Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Kitabu kitakatifu kimeelezea hadi nini sababu yakuwekwa milima kwenye ardhi na umuhimu wake.... Tatizo humu wakristo wenye magonjwa ya akili hawawezi kubishana kwa hoja zaidi ya matusi
 
Mwanangu Covid usinichafue. Mie siyo muumini wa haya maigizo na sanaa za kale. Kwanza, unaamini Yesu alipaa? Alipaaje na mwili wakati twaambwa mbinguni ni ulimwengu wa roho? Kama hakupaa, mwili wake uko wapi?> Je kweli alikuwapo au ni kuzugwa tu? Wewe unataka tuamini madai yako. Sawa. Ndiyo maana nimesema kuwa uchawi ni sayansi ambayo haina mpaka na uislam. Kama unabisha, nenda pwani uone mashehe karibia wote walivyo wapiga ramli na waganga wa kienyeji mwanangu. Acha kubishia vitu ambavyo ni obvious. Nimeulizia mood wewe unaniletea Jeez! Kama huna hoja nyamaza tu mwanangu. Ni ushauri.
 
Mkuu nimenyamaza kabisa, kumbe huamini dini......
 
Kitabu kitakatifu kimeelezea hadi nini sababu yakuwekwa milima kwenye ardhi na umuhimu wake.... Tatizo humu wakristo wenye magonjwa ya akili hawawezi kubishana kwa hoja zaidi ya matusi
Kumbe unawafahamu ndo walivo hi mada wameikimbia kwasabubu hawana hoja, ni kukashifu dini Za wasnzao.
 
Dini ni ngano za kusadikika za kale toka Mashariki ya kati na sayansi ni mambo yanayoaminika yanayoweza kuwa proved na siyo kuwa believed or promised mwanangu.
Ndo maana nimesema dini ni dini na sayansi ni sayansi haviingiliani mkuuu
 
Kumbe unawafahamu ndo walivo hi mada wameikimbia kwasabubu hawana hoja, ni kukashifu dini Za wasnzao.
Hakuna cha kukashifu wala kuishiwa hoja. Eti unasema wanakashfu dini za wenzao! Du! Ni mja gani aweza kuwa na dini zaidi ya kuwa mfuasi? Hata huyo Jeez na moody hawamilki hizo dini mnazopigwa changa la mato kuwa walileta wakati hawakuleta chochote zaidi ya rongorongo za kikoloni.
 
Ndo maana nimesema dini ni dini na sayansi ni sayansi haviingiliani mkuuu
Sasa kwanini mleta uzi anataka kutushawishi kuwa ngano za kale toka mashariki ya kati ni zaidi ya sayansi wakati ni mazingaombwe tu ya kawaida yaliyotukuzwa tokana na uzwazwa wa waliopokea ili kunyonyana?
 
Sayansi Gani ? Mambo wanayoeleza kuhusu Quran kuhusu namna mimba itungwavyo na ukuaji wa mimba viliezwa miaka mingi kabla ya Quran na kina Aristotle,Gallen na Hippocrates

Sema wao wanamezeshwa kua "KURAN" ilivielezea kabla ya wanasayansi na watu wengine kuelezea,Pure Lie
 
Kwani hivi navyo vinahitaji kuelezwa? Mbona wanyama na ndege hawasomi vitabu lakini wajua mambo kama haya ambayo ni ya kawaida kwa binadamu? Kwani kabla ya kuja hiyo kulaani yenu tulikuwa hatutungishi na kuzalisha mimba? Kama unabisha, nenda kamuulize kuku au ndege yeyote, atakupa shule ya bure kama utamchubguza na kumdurusu vilivyo.
 
Hiyo aya iko metaphorically, huwezi kuelewa bila kufuata ufafanuzi hadeeth wewe tayari una magonjwa ya moyo kuelewa sio rahisi mpaka uondewe chuki zako dhidi ya uislamu.
Mambo ya chuki unayaleta wewe mkuu. Hebu chambua maana ya hiyo aya naweza nikaelewa. Lete maana yake hapa.
 
Mimi unanikera Yesu ukimuita Jeez na Muhammad( saw) ukamiita moody, sio hapo ni kudhihaki wafuasi wao, kwamfano Yesu ni Mungu kwa wafuasi wake kwahiyo acha kukejeri Mungu wa watu
 
The Quran mentioned the seven layers of the atmosphere before this was known. "Surah 2:29" lakini huu ni uongo ukweli ni kua Kuna layer saba za atmosphere

Scientific facts za kubumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…