Ni katika mazingira ya kuokoa maisha hivyo hata hapo kwenye utabibu inawezekana, kwenye uislamu hakuna jambo lilowekewa ugumu kiasi cha kukosa suluhisho.... sawa sawa; kumbe kuna exceptions! It means anaweza kuwa kharam leo, kesho asiwe kharam kutokana na hayo "mazingira fulani". Je, "mazingira fulani" hayawezi pia kuwa katika masuala ya utabibu? Maana maradhi ni kitu ambacho kipo beyond human control; ni zaidi ya "mazingira fulani" in my opinion.
Kuna rafiki angu mmoja ana kila aina ya tabia chafu ila kuhusu kitimoto huwezi kumshawishi.. mpaka nkawa namtania kuwa ni bora amalizie na kula tu...Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.
#MaendeleoHayanaChama
πππKinachokatazwa ni kula nguruwe!
Mtume mwenyewe alisema Yuko tayari kujitoa muhanga hata mara 10sio kweli uislamu haujafundisha kujitoa muhanga wale wanajifanya waislamu lkn kiuhalisia hawana mafundisho sahihi ya uislamu
Mute mwenyesio kweli uislamu haujafundisha kujitoa muhanga wale wanajifanya waislamu lkn kiuhalisia hawana mafundisho sahihi ya uislamu
Hivi Na tanzania Ni nchi ya kikafiri?Sasa hiyo kanada si nchi ya kikafiri, pili lazima ufahamu sisi hatumfati huyo jamaa yako
imani ni jambo binafsi na kwakuwa ni jambo binafsi ilimpasa abaki nalo moyoni sio kuliweka hapa kama alivyofanya huyo mwenzio.Umeambiwa haijaacha kitu na ndio ukweli wenyewe.
Ujinga ni kujaribu kutafuta aya gani imesema hilo ilhali si kitabu unachokiamini wewe.
lete maandiko kuthibitisha maneno yakoMtume mwenyewe alisema Yuko tayari kujitoa muhanga hata mara 10
Wasabato siku hizi wanafata wakristo wengine wanavyosema so hawana tatizo kabisaaaMbona unaulizia waislam tu? Vipi wasabato wao washakubali?
Ulitoe ufeee ππππKama ikatokea ukawekewa bila kujua, halafu uje ujueee.....utatamani kulitoa
Yaani wameacha kufuata kitabu chao wanafata watu wengine? Hizi dini za kujiamulia cha kufata ni tatizo, ndio maana kuna dini wanaweza kukaa mezani kujadili waruhusu au wakataze ndoa za jinsia mojaWasabato siku hizi wanafata wakristo wengine wanavyosema so hawana tatizo kabisaaa
Wakristo wote tunaongozwa na bible na haijawahi kubadilika kamwe hizi tabia ni makanisa yanajianzishia tu kama hujui lakin soteee ni wafuasi wa Yesu na bible ni kitabu chetu, nikusaidie tuYaani wameacha kufuata kitabu chao wanafata watu wengine? Hizi dini za kujiamulia cha kufata ni tatizo, ndio maana kuna dini wanaweza kukaa mezani kujadili waruhusu au wakataze ndoa za jinsia moja
m naomba kuuliza kwanini kuna agano la kale na jipya?Wakristo wote tunaongozwa na bible na haijawahi kubadilika kamwe hizi tabia ni makanisa yanajianzishia tu kama hujui lakin soteee ni wafuasi wa Yesu na bible ni kitabu chetu, nikusaidie tu
Isomeni muielewe,imetoa Mwongozo uliokamilika kabisa namna ya kumtumia kwa matumizi mengine mbali na kitoweo pamoja na uharam wakd,kila kitu kinachomzunguka binadam Koroani imetolea ufafanuzi bila kupepesa macho.kwa hiyo na la kuwekewa figo ya nguruwe koroan iliandika?
NIMEKUPUUZA.Isomeni muielewe,imetoa Mwongozo uliokamilika kabisa namna ya kumtumia kwa matumizi mengine mbali na kitoweo pamoja na uharam wakd,kila kitu kinachomzunguka binadam Koroani imetolea ufafanuzi bila kupepesa macho.
Karibu tena kwa ufafanuzi
Inshallah!!NIMEKUPUUZA.
Kama waislamu tunakubali kupandikizwa Figo ya mla nguruwe, ambae ni Mlevi, mzinifu, anaeabudu Mzungu, vipi tukatae Figo ya mnyama ambae hana dhambi?Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Agano la kale liliwashinda waefeso wakaamua kuanzisha agano jipya lenye masharti nafuu.m naomba kuuliza kwanini kuna agano la kale na jipya?