Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Ukila nguruwe virutubisho vinaingia mwilini na ukiwekewa figo yake inakuwa kwenye mwili wako

Hakuna utofauti
Wew uislam huujui hio aya hapo juu imeruhusu kula ngurue kwenye njaa ili kunusuru maisha...Sasa hapa tunaona maisha ni muhim kuliko katazo la ngurue hivyo Kama ni sababu ya kiafya ngurue sio katazo kabisa. Kwani pia kwa wagonjwa wa kisukari pia wanatumia dawa itokanayo na pig...
 

Still na wewe Bado unafuata mila za watu hebu jiangalie wewe chakula unachokula ,nguo unazo vaa ni asili Yako ? , Wote tupo Njia moja tusichekani
 
Hivi huwezi kutanua Akili yako ufikirie zaidi ya hicho ulichofundishwa? Nguruwe akitumika kwa Tiba inakuwa kwa ajili ya kuokoa maisha ila akitumika kwa chakula inakuwa sio kuokoa maisha? Maisha Ni Kitu gani hasa? Maisha Ni tofauti na UHAI?
Nguruwe kutumika kama chakula haiwezi kua katika option ya kuokoa maisha labda katika circumstances ambazo hakuna mbadala kabisa, ambayo nayo hiyo probability yake yakutokea ni ndogo mno

Kutumiwa kama chakula katika mazingira ambayo vyakula vingine vipo ni kama kiburudisho, haiwezi kua kuokoa uhai, kwanini wewe hukufikiria angle hii?
 
Hata kwa wenye kisukari, kuna insulin inatoka kwenye nguruwe!
 
sio kweli uislamu haujafundisha kujitoa muhanga wale wanajifanya waislamu lkn kiuhalisia hawana mafundisho sahihi ya uislamu
 
Mkuu hii story tunaomba reference yake
Quran, Al Maidah:-
59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi Mungu na tuliyo teremshiwa na yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu?
60. Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa.

Quran, Al A'araaf:-
163. Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
164. Na kikundi kati yao walisema: Kwa nini mnawawaidhi watu ambao tangu hapo Mwenyezi Mungu atawateketeza au atawaadhibu adhabu kali? Wakasema: Ili uwe ni udhuru kwa Mola Mlezi wenu, na huenda nao wakamchamungu.
165. Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
166. Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.

Quran, Al Baqarah:-
65. Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato,(siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu.
66. Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu.
 
sio kweli uislamu haujafundisha kujitoa muhanga wale wanajifanya waislamu lkn kiuhalisia hawana mafundisho sahihi ya uislamu
Kwaiy wale wanaojitoa mhanga uku wakijinasib kutamka manen matakatifu mda wa kuua wote ni wachafu na motoni kuna wahusu kutokana na mafundish yenu?
 
Kwaiy wale wanaojitoa mhanga uku wakijinasib kutamka manen matakatifu mda wa kuua wote ni wachafu na motoni kuna wahusu kutokana na mafundish yenu?
Mafundisho ya uislamu hayaruhusu mtu kujitoa muhanga na ilo swala halipo kabisaaa kwenye uislamu

kuhusu motoni apo Allah ndie hakimu wa kweli
 
Samahan mkuu
Samahn mkuu nje ya mada kidg apo juu kúna mstari úmesema walioivunja sabato ( jumamos ya mapumziko) ni wapotofu iyo ni jumamosi gani yan ni ile ambayo watu wa dini yenu wanapaswa kuabudu au
 
There is no way that Muslim can love pigs, They disrespected the prophet of Allah
View attachment 1984099
Yani wewe chuki zako na uislamu utakuja kuishia pabaya usipojibadilisha
Juzi kati tu hapa Papa wenu alitangaza dhahiri jinsi mapastor wenu walivowanajisi watoto lkn wewe na izo picha zako za kutunga untka kuuaminisha umma uongo kuhusu Uislamu sijui tukuelewe vipi yani
 
Kwaiy ukimuona nguruwe yaweza kuwa ni babu yako? na biology gani inayosema nguruwe ni binadamu?? Leta ufafanuzi vizur
Kwenye kuwagawa makundi like form one,nguruwe yupo kundi moja na binadam,size ya moyo wake inakaribiana Sana na ya binadamu,damu yake inashabihiana Sana na ya binadamu,jike lake linapata hedhi Kama binadamu
 
Samahan mkuu

Samahn mkuu nje ya mada kidg apo juu kúna mstari úmesema walioivunja sabato ( jumamos ya mapumziko) ni wapotofu iyo ni jumamosi gani yan ni ile ambayo watu wa dini yenu wanapaswa kuabudu au
subiri nikujibu mimi jpo sio niloleta hio mada
kuna msemo wa wahenga unasema kila.zama na kitabu chake
Taurat alishushiwa Mussa ili awaongoze wana wa israel na huo mstari unawahusu hao ila sisi ummati muhammad tumeletewa qurani ndo muongozo wetu kwaio iyo jmoc unayosema ww ni kipindi hicho cha wana wa israel sio sasa ivi
katika uislamu hakuna jumamosi ya mapumziko
 
Anaweza kuliwa katika mazingira fulani.
... sawa sawa; kumbe kuna exceptions! It means anaweza kuwa kharam leo, kesho asiwe kharam kutokana na hayo "mazingira fulani". Je, "mazingira fulani" hayawezi pia kuwa katika masuala ya utabibu? Maana maradhi ni kitu ambacho kipo beyond human control; ni zaidi ya "mazingira fulani" in my opinion.
 
ukisoma comments huko nyuma ilo swala la utabibu nishalizungumzia toka jana
 
Hawa ni nani kama si mashoga in the church?
Nyie mnakataza mapastor wasioe ivi kweli inaingia akilini hii m.me rijali ale ashibe halafu akae tu bila ya m.ke ety hlf m.me uyo uyo atapelekewa kesi za ndoa wakati yy ata ndoa haijui [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Wataishia kuwanajisi watoto wenu mpaka mjue kua mumedanganywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…