Imeandikwa swalliy ,sio rehmatul,l wala barakatul,acha kubadilisha maneno Allah haitaji kutetewa kwa uongo.Hapa inamaanisha Allah anamtakia Rehema Mtume wake
Jibu swali ili twende vizuri.Unamaanisha nini kwamba hujaelewa hiyo aya au
Nionyeshe nilipo semaUmejibu kwa kusema Muhammad ndiyo uislam,na mimi sikukuliza ikiwa Muhammad ni ndiyo uislam ama lah.
Mimi nimeuliza ni Akina walikuwa wanalewa kabla ya Kuja uislam wakati binadamu wa kwanza(Adam) alikuwa muislam.
SijuiJibu swali ili twende vizuri.
Object Vs subject?
Inasemmwa hivyo lkn kusudio ni kumtakia rehma,tangu lini Mungu akamsalia kiumbe chake wkt yeye ndio mwenye mamlaka?Imeandikwa swalliy ,sio rehmatul,l wala barakatul,acha kubadilisha maneno Allah haitaji kutetewa kwa uongo.
Kuna ayya inasema FAWAILULILMU SWALLIY unajua maana yake??
You are sarcastic period.Nionyeshe nilipo sema
Kwamba imekosewa ilikusudiwa iwe rehma bahati mbaya ikawa swala.we jamaa kama jambo huna ilmu nalo nyamaza unazidi kukufuruInasemmwa hivyo lkn kusudio ni kumtakia rehma,tangu lini Mungu akamsalia kiumbe chake wkt yeye ndio mwenye mamlaka?
Ayya inasema swalla ,quran haikosei ingetaka kumaanisha rehma ingeandikwa rahma,acha kukosoa quranHapa inamaanisha Allah anamtakia Rehema Mtume wake
Kwa ufaham wangu ni kuwa Allah alitaka waislam wajitokeze kwa kila hali wawakomboe waislam wenzao katika vita,manyanyaso na harakat zozote za halali kuwanusuru wote waliokuwa na taabu.kuna waliotoa mali zao kuunusuru uislamu,kuna walioenda vitani wakauawa,kwa maana hapa walipoteza nafsi zao,hyo aya inawatia moyo wote wanaojitoa kwa kila hali kuunusuru uislam basi wajue wanamnusuru Allah.lakin kwa uhalisia wanawasaidia tu wanadamu wenzao.Allah haitaj lolote kwetu kama nilivyofafanua hapo juu Clever505 .Mungu anatumia sana lugha ya kifalsafa katika kuleta ujumbe wake.hata ukisoma biblia kuna aya ni kama unaona anaongea vitu havimake sense ila anatumia lugha ya picha, ...wenzetu ndo mnasema tunasoma bila roho mtakatifu ndo maana hatuelewi😀🤣Maelezo yako ni mazuri ndugu mwanaJF hongera sana. Tuje kwenye Aya sasa, eleza maelezo ya kuifafanua Aya yenyewe.
Basi wewe sio wakujifunza wewe ni WA kubisha na mjuajiWapi imeandikwa Mungu ana badilika Umbo.
Kwahiyo ukiona Mungu ana tukanwa tukae kimya kwamba Mungu ajitetee mwenyewe basi hakukuwa na sababu ya kuja manabii maana Mungu angejitangaza mwenyewe.Tunaomjua Allah hatuishangai hii Aya:
Allah anahitaji sana Kunusuriwa:
Ndugu mambo mengine hata hayahitaji ubishani kweli, ila kusema kumtii Mungu ni kumnusuru hiyo nahitaji unielekeze labda nitakuelewa.Haya ndio mambo ambayo huwa nayasema,hoja inajibiwa na kueleweka ila hamkosi la kusema,hata kama haki imewajia
Sasa huwa sina mda wa kupoteza kwa hoja ambayo iko wazi
Unajitahidi sana kutetea😆, we ni kama yule msemaji wa Simba,..anajua sana kuwatia moyo mashabiki wake.Kwa ufaham wangu ni kuwa Allah alitaka waislam wajitokeze kwa kila hali wawakomboe waislam wenzao katika vita,manyanyaso na harakat zozote za halali kuwanusuru wote waliokuwa na taabu.kuna waliotoa mali zao kuunusuru uislamu,kuna walioenda vitani wakauawa,kwa maana hapa walipoteza nafsi zao,hyo aya inawatia moyo wote wanaojitoa kwa kila hali kuunusuru uislam basi wajue wanamnusuru Allah.lakin kwa uhalisia wanawasaidia tu wanadamu wenzao.Allah haitaj lolote kwetu kama nilivyofafanua hapo juu Clever505 .Mungu anatumia sana lugha ya kifalsafa katika kuleta ujumbe wake.hata ukisoma biblia kuna aya ni kama unaona anaongea vitu havimake sense ila anatumia lugha ya picha, ...wenzetu ndo mnasema tunasoma bila roho mtakatifu ndo maana hatuelewi😀🤣
Sasa kama ni fala tusiseme? Huyo fala alikuwa ana mtume wake mbakaji, alimbaka binti Aisha, alilelewa na lishangazi linaitwa bi khadija ndio lilimwambia kuwa kile kifinyo cha pangoni ni ishara kuwa yeye ni mtume wa Allah.Tujadiliane kwa maneno mazuri kama huwezi hama huu mtaa/jukwaa usifungue mlango wa matusi.
Kwahiyo huyo Mungu wako Allah anahitaji wewe ndio umtetee?Kwahiyo ukiona Mungu ana tukanwa tukae kimya kwamba Mungu ajitetee mwenyewe basi hakukuwa na sababu ya kuja manabii maana Mungu angejitangaza mwenyewe.
Na anahitaji watu na majini wampiganie kwa mapanga ili wamnusuru na moto wa Jehanam:Unajitahidi sana kutetea😆, we ni kama yule msemaji wa Simba,..anajua sana kuwatia moyo mashabiki wake.
Manajaribu kufix mambo,
Kuna wenzako wameleta nukuu za schoolers wenu wakubwa Duniani wanasema kumtii Mungu ndo kumnusuru....
Mungu wenu anahitaji watu waitetee na kuieneza dini yake ili naye awanusuru wateteaji, huyu ni Mungu wa namna gani sasa?