Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

Wewe unachanganya faraja na nancy

Lamomy ebu muelezee huyu vizuri
Mwenyewe nimebaki nacheka, Faraja ndio mke wa Nyalandu, huyo aliyeimbwa na mb dog ni Nancy Sumari mdogo ake Nakaaya aliyeimba Mr politician..!! 😹

Huyo betri limevimba utajichosha 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MCs wengi wa Bongo walitoa vitu vikali sana way back.

Nilikuwa form 2 kipindi hicho hii ngoma inatoka, yaani nikiisikia tu moyo wangu hautulii

Discpline na Attitude ndo vimeua sanaa ya Bongo. Sikiliza hata ngoma ya 20% napata hasira sana
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…