Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

Mimi nilijua tangu ulipotoka. Lakini nilijua kwa kuambiwa na rafiki yangu tuliyokuwa tunasoma wote anaitwa Amir. Ndiyo akaniambia huyu jamaa ametaja radio zote.

Aisee! Nimewakumbuka marafiki zangu niliyosoma nao.

Kwa asilimia kubwa naamini wote watakuwa wamenipita kimaendeleo sasa hivi.
 
VERSE 1:
Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu 'baby' 'times' zishafika
Unipe uhuru 'dear Nikiss' nnapotoka
Tukae mlimani dear Niwe 'free'
ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my boo
Moyo wangu ushauteka Raha ya Afrika RTD
Mimi ndo 'one naskika
Hivi kwanini dear
Moyo wangu unautesa
Hivi hushoboki dear
Inavyonipenda East Africa
Yii yii dear,
I need you dear Ooh dear, I Love you my baby

Sauti ya nyuki = nyuki djs
Times = Times fm
Uhuru = uhuru fm
Nikiss= kiss fm
Mlimani = redio mlimani
Free= radio free
Radio tanzania

Mwamba anasema alikuwa ana shout out stesheni kwa ajili ya support zao.

Aisee miaka 20 iliopita huyu mwamba alitupatia moja ya albamu bora kuwahi kutokea katika muziki huu wa bongo flava. Production, melodies, mistari na featuring zote zikiwa on point, yani watu wengi walitumia nyimbo zake kulilia mapenzi.😂


View: https://youtu.be/CqAXcJjEiKE?si=jPijVnxfXHs8yL6P

Uongo uliopigwa Lamination kabisa huu😀 wasiojua kiingereza ndio tu ndio utawaburuza.
 
Nimemkumbuka Nyarandu alivyomfanya jamaa yetu kuimba mapenzi sana na bado haka mkosa
 
Back
Top Bottom