Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Ok, kwa hiyo kile alichokifanya Yesu kinaitwaje kama sio uumbaji
Nyie mnatakiwa kabla ya kuanza kujadiliana nanyi yafaa tupime Akili zenu kwanza.

Unapozungumzia kuumba inahusisha kufanya kitu kipya au kwa mara ya kwanza baada ya hapo inakuwa kuunda hao ndege unaowazunigumzia hata wachina wanaweza kufanya alichokifanya Yesu ila itakuwa kwa njia nyingine na vifaa tofauti na ndio maana kuna michele ya kutengeneza nyama za kutengeneza na nywele za kutengeneza kwa Akili yao tuseme hao waliotengeneza hivyo vitu tuseme nao wameviumba?
 
Kabla yakuanza mjadala naomba nipime Akili yako kwa maswali haya:

(1)Unaelewa maana ya machwea-jua?

(2)Umewahi kusafiri na usafiri wowote wa Maji?
Ingekuwa jambo jema kwanza ukajibu hoja maana ulitaka Aya, Aya imekuja then unaleta maelezo mengine. Jibu swali ndo nawe uulize. Sawa ndugu muislam?

Jibu hoja. Akili yangu utaipima kwenye kuelewa jibu lako.
 
Kwamba na mchina anaweza kuweka pumzi na ndege akaruka akawa kiumbe hai ama vipi? We endelea kujibu hoja nadhani humohumo ndo utajua uwezo wa akili ya mtu, usiwe na papara.
 
Ingekuwa jambo jema kwanza ukajibu hoja maana ulitaka Aya, Aya imekuja then unaleta maelezo mengine. Jibu swali ndo nawe uulize. Sawa ndugu muislam?

Jibu hoja. Akili yangu utaipima kwenye kuelewa jibu lako.
Kwanza Quran wametelemshiwa wenye Akili na ndio maana wasio na Akili hawawezi kuielewa ndiyo pale mimi nikataka kupima Akili yako nilishajua mwenye Akili hawezi kuuliza Swali kama lako.
 
Kwamba na mchina anaweza kuweka pumzi na ndege akaruka akawa kiumbe hai ama vipi? We endelea kujibu hoja nadhani humohumo ndo utajua uwezo wa akili ya mtu, usiwe na papara.
Pumzi ni nini?
 
Kwamba na mchina anaweza kuweka pumzi na ndege akaruka akawa kiumbe hai ama vipi? We endelea kujibu hoja nadhani humohumo ndo utajua uwezo wa akili ya mtu, usiwe na papara.
Sio Mchina panda boti nenda pemba kuna wazee zaidi ya mmoja wanatengeneza njiwa anaruka popote unapotaka wewe anaenda tena kwa maelekezo yako.
 
Huo ndio ukweli
 
Kila dini ni zaidi ya sayansi maana inahitaji imani zaidi ndugu.
 
Na hiyo Dini kweli inasayansi wsakati kitabo chake kina jikanyanga View attachment 3322764
Hanafi, Maliki, Hanbali na Shafii wanaitafsiri Quran sawa

### 1. Hanafi School
  • Founder: Imam Abu Hanifa (699–767 CE)
  • Characteristics:
- Known for its flexibility and reliance on reason (ra'y) and opinion.
- Emphasizes personal judgment (ijtihad) in the absence of clear texts.
- Widely practiced in South Asia, Turkey, and parts of the Middle East.

### 2. Maliki School
  • Founder: Imam Malik ibn Anas (711–795 CE)
  • Characteristics:
- Bases rulings on the practices of the people of Medina, considering it a model for Islamic behavior.
- Less reliant on personal opinion compared to Hanafi.
- Predominantly found in North and West Africa.

### 3. Shafi'i School
  • Founder: Imam Muhammad ibn Idris al-Shafi'i (767–820 CE)
  • Characteristics:
- Systematized the principles of jurisprudence, emphasizing the Quran and Hadith as primary sources.
- Developed a structured methodology for deriving legal rulings.
- Commonly followed in East Africa, Southeast Asia, and parts of the Arabian Peninsula.

### 4. Hanbali School
  • Founder: Imam Ahmad ibn Hanbal (780–855 CE)
  • Characteristics:
- Very conservative and literal in its interpretation of texts.
- Places a strong emphasis on the Quran and Hadith, often rejecting analogical reasoning (qiyas) and personal opinion.
- Predominantly practiced in Saudi Arabia and some parts of the Gulf region.

### Key Differences Among the Schools
  • Sources of Law: While all schools recognize the Quran and Hadith, their acceptance of other sources (like consensus and analogy) varies.
  • Interpretation: The method of interpreting texts can differ, leading to varied rulings on specific issues.
  • Cultural Influence: Local customs and practices can shape how each school applies Islamic law in different regions.
 
Mfano
One notable example of a verse that has differing interpretations among the Sunni legal schools is Surah Al-Baqarah (2:219):

"They ask you about wine and gambling. Say, 'In them is great sin and [yet, some] benefit for people. But their sin is greater than their benefit.'"

### Different Interpretations

1. Hanafi School:
- Interpretation: While acknowledging the harms of alcohol and gambling, the Hanafi school may permit certain forms of trade related to these activities under specific conditions, focusing on the nuances of benefit and harm.

2. Maliki School:
- Interpretation: The Maliki school generally takes a stricter stance against alcohol and gambling, emphasizing the importance of community norms and the consensus of the people of Medina, which viewed these activities as harmful.

3. Shafi'i School:
- Interpretation: The Shafi'i school strictly prohibits both alcohol and gambling, interpreting the verse as a clear condemnation of their consumption and practice, prioritizing the explicit warnings in the Quran.

4. Hanbali School:
- Interpretation: Similar to the Shafi'i school, the Hanbali school strictly forbids alcohol and gambling, viewing the verse as a definitive indication of their sinful nature.

### Conclusion
This verse illustrates how different schools can draw varying conclusions based on their methodologies and underlying principles, leading to a spectrum of legal opinions regarding issues of morality and social behavior.
 
Mkuu uko nje ya mada jikite kwenye mada Uiaslamu ni zaidi ya sayanasi je unakubali au unakata towa hoja zako na evidence kama weni atheist.
Uislamu ungekuwa sayansi, nchi za kiislamu zingekuwa zinatengeneza bidhaa duniani kuliko nchi zingine lakini mpaka leo hii hakuna nchi ya kiislamu yenye uwezo wa kutengeneza simu, TV, Computer, ndege, umeme, hadi magari.
Teknolojia wanazotumia kuchimba mafuta, zimetengenezwa na watu ambao wao wanawaita makafiri.
Uislamu ni sawa na somo la historia, acha kudanganya watu maana hata huyo mtume wenu alikuwa hajui kusoma na kuandika
Sayansi inahitaji watu wenye akili na wenye uelewa. Kama mtu hajafunika kichwa unamuua au hapo Zanzibar ukila hadharani kipindi cha ramadhani, watu wanabeba mafimbo na marungu wakuue. Acheni kufananisha Sayansi na imani (uislamu)
 
Mkuu mbona unahamisha goal post umeanza kutunga mada mpya hao wakina Abu--hanifa wana uhusiana nini na hi Mada? Kwani hao ni manabii au Khalifa, hao ni watu waislamu wa kawaida hata majina yao kwenye Qur"an hamo au hadithi, usipoteze mda nao rudi kwenye mada aliopo juu, ila una uhuru wakukimbia kama wrnzako walivo ishia.
 
We unajua sayansi ni kutengeneza bidhaa tu very parochial mind loh!!!! Hi nchi ina vilaza wengi kweli kweli.
 
Hakuna kilichoama kaka ni katika kuonesha kila verse ina interpretation katika Bible nkakuwekea n mfano kam ilivyo ktk Islam hat interpretation zinatofautiana pia so ni faith tu na kuangalia wapi watokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…