisi, hakuna shaka chama kitakuwa imara kuelekea chaguzi za kitaifa zijazo
 
Pascal nadhani Kuna kitu kinakusuta nyuma ya pazia,au pamoja na kwamba hatujui au hatuwezi kujua inawezekana pia una maslahi ya moja kwa moja na wabunge hawa feki,maana kwa mtu wa upeo wako lazima angalau utakuwa unaujua ukweli ambao usingekusukuma kuandika hiki ulichokiandika.sisi tunasubiri maamuzi,angalau yamebaki masaa Sasa.
 
Nilipumba.vu
 
13. Kuna hoja kuwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Chadema wako kama nyumbu, hufuata kila kinachofanywa na viongozi wao. Kikao cha CCM kilichokaa na kuwafuta uanachama wanachama wake 19, kilikaa kama a Kangaroo court na kutoa maamuzi ya maonevu kwa kuwaonea.

Seriously, Pascal? Have you no shame? Kwanza uka insinuate kuwa Chadema ilihusika katika jaribio la kumuua Lissu.Halafu leo unasema lile jaribio inawezekana lilikuwa Karma au kwa maneno mengine yalikuwa ni malipo kwa uovu aliokuwa akifanya. Seriously?

Na tafadhali tutajie hao wanachama 19 waliofutwa uanachama na kangaroo court ya CCM.

Amandla...
 
Halafu lilikuwa linataka liwe libunge langu eti!!!!! Olushindo lutamalaga mashi
 
Karma inawaonea mno CDM, ila Ccm haiwapatagi kabisa.
zitto junior JokaKuu Tindo Nguruvi3
 
Kuwa makini mkuu usitumue personal Attack za kumdhalilisha Mtu.
Hawa sio wa kuongea huruma wanasumu mbaya sana Kwenye kalamu zao. Hivi nikikuambia mpaka leo pasko mayala anaamini lissu alijipiga risasi mwenyewe utaamini? Hawa ndio waliomshambulia mbowe kwamba alipigwa akiwa kalewa. Kifupi pasko ni nuisance.
 
achana naye huyu jamaa hajielewagi kabisa. Alipamba sana serikali ya jiwe lakini wapiii, aliishia kamati ya maadili dodoma.
 
Achana na persol attack mkuu jibu hoja zake
 
Nashukuru mkuu angalau umegusa hoja za mada iliyopo mezani.

Ingawa kosa limeanzia kufoji nyaraka za Chama

Swali linabaki chama kimechukua hutua gani za kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…