Sasa kwa akili hizi ulizonazo ndo ulitaka unipime mimi? Huna kitu kichwani, huna point. Nimeona unasema Quran ni kwa ajili ya watu wenye akili, means maislam yote yana akili sio!? Akili ndo kama hizi zako au sio?Sio Mchina panda boti nenda pemba kuna wazee zaidi ya mmoja wanatengeneza njiwa anaruka popote unapotaka wewe anaenda tena kwa maelekezo yako.
Sasa hata maana ya pumzi hujui then unahitaji kumpima mtu akili ndo mjadili? Kaa kimya mzeebaba huna kitu cha maana cha kuongeaPumzi ni nini?
Katika Imani ya kiislam Adam pia ni nabii kwahiyo ninaposema manabii wote walikuwa waislam na Adam pia yupoMbona wengine wanasema Adam alikuwa Muislamu??
Mkuu sio kweli unacho sema Qur"an inatafsiliwa na hadeeth au na Qur"an yenyewe mahara pengine, hao ma Imamu unao ongelea wanatofoutiana kwa vitu vya kiasi vidgo vidgo trivials sio verse ya Qur"an au hadeeth......Hakuna kilichoama kaka ni katika kuonesha kila verse ina interpretation katika Bible nkakuwekea n mfano kam ilivyo ktk Islam hat interpretation zinatofautiana pia so ni faith tu na kuangalia wapi watokea
Nabii ni mtu wa aina gani?Katika Imani ya kiislam Adam pia ni nabii kwahiyo ninaposema manabii wote walikuwa waislam na Adam pia yupo
Nabii ni mtu anayepokea ufunuo kutoka Kwa Mungu Kupitia Ndoto au malaika au Kwa kusemezana Moja Kwa Moja na Mungu kama vile MusaNabii ni mtu wa aina gani?
Huu uliosema jua linazama kwenye matope? Au mwamedi alienda mwezini na kuupasua mwezi?Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:
"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”
Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:
1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?
Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.
Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.
Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.
Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.
Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:
Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”
Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.
Kwa sababu:
Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.
Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.
Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.
Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:
— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]
“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]
Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.
Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.
Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.
Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.
Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.
Sio Ndege Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimiziYesu anaabudiwa na baadhi ya wakristo kwa sababu ameumba ndege. Nimeshakuonyesha alichoumba hapo. Kwa hiyo aendelee kuabudiwa bila shaka ndugu muislam au sio.
Kwa hiyo Aya ya Yesu kuumba ndege unaijua ama huijui?Sio Ndege Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimizi
Hiyo aya iko metaphorically, huwezi kuelewa bila kufuata ufafanuzi hadeeth wewe tayari una magonjwa ya moyo kuelewa sio rahisi mpaka uondewe chuki zako dhidi ya uislamu.Kwa hiyo Aya ya Yesu kuumba ndege unaijua ama huijui?
Sawa mzee Baba sina cha kujadiliana na wewe mzee baba!Sasa hata maana ya pumzi hujui then unahitaji kumpima mtu akili ndo mjadili? Kaa kimya mzeebaba huna kitu cha maana cha kuongea
Mleta uzi asitake kutuzuga. Laiti angesema kuwa uislam ni zaidi ya ushirikina. Kama ni zaidi ya sayansi, ilikuwaje hadi anaondoka Moody mbona hakuacha hata kipaza sauti achia mbali mambo mengine makubwa? Kama kinachomaanishwa ni sayansi ya uchawi, sina wasi wasi na hili.Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:
"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”
Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:
1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?
Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.
Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.
Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.
Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.
Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:
Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”
Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.
Kwa sababu:
Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.
Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.
Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.
Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:
— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]
“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]
Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.
Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.
Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.
Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.
Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.
Sawa jiniazi.Sasa kwa akili hizi ulizonazo ndo ulitaka unipime mimi? Huna kitu kichwani, huna point. Nimeona unasema Quran ni kwa ajili ya watu wenye akili, means maislam yote yana akili sio!? Akili ndo kama hizi zako au sio?
Mada ipo wazi kabisa, kuitetea huwezi umebaki kurukaruka tu. Hebu tusubiri wenzio pengine yupo muislam anayejitambua kidogo japo sio rahisi kuona muislam ana maarifa kichwani.
Kwa hiyo bila kukariri ndo wangekufa kufa?Vitu vyake vingi ni vya kukariri havina ushahidi
Mkuu usiwe shallow Muhammad (saw) sio uislamu ila nayeye ni muislamu tofautisha mambo, jambo jingine, sayansi ni paana zaidi ya technology, Yesu ambae ni Mungu kwenu alifariki au kupaa bilaa hata kutegeneza gari ndogo kama Ist, haliayakua ni Mungu, hilo alimaanishe hakua na akili au na uwezo......mkuu usijifungie kwenye box panua akili zako.Mleta uzi asitake kutuzuga. Laiti angesema kuwa uislam ni zaidi ya ushirikina. Kama ni zaidi ya sayansi, ilikuwaje hadi anaondoka Moody mbona hakuacha hata kipaza sauti achia mbali mambo mengine makubwa? Kama kinachomaanishwa ni sayansi ya uchawi, sina wasi wasi na hili.
Sayansi Haina diniTheist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema: