Kulikuwa na tetesi cha kifo cha rais wa awamu ya pili tangu siku amefariki Edward Lowassa, lakini haikutangazwa mapema jamo umma ilikuwa ikiamini kuwa serikali inajaribu kutenganisha haya matukio kwa ajili kupata maandslizi.
Hizi zinabaki kuwa tetesi kama tetesi zingine japo kweli limetukia.
Ikiwa ni kweli alifariki kabla ya tarehe 29 Februari, Serikali imeteleza sana kuutangazia umma kuwa Mwinyi alifariki tarehe 29 Februari kwani siku hii hutokea mara moja baada ya miaka 4 kupita.
Kama ilivyo ada kifo cha kiongozi wa kitaifa lazima pawepo siku ya kuadhimisha, hasa siku kifo kilipotokea.
Je mpanga utaratibu aliteleza?