Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
πππHii alihojiwa na akaongea yeye mwenyewe. Kama ni uongo basi muongo ni yeye MB Dog!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππHii alihojiwa na akaongea yeye mwenyewe. Kama ni uongo basi muongo ni yeye MB Dog!
Nimpe pole namjua? Hiyo habari iliwekwa kwenye gazeti..!!Ooh, sawa, too bad , mpe pole yake.
Ampe Pole wataonana wapiOoh, sawa, too bad , mpe pole yake.
Huyo bwana ndio alimfanya jamaa mpaka koo likavimba
Itakuwa maana nachanganya sana neno linapoanza fisi na ccm
Mwenyewe nimebaki nacheka, Faraja ndio mke wa Nyalandu, huyo aliyeimbwa na mb dog ni Nancy Sumari mdogo ake Nakaaya aliyeimba Mr politician..!! πΉ
Mwenyewe nimebaki nacheka, Faraja ndio mke wa Nyalandu, huyo aliyeimbwa na mb dog ni Nancy Sumari mdogo ake Nakaaya aliyeimba Mr politician..!! πΉ
Huyo betri limevimba utajichosha π€£
πππππππMwenyewe nimebaki nacheka, Faraja ndio mke wa Nyalandu, huyo aliyeimbwa na mb dog ni Nancy Sumari mdogo ake Nakaaya aliyeimba Mr politician..!! πΉ
Huyo betri limevimba utajichosha π€£
HatariKama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani kwa vipindi vya Refia pamoja na Redio zilizokuwa zinafanya vizuri wakati huo...
Ntanukuu versi hiyo...
Huamini miujiza mchumba,
Sauti ya nyuki inasikika,
Sogea karibu baby,
Times zishafika,
Unipe uhuru dear,
Ni kiss ninapotoka,
Toka mlimani dear,
niwe free ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my buu,
Moyo wangu ushauteka,
Raha ya Africa RTD mimi ndo one nasikika.
Hiv kwann dear moyo wangu unautesa,
Hivi hushoboki dear,
inavyonipenda East Africa....,
_______________
_______________
Zilizokuwa Bold hapo juu ni Radio na wadau wa kipindi hicho....
- Miujiza (Magic Fm)
- Sauti ya Nyuki -"Nyuki Djs" (Hawa walikuwa maDj wanajiita Nyuki Djs kina Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly na wengi wao walikuwa wakifanya kazi Mawingu Fm baadae Clouds FM..
- Times (Times Fm)
- Uhuru (Radio Uhuru)
- kiss (Kiss Fm)
- mlimani (Mlimani Fm)
- free (RFA-Radio Free Africa)
- kwa Fujo - kwa fujo Djs
- RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) ambayo sasa ndo TBC
- One (Radio one Fm)
- East africa (East Africa Radio )
Wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana ilikuwa inachukua Muda sana kujua Ujumbe aliowasilisha...
Kwa wasioijua nyimbo πππ
View attachment 2832057
_____________________
___________<<<<
Shukrani Cannabis kwa interview Clip..
View attachment 2832068