Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

Mimi nilijua tangu ulipotoka. Lakini nilijua kwa kuambiwa na rafiki yangu tuliyokuwa tunasoma wote anaitwa Amir. Ndiyo akaniambia huyu jamaa ametaja radio zote.

Aisee! Nimewakumbuka marafiki zangu niliyosoma nao.

Kwa asilimia kubwa naamini wote watakuwa wamenipita kimaendeleo sasa hivi.
 
Uongo uliopigwa Lamination kabisa huu๐Ÿ˜€ wasiojua kiingereza ndio tu ndio utawaburuza.
 
Nimemkumbuka Nyarandu alivyomfanya jamaa yetu kuimba mapenzi sana na bado haka mkosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ