Kama ujawai kufuga nguruwe usipende kutoa maoni kwa ujumuisho. Kuna aina ya nguruwe haili nyama kabisa.Mnyama gani uyo ety akishikwa na njaa ata mwanae anamla yni yy kila kitu anakula
mnyama gni asokua na huruma na mwanae ivi ww m.damu ukishikwa na njaa ushawahi kumla mwanao. Yni mambo mengine ni kutumia ubongo wako tuu hlf ukaamua
hawa jamaa din yao bana. eti Mungu anatoa amri msile nguruwe. ila ukikutana na dharura porin hakuna chakula anakuruhusu ule. haram gafla halali.Koroani haijaacha kitu,
Mapadri wanajua hili fika ndio maana wametulia tu kwa kuwa wanasoma vitabu vyote,
Imetoa maelezo ya kutosha tu nini cha kufanya inapotokea hivyo,koroani sio ya mchezochezo ndugu
ndiyo nini sasa iki kulingana na nilichomuuliza huyo jamaa hapo juu?.Nyama ya binadamu hailiwi,dini zote zimekataza,lakini figo ya binadamu unawekewa.Tumieni akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejibu... umegonga pale pale penye mshono! Akitoa majibu ya kueleweka, yasiyo ya chuki, ni-tag Mkuu.
Mkuu hii story tunaomba reference yakeMuislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Huko nyuma mayahudi waliambiwa siku ya Sabato wasifanye kazi iwe ni siku maalum ya ibada, kuna baadhi yao wakapewa mtihani wa kujiwa na samaki wengi siku ya Sabato, wakaamua kutega nyavu usiku wa Ijumaa na kwenda kuzitoa siku ya Jumapili asubuhi, hivyo Mungu akawakasirikia na kuwageuza nyani na nguruwe. Sasa huwenda hizi tafiti ni confirmation ya kuwa hao nguruwe wana vitu vyenye kuingiliana na binadamu (maghdhubi alayhim) waliyoghadhibikiwa na Mungu kwa ukaidi wao. Sasa wale wenye kula nguruwe huenda wakawa wanakula nyama za kizazi cha wanadamu waliyogeuzwa nguruwe.
Ndio mana Hakuna kitabu kinahalalisha kula ngurue hata injili nitafutie hicho kifungu Mungu aliyajua hayo kabla ndio maana hata najisi ya mavi mpaka yatoke nje sio yakiwa tumboniTafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Kwahyo Mzee nikija Na nguruwe wangu pale msikitini nimemfunga vizuri mashekhe watanichekea Tu?Nguruwe anashambuliwa kwa uharibifu wa mazao,sio kwa jingine.Nguruwe wakiingia kwenye shamba la mihogo,hata liwe ukubwa gani,wanalimaliza mda huo huo,na kuharibu mimea yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Quraan imehalalisha kula ngurue Kama hakuna chakula chochote kilekwa hiyo na la kuwekewa figo ya nguruwe koroan iliandika?
ndiyo nini sasa iki kulingana na nilichomuuliza huyo jamaa hapo juu?.
mimi nipo kwenye koran KUANDIKA KILA KITU ili unalipachika tu kwasababu zako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. hawa jamaa hawa,basi tu. kila kitakachovumbuliwa utaambiwa Qur'an ilishakisema.
We kafiri acha shobo[emoji2960][emoji2960][emoji2960] watasema "kila mtu atakufa tu" ila ukiumwa wewe hakuna wingi.
Nasikia Qur'an inaruhusu kula [emoji200] ukiwa kwenye hali ya kufa ili kuyaokoa maisha yako.
FaizaFoxy Bwana Utam STRUGGLE MAN
Ufafanuzi tafadhali
Hivi huwezi kutanua Akili yako ufikirie zaidi ya hicho ulichofundishwa? Nguruwe akitumika kwa Tiba inakuwa kwa ajili ya kuokoa maisha ila akitumika kwa chakula inakuwa sio kuokoa maisha? Maisha Ni Kitu gani hasa? Maisha Ni tofauti na UHAI?Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba
Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Chief, mimi nipo kwenye Koran KUANDIKA kila kitu.icho ukikiandika sina pingamizi nachoQuraan imehalalisha kula ngurue Kama hakuna chakula chochote kile
Umemaliza kila kitu, Chief.Hivi huwezi kutanua Akili yako ufikirie zaidi ya hicho ulichofundishwa? Nguruwe akitumika kwa Tiba inakuwa kwa ajili ya kuokoa maisha ila akitumika kwa chakula inakuwa sio kuokoa maisha? Maisha Ni Kitu gani hasa? Maisha Ni tofauti na UHAI?
Kwa hiyo, Akizikwa nayo anakuwa hawezi kwenda Mbinguni? Mtu amewekewa Figo na kukaa nayo miaka kibao ila Siku ya kuzikwa ndo anatakiwa iondolewe? Ina maana viungo vingine vyote marehemu anaingia navyo Mbinguni? Kama ndivyo, hiyo Figo inapoondolewa anapachikwa kitu gani kwenye pengo?lkn pia kma huyo mtu akifa inatakiwa itolewe halafu ndio azikwe
We huna akili kabisa hivi unajuaa chuo kikuu Cha kale zaidi kulikua wapi na sayansi unayo isema ilikuwepo zaman kabla ya hata hao unao wasema mfano mzuri tu angalia ma piramid ya misri mpaka Leo hao wanasanyansi wa leo wanaenda kuyatazama na mwisho nataka kukuambia Hakuna sayansi inayo izid quraan ambayo mtume alifundishwa kunasehem katika dunia Kuna bahari mbili zinakutana na maji yake hayaingiliani nani alimfundisha mtume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. hawa jamaa hawa,basi tu. kila kitakachovumbuliwa utaambiwa Qur'an ilishakisema.
tulitegemea akina Einstein watokee SA, Misri Iraq etc sasa nikichume.
siku wanasayansi waki- discoverer wireless electricity watasema:, " mbona ilo limetajwa kwenye Qur'an "
itatafuta aya kwa namna yoyote ili ifit kwenye uvumbuzi huo.
Oooh. allah knows the Best.
[emoji1787][emoji1787] umenichekesha sana
usifananishe dini yako na dini nyingineKwa hiyo, Akizikwa nayo anakuwa hawezi kwenda Mbinguni? Mtu amewekewa Figo na kukaa nayo miaka kibao ila Siku ya kuzikwa ndo anatakiwa iondolewe? Ina maana viungo vingine vyote marehemu anaingia navyo Mbinguni? Kama ndivyo, hiyo Figo inapoondolewa anapachikwa kitu gani kwenye pengo?
Mimi sina Dini yangu. Dini ya Mungu.usifananishe dini yako na dini nyingine
wewe ni mpumbavu unaejaribu kujivika koti la ujuzi..We huna akili kabisa hivi unajuaa chuo kikuu Cha kale zaidi kulikua wapi na sayansi unayo isema ilikuwepo zaman kabla ya hata hao unao wasema mfano mzuri tu angalia ma piramid ya misri mpaka Leo hao wanasanyansi wa leo wanaenda kuyatazama na mwisho nataka kukuambia Hakuna sayansi inayo izid quraan ambayo mtume alifundishwa kunasehem katika dunia Kuna bahari mbili zinakutana na maji yake hayaingiliani nani alimfundisha mtume