DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #21
🤣🤣🤣Enzi hizo radio stations zilikua chache ndo maana ubeti mmoja ulitosha kabisa. Angeimba Sasa iv aone.
Huyo MB dog ndo nani?Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani kwa vipindi vya Refia pamoja na Redio zilizokuwa zinafanya vizuri wakati huo...
Ntanukuu versi hiyo...
Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu baby
Times zishafika
Unipe uhuru dear
Ni kiss ninapotoka
Toka mlimani dear
niwe free ndani ya kopa
Penzi kwa fujo my buu
Moyo wangu ushauteka
Raha ya Africa RTD mimi ndo one nasikika.
Hiv kwann dear moyo wangu unautesa
Hivi hushoboki dear
inavyonipenda East Africa....
_______________
_______________
Zilizokuwa Bold hapo juu ni Radio na wadau wa kipindi hicho....
- Miujiza (Magic Fm)
- Sauti ya Nyuki -"Nyuki Djs" (Hawa walikuwa maDj wanajiita Nyuki Djs kina Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly na wengi wao walikuwa wakifanya kazi Mawingu Fm baadae Clouds FM..
- Times (Times Fm)
- Uhuru (Radio Uhuru)
- kiss (Kiss Fm)
- mlimani (Mlimani Fm)
- free (RFA-Radio Free Africa)
- kwa Fujo - kwa fujo Djs
- RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) ambayo sasa ndo TBC
- One (Radio one Fm)
- East africa (East Africa Radio )
Wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana ilikuwa inachukua Muda sana kujua Ujumbe aliowasilisha...
Kwa wasioijua nyimbo 👇👇👇
View attachment 2832057
_____________________
___________<<<<
Shukrani Cannabis kwa interview Clip..
View attachment 2832068
Unatuharibia uzihivi inakuawaje mtu ajenge kijumba juu ya msingi wako alafu baadae wewe uje kudai msingi wako Dunia ikuone mvamizi?.
jews ni Ethnic group toka hapo Israel.
hii inathibitishwa na Genealogical,history na Archaeological.
wallah, israel sio taifa la kikoloni kama wapumbuvu wengi wanavyotumia nguvu tuamini. Israel sio settlers kama dunia na wachiro chiro wanavyotaka tuamini
ni kwa namna ipi unaweza ku- colonise taifa lako mwenyewe?.
Moyo wangu unaniuma sana kuona Jews wanapitia madhira makubwa kwasababu ya Ardhi yao.
I strongly support Netanyahu to boom Palestinians entirely.
wapalestinan wana nchi zaidi ya 40 za kwenda ila Waisrael hawana hata moja zaidi ya hapo walipo
Umepika nini?.Unatuharibia uzi
Alikuwa mbunge wa jimbo la Kinondoni miaka ya 2000 kabla hajawa waziriHuyo MB dog ndo nani?
Mb Dog aliimba na hii?hivi inakuawaje mtu ajenge kijumba juu ya msingi wako alafu baadae wewe uje kudai msingi wako Dunia ikuone mvamizi?.
jews ni Ethnic group toka hapo Israel.
hii inathibitishwa na Genealogical,history na Archaeological.
wallah, israel sio taifa la kikoloni kama wapumbuvu wengi wanavyotumia nguvu tuamini. Israel sio settlers kama dunia na wachiro chiro wanavyotaka tuamini
ni kwa namna ipi unaweza ku- colonise taifa lako mwenyewe?.
Moyo wangu unaniuma sana kuona Jews wanapitia madhira makubwa kwasababu ya Ardhi yao.
I strongly support Netanyahu to boom Palestinians entirely.
wapalestinan wana nchi zaidi ya 40 za kwenda ila Waisrael hawana hata moja zaidi ya hapo walipo
Okay nimekupata. Na ndio yule pia aliyeajiriwa Qatar kutawadha ngamia wakishajisaidia? (Kumbuka nimetumia kujisaidia badala ya kunya kama tafsida)Alikuwa mbunge wa jimbo la Kinondoni miska ya 2000 kabla hajawa waziri
Hapana sasa hivi ni Balozi wa nchi ya Tanzania..Okay nimekupata. Na ndio yule pia aliyeajiriwa Qatar kutawadha ngamia wakishajisaidia? (Kumbuka nimetumia kujisaidia badala ya kunya kama tafsida)
Zote nazijua Mkuu...na najua pia alikuwa anampenda sana nancy sumari vizuri Sana..Wewe, huyu jamaa alikuwa anamuelewa yule Miss Tanzania kipindi hicho kabla ya hao kina Wema. Alikuwa anaitwa Nancy. Ndo alikuwa anamuimbia sana hizo nyimbo. Ukimaliza kusikiliza huo sikiliza INAMAANA.
kwenywe ubet wa saba hivi..Mb Dog aliimba na hii?
Nilipokuwa Dj nilikuwa naipiga sana hii ngoma lakini sikuwahi kuwa na hii aidia, duh.......we mjinga unachunguza qumaaaaaniner [emoji16][emoji16][emoji16]Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani kwa vipindi vya Refia pamoja na Redio zilizokuwa zinafanya vizuri wakati huo...
Ntanukuu versi hiyo...
Huamini miujiza mchumba,
Sauti ya nyuki inasikika,
Sogea karibu baby,
Times zishafika,
Unipe uhuru dear,
Ni kiss ninapotoka,
Toka mlimani dear,
niwe free ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my buu,
Moyo wangu ushauteka,
Raha ya Africa RTD mimi ndo one nasikika.
Hiv kwann dear moyo wangu unautesa,
Hivi hushoboki dear,
inavyonipenda East Africa....,
_______________
_______________
Zilizokuwa Bold hapo juu ni Radio na wadau wa kipindi hicho....
- Miujiza (Magic Fm)
- Sauti ya Nyuki -"Nyuki Djs" (Hawa walikuwa maDj wanajiita Nyuki Djs kina Steve B,Dj Too Shot,Dj Fetty,Mully B,Pitter Moo,DJ Venture pamoja na Dj Nelly na wengi wao walikuwa wakifanya kazi Mawingu Fm baadae Clouds FM..
- Times (Times Fm)
- Uhuru (Radio Uhuru)
- kiss (Kiss Fm)
- mlimani (Mlimani Fm)
- free (RFA-Radio Free Africa)
- kwa Fujo - kwa fujo Djs
- RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) ambayo sasa ndo TBC
- One (Radio one Fm)
- East africa (East Africa Radio )
Wasanii wa zamani walikuwa wabunifu sana ilikuwa inachukua Muda sana kujua Ujumbe aliowasilisha...
Kwa wasioijua nyimbo [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2832057
_____________________
___________Shukrani Cannabis kwa interview Clip..
View attachment 2832068