Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

We kweli coinman yaani unachoongea hakieleweki
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
 
Hebu nipe tofauti zenu na wakristo mkuu
Tofauti kubwa kati ya ukristo na Uislamu ni kua wakristo wamemfanya mtume wa Allah kua ni Muabudiwa wao lkn sio kweli bali huyo wanaemuita yesu ni mtume tu alietumwa kwa wana wa israel

Allah ndie anaestahiki kuabudiwa kwa haki

Wakristo wamepotea njia tu sio kma hawajui wanachokifanya bali wanatakiwa waelekezwe njia sahihi tu sio kama dini nyengine
 
The verse from Surah Muhammad (47:7):

"O you who have believed, if you support Allah, He will support you and plant firmly your feet."

In his Tafsir, Ibn Kathir explains that this verse emphasizes the principle that the reward is commensurate with the action. If believers support Allah's religion—by upholding His commands, spreading His message, and striving in His cause—then Allah, in turn, will support them against their enemies and grant them steadfastness. This is further illustrated by the hadith:

"Whoever conveys the need of someone who cannot convey it, Allah will make his feet firm on the Day of Judgment."

TUKUTAFSIRIE KISWAHILI?
 
Aibu naona mimi, yaani ukianza kusoma Aya zilipita na zinazofuata bila shaka inaeleweka nini kinakusudiwa
 
Kuabudu ni kufanyaje kabla cjakuja na ufafanuz wa hicho ulichojibu
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
The verse you mentioned is from Surah Al-Ma'idah (5:54):


In his Tafsir, Ibn Kathir explains that this verse serves as a warning to the believers about apostasy. If any among them turns away from Islam, Allah will replace them with others who possess the following qualities:

- Allah loves them, and they love Him: These individuals have a deep, reciprocal love with Allah.

- Humble toward the believers: They are kind and gentle with fellow Muslims.

- Stern toward the disbelievers: They are firm and resolute against those who oppose Islam.

- Strive in the cause of Allah: They actively engage in efforts to uphold and spread the religion.

- Do not fear the blame of a critic: They remain steadfast in their faith and actions, regardless of criticism.
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Hiyo Aya inasema kwemba, atayeacha dini yake (uislamu), ALLAH atawaleta watu mbadala wake wenye kumpenda na wao kumpenda yeye, wanyenyekevu kwa waumini na wakali kwa makafiri, wanapambania dini bila kuogopa lawama za wenye kulaumu

NOTE
Allah anaipambania mwenyewe dini yake kwa kuwaleta mashabab

Pia kupambania dini hata wakristo mnaipambania ndio maana mnatumia nguvu kubwa ya pesa, mali, elimu na kila kitu kiwezekanacho ili kuipaisha
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Surah Al-Hijr (15:9):
"إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ"

"Hakika Sisi ndio tulioteremsha Ukumbusho (Qur'an), na hakika Sisi ndio tutakaoilinda.

ELEWA HAPO
ALLAH ndio anailinda Quran na uislamu kwa ujumla kwa namna ambayo yeye anataka

Hivyo ALLAH anapambana mwenyewe, kuilinda dini na watu ni asbab
 
Kwa hiyo Allah anahitaji nguvu ya mwanadamu kuunga mkono ueneaji wa dini yake ili naye amsaidie mwanadamu. Mungu wa namna gani huyu hawezi kueneza dini yake hadi afanye malipo na mwanadamu kwamba nifanyie hiki nami nitakufanyia hiki!

Kueneza dini ya Mungu ndo kumnusuru? Hiyo tafsiri ya wapi!

Hawezi kueneza dini yake yeye mwenyewe bila usaidizi wa mwanadamu?
 
Aibu naona mimi, yaani ukianza kusoma Aya zilipita na zinazofuata bila shaka inaeleweka nini kinakusudiwa
Aibu ya nini we mzee? Kujifunza zaidi uislam ni aibu. Hebu kuwa serious. Mungu gani huyu anataka kunusuriwa?
 
Husijitoe akili type error haina shida .


Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .


Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Kupigania kupo kwa namna nyingi kumtangaza kumtetea hizi kazi nyinyi hamzifanyi.
 
Aise!!!


Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Acha uongo mzee, Aya unaiona? Wapi pameandikwa dini hapo? Aya inasema ukimnusuru Mwenyezi Mungu na si ukiinusuru dini yake.

Halafu nikienda na utakavyo, Mungu anahitaji wanadamu wainusuru dini yake ndo na yeye awanusuru, it means yeye binafsi hawezi hadi atake msaada wa wanadamu?
 
Toa ufafanuzi,achana na mapambio. kwanini Omnipotent God anusuriwe na impotent creatures?.
Sio,kwamba Allah ni Mkola tu?.
 
Kwaheri nishajua lengo lako sina muda wa kubishana
Wewe kama umekaririshwa dini na ukaaminishwa ni ukweli, wakati hujawah kukutana na Muhammad wala Mungu unatofauti gani na mkristo. Bure kabisa
 
MashaAllah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…