Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

Enzi hizo radio stations zilikua chache ndo maana ubeti mmoja ulitosha kabisa. Angeimba Sasa iv aone.
🤣🤣🤣
Mkoa Mmoja unakuta Unaradio Station 10..
Na bado hujaangalia Online Radios...

Zamani tulikuwa Na Radio za masafa Aina mbili tu FM na AM
 
hivi inakuawaje mtu ajenge kijumba juu ya msingi wako alafu baadae wewe uje kudai msingi wako Dunia ikuone mvamizi?.

jews ni Ethnic group toka hapo Israel.
hii inathibitishwa na Genealogical,history na Archaeological.
wallah, israel sio taifa la kikoloni kama wapumbuvu wengi wanavyotumia nguvu tuamini. Israel sio settlers kama dunia na wachiro chiro wanavyotaka tuamini
ni kwa namna ipi unaweza ku- colonise taifa lako mwenyewe?.
Moyo wangu unaniuma sana kuona Jews wanapitia madhira makubwa kwasababu ya Ardhi yao.
I strongly support Netanyahu to boom Palestinians entirely.
wapalestinan wana nchi zaidi ya 40 za kwenda ila Waisrael hawana hata moja zaidi ya hapo walipo
 
Attachments

  • 20231203_101344.png
    20231203_101344.png
    485.4 KB · Views: 10
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..

sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani kwa vipindi vya Refia pamoja na Redio zilizokuwa zinafanya vizuri wakati huo...

Ntanukuu versi hiyo...

Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu baby
Times zishafika
Unipe uhuru dear
Ni kiss ninapotoka
Toka mlimani dear
niwe free ndani ya kopa
Penzi kwa fujo my buu
Moyo wangu ushauteka
Raha ya Africa RTD mimi ndo one nasikika.
Hiv kwann dear moyo wangu unautesa
Hivi hushoboki dear
inavyonipenda East Africa....

_______________
_______________

Zilizokuwa Bold hapo juu ni Radio na wadau wa kipindi hicho....
  • Miujiza (Magic Fm)
  • Sauti ya Nyuki -"Nyuki Djs" (Hawa walikuwa maDj wanajiita Nyuki Djs kina Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly na wengi wao walikuwa wakifanya kazi Mawingu Fm baadae Clouds FM..
  • Times (Times Fm)
  • Uhuru (Radio Uhuru)
  • kiss (Kiss Fm)
  • mlimani (Mlimani Fm)
  • free (RFA-Radio Free Africa)
  • kwa Fujo - kwa fujo Djs
  • RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) ambayo sasa ndo TBC
  • One (Radio one Fm)
  • East africa (East Africa Radio )

Wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana ilikuwa inachukua Muda sana kujua Ujumbe aliowasilisha...

Kwa wasioijua nyimbo 👇👇👇
View attachment 2832057

_____________________
___________<<<<
Shukrani Cannabis kwa interview Clip..

View attachment 2832068
Huyo MB dog ndo nani?
 
hivi inakuawaje mtu ajenge kijumba juu ya msingi wako alafu baadae wewe uje kudai msingi wako Dunia ikuone mvamizi?.

jews ni Ethnic group toka hapo Israel.
hii inathibitishwa na Genealogical,history na Archaeological.
wallah, israel sio taifa la kikoloni kama wapumbuvu wengi wanavyotumia nguvu tuamini. Israel sio settlers kama dunia na wachiro chiro wanavyotaka tuamini
ni kwa namna ipi unaweza ku- colonise taifa lako mwenyewe?.
Moyo wangu unaniuma sana kuona Jews wanapitia madhira makubwa kwasababu ya Ardhi yao.
I strongly support Netanyahu to boom Palestinians entirely.
wapalestinan wana nchi zaidi ya 40 za kwenda ila Waisrael hawana hata moja zaidi ya hapo walipo
Unatuharibia uzi
 
Mb Dog aliimba na hii?
 
Alikuwa mbunge wa jimbo la Kinondoni miska ya 2000 kabla hajawa waziri
Okay nimekupata. Na ndio yule pia aliyeajiriwa Qatar kutawadha ngamia wakishajisaidia? (Kumbuka nimetumia kujisaidia badala ya kunya kama tafsida)
 
Wewe, huyu jamaa alikuwa anamuelewa yule Miss Tanzania kipindi hicho kabla ya hao kina Wema. Alikuwa anaitwa Nancy. Ndo alikuwa anamuimbia sana hizo nyimbo. Ukimaliza kusikiliza huo sikiliza INAMAANA.
 
Zote nazijua Mkuu...na najua pia alikuwa anampenda sana nancy sumari vizuri Sana..
Najua nyimbo za Mb Dog na Madee kipindi hicho 60% zilimuhusu..
 
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..

sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani kwa vipindi vya Refia pamoja na Redio zilizokuwa zinafanya vizuri wakati huo...

Ntanukuu versi hiyo...

Huamini miujiza mchumba,
Sauti ya nyuki inasikika,
Sogea karibu baby,
Times zishafika,
Unipe uhuru dear,
Ni kiss ninapotoka,
Toka mlimani dear,
niwe free ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my buu,
Moyo wangu ushauteka,
Raha ya Africa RTD mimi ndo one nasikika.
Hiv kwann dear moyo wangu unautesa,
Hivi hushoboki dear,
inavyonipenda East Africa....,

_______________
_______________

Zilizokuwa Bold hapo juu ni Radio na wadau wa kipindi hicho....
  • Miujiza (Magic Fm)
  • Sauti ya Nyuki -"Nyuki Djs" (Hawa walikuwa maDj wanajiita Nyuki Djs kina Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly na wengi wao walikuwa wakifanya kazi Mawingu Fm baadae Clouds FM..
  • Times (Times Fm)
  • Uhuru (Radio Uhuru)
  • kiss (Kiss Fm)
  • mlimani (Mlimani Fm)
  • free (RFA-Radio Free Africa)
  • kwa Fujo - kwa fujo Djs
  • RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) ambayo sasa ndo TBC
  • One (Radio one Fm)
  • East africa (East Africa Radio )

Wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana ilikuwa inachukua Muda sana kujua Ujumbe aliowasilisha...

Kwa wasioijua nyimbo [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2832057

_____________________
___________Shukrani Cannabis kwa interview Clip..

View attachment 2832068
Nilipokuwa Dj nilikuwa naipiga sana hii ngoma lakini sikuwahi kuwa na hii aidia, duh.......we mjinga unachunguza qumaaaaaniner [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom