Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

Wakifa marais wote 6 ina maana tutakuwa na siku za kumbukumbu 6 kwa mwaka? Huu utakuwa ni uwendawazimu. Zinatosha hizo 2 za waasisi wa taifa letu....Karume Day na Nyerere Day.

Wengine wakumbukwe na wake zao.

Yaani unataka na jiwe akumbukwe??
Duh!
Kwa Magu hapana
 
Hata hizo za Nyerere na Karume ziondolewe, hazina afya kwa taifa zaidi ya kulitia hasara
 
Wakifa marais wote 6 ina maana tutakuwa na siku za kumbukumbu 6 kwa mwaka? Huu utakuwa ni uwendawazimu. Zinatosha hizo 2 za waasisi wa taifa letu....Karume Day na Nyerere Day.

Wengine wakumbukwe na wake zao.

Yaani unataka na jiwe akumbukwe??

hata na wao zinatakiwa ziondolewe. Hii nchi sio yao ni yetu sote.
 
Mtu aliyezaliwa tarehe 29/02 anaadhimisha lini siku zake za kuzaliwa? Kama anaadhimisha Kila mwaka kwakuwa Kila mwaka anaongezeka mwaka Katika umri ,vivyo itakavyofanyika hapa
 
Mkapa, mwendazake mbona hawana mkapa au jiwe day?
Why mwinyi day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…