Hivi wewe ulienda shule kweli? Unamanishsa ndege hazikuepo kabla ya yesu kaziumba yeye au kategeneza Yesu.Yesu anaabudiwa na baadhi ya wakristo kwa sababu ameumba ndege. Nimeshakuonyesha alichoumba hapo. Kwa hiyo aendelee kuabudiwa bila shaka ndugu muislam au sio.
WEWE NI mchaga wa ajabu Sana. Wachaga hawagi waislamu.Mbona mnatoka nje ya mada vipi mnapngonzwa na chuki au mhemuko.
Acha ukabila mkuu neenda kwenye hoja plz
Mfano kitu gani cha maana maishani ambacho hakina majibu kutoka kwa hao uliowataja.Uislam ni full uzezeta wa kujitakia. Dini gani inalazimisha waumin kufanya vitu na kuwacontrol, mtu ukihoji ujinga uliomo ndani ya hiyo dini unauliwa na kuitwa kafir kisa tu kwa sababu sheikh au imam hana jibu. Jaribu kumuuliza sheikh au imam kitu cha maana maishani cha mwaka huu 2025, ataanza kwa kucheka kwanza na kukariri haya za karne ya 7 zisizoendana na uhalisia wa maisha na kukuambia kuwa Mungu kasema hivyo. Yaani unabaki kuchanganikiwa zaidi badala ya kupata muafaka, hawa watu uwaga wananiacha hoi kwa kweli, mtu anashindwa kutumia akili alizopewa na Mungu anakimbilia haya zilizotungwa na shetani which don't make any sense at all.
Toa Aya ndani ya Quran inayokusapoti unachokisema vinginevyo bana mkaa tulia.Jua kuzama matopeni ni sayansi gani??
Hili swali linaweza jibiwa uzuri kabisa na Mama yako aliyekuzaa!Theist ni watu gani??
Za kuambiwa changanya na za kwako...
Kabisa loZa kuambiwa changanya na za kwako...
Uislamu ulianza lini?Wagalatia wameshajua kuwa hawana uwezo na kusimama na Quran Kwa hoja ndio maana hakuna anae gusa huko ndio hivyo tu wataishia kutukana tukana tu
Quran 2:2
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
Manabii wote unaowajua wewe walikuwa waislamUislamu ulianza lini?
Mbona wengine wanasema Adam alikuwa Muislamu??Manabii wote unaowajua wewe walikuwa waislam
Mzeebaba hebu pitia Aya vizuri kwanza inasema nini. Ni kwamba inasisitiza asiabudiwe yeyote ambaye hajaumba.Hivi wewe ulienda shule kweli? Unamanishsa ndege hazikuepo kabla ya yesu kaziumba yeye au kategeneza Yesu.
18:86Toa Aya ndani ya Quran inayokusapoti unachokisema vinginevyo bana mkaa tulia.
Huwezi kuumba kitu ambacho kilisha umbwa na Mungu mkuu jitahidi kuwa analytical sio kukurupuka.Mzeebaba hebu pitia Aya vizuri kwanza inasema nini. Ni kwamba inasisitiza asiabudiwe yeyote ambaye hajaumba.
Sasa kwa sababu ndege walikuwepo, Yesu kuumba ndege unakuwa sio uumbaji?
Ok, kwa hiyo kile alichokifanya Yesu kinaitwaje kama sio uumbajiHuwezi kuumba kitu ambacho kilisaha umbwa mkuu jitahidi kuwe analytical sio kukurupuka.
Kabla yakuanza mjadala naomba nipime Akili yako kwa maswali haya:18:86
Hata alipofika machea-jua aliliona linatua katika chem chem yenye matope meusi.
Umeona Aya hiyo ndani ya Quran?
Haya njoo tetea hoja yako