Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
na zaidi mtume hakutabiri ujio wa bahari mbili zilizoungana, mtume alizaliwa akakuta hizo bahari zipo na maji yake hayachangamani. kwa akili timamu uwezi ona unabii hapo wala muujiza hapo.
na kwa namna nyingine:, mtume angelibahatika kufika ngorongoro na kuona nyayo za watu wa kale nazo angeliziweka kwenye Qur'an na kuzitungia script.

hizo nyeyo zingeliitwa nyeyo za Nabii Yunus aliposhuka kutoka mbinguni na kukanyaga hapo them akaenda kutazama ujenzi Kaabah pale makka. 😁😁
 
Nguruwe anashambuliwa kwa uharibifu wa mazao,sio kwa jingine.Nguruwe wakiingia kwenye shamba la mihogo,hata liwe ukubwa gani,wanalimaliza mda huo huo,na kuharibu mimea yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako nyembamba sana ni wanyamagani huwa hawashambulii mazao? Bora hawa ni mazao ya mizizi tu kuna wanyama wengine hamjawaweka kwenye kundi la kuchukiwa ni hatarishi zaidi kwa mazao ya kila namna
 
Unaona usivyo na akili hao wanasanyansi wako ulo wataja walikuwepo kipindi Cha hayo ma piramid pia nimekuuliza unajua chuo Cha kale Zaid duniani ni kipi?
 
Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.

Wabilahi tawfiq
So muislam kufuga nguruwe kwa ajili ya biashara au as a pet ni ruksa mkuu??
 
Mtihani huu sasa,ndio unaambiwa ili lifanye kazi vizuri unatakiwa upige angalau nusu ya kurost,hapa nadhani mambo ya dini yataongelewa baadaye...
 
Lakini figo si lipo tumboni, wakiliweka itakuwa kama vile umekula tu figo la nguruwe?
Kinyesi chako kinatoka tumboni mwako. Je kwa kuwa kinatokea tumboni ni sawa kwako ukila hicho kinyesi?
 
Nahisi kuna kutoelewana kwa taarifa na mapokeo ya kale (mafunzo ya dini )

Huyu mdudu sijaona kosa (uharamu) lake
[emoji41]
Huyo mdudu ni binadamu kwa mujibu wa bailojia yangu ya ya form 1,huko nyuma palikua na chanjo inayotokana na huyo mdudu,ilikua huwezi kwenda hijja Bila kuchanja,mpaka Malaysia(malaya) walipokuja na chanjo inayotokana na michikichi,nguruwe Haram kumla sio kumsoma au kunufaika nae kitiba
 
ni rahisi kwa ostadh kukubali figo ya ngurue kuliko msabato kukubali figo hiyohiyo.. mwislam nadhan hata kuna mazingira fulani (mf. njaa inayoweza kumuua) anakula, lkn msabato yeye bila shaka akifa kwa njaa ndio vizuri maana amekuwa shahidi.
.
.
dini zinatafsiri pana! lakini let me declare the interest aisee nguruwe ni mtam, cant wait leo saa kumi.
 
tofautisha kitu cheny utashi na kisicho na utashi simba anaweza kumla mwanae hasa dume akiona kazaliwa dume anaweza kumuua hivy hivy kwa jamii nying za wanyama wala nyama,,, ukitambua kwamba nguruwe hana utashi huwez kuandika ulichoandika ila soma sana historia utakuja gundua wapo watu walioua watot wao for nothing
Mnyama gani uyo ety akishikwa na njaa ata mwanae anamla yni yy kila kitu anakula
mnyama gni asokua na huruma na mwanae ivi ww m.damu ukishikwa na njaa ushawahi kumla mwanao. Yni mambo mengine ni kutumia ubongo wako tuu hlf ukaamua
 
Kwaiy ukimuona nguruwe yaweza kuwa ni babu yako? na biology gani inayosema nguruwe ni binadamu?? Leta ufafanuzi vizur
 
Mi huwa kila nikipata dhalula ya njaa ya kufa siku za weekend huwa nakula nyama ya Nguruwe kilo moja tu (sio ya kushiba) na najisikia nafuu hapo hapo.
Kweli kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu kina umuhimu wake.
Ukipiga na ndizi zako kadhaaa

Basi siku murwaaaaa

Ova
 
Samahani mi nina swali kidogo kuna kitu kinaitwa kujitoa mhanga na vijan nd walikua wahusika inasemekan kuua makafir unaenda mbingun moja kw moja je ni kwel? Kam n kweli sasa unashindwaje mda unapokua umekaribia kufa kw njaa ufe tu moja kw moja kuliko kula nguruwe sabb ukifa huon kam utakua umeshuhudia sheria ya Mungu wako ukiitimiza
 
Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba

Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Ukila nguruwe virutubisho vinaingia mwilini na ukiwekewa figo yake inakuwa kwenye mwili wako

Hakuna utofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…