Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Kwa hiyo ulijisaidia na kujitawaza mbele ya masela?? Wewe lazima utakuwa una kasoro siyo bure. Yaani unatunga uongo kwa gharama ya kujidharirisha na wala hata haujali.
sasa kila mmoja wetu hapa anaona unaenda chooni na maji badala ya tishu, si wanajua tu umetawadhia maji? Uongo gani natunga wakati ni kweli natumia maji? Sina mazoezoea ya kutumia tishu, maji ndio nimezoea kujisafisha, sijidhalilishi elewa hivyo
 
choo kila mmoa anaenda na maji au tishu, ukienda na maji unaonekana unaenda kuyafanyia nini chooni
 
Aisee! Na wao wanakuwepo huko chooni Wakati unajisaidia!? Wamejuaje unajiosha na maji!?
choo hakina bomba, kila mtu anaenda na maji yake au tishu zake, kuna mpaka makaratasi kujifutia baada ya kwenda haja kubwa. Sina mazoea ya kutumia tishu/makaratasi au majani mapana ya miti
 


Vifaa vyote kama hutajua kutumia utajipaka tu, kwani maji hujipaki kwa kugusa hasa! Solution kama hujui unaanza na Tp unamalizia na hayo maji tiririka, au bila maji tiririka, kwa uangalifu ukitumia hizo Tp.
 
Hivi ukitembea bila kunawa na maji huko matakoni hamnuki mavi? Samahani lakini
 
Usafi wa mwili ni personal!
Ukiitumia TP vizuri mbona ina cleanse vizuri tu?
Ukipangusa two or three times kule kunakuwa clean kabisa!
Spiritually mbele za Mungu dhambi ndiyo Uchafu siyo Uchafu wa mwili na vile vile hakusema usifanye usafi wa mwili.
Kuhusu kuoa wake zaidi ya Mmoja ni tamaa za wanadamu lakini MMOJA anatosha! Kama Mungu angeliona hilo from the beginning angemwumbia Adamu wake zaidi ya Mmoja.
 
Watu tunaandika vitu fact wengine wanaona ni uongo wa kujitungia. Haya bisheni na hili: basi lilisimama porini/vichakani ili abiria wakajisaidie haja zote mbili. Kulikuwa na majani malaini ya kujifutia, abiria wasio na tishu au maji waliyatumi. Wacha wawashwe huko miswambwetini, kumbe walitumia majani ya upupu bila kujua. Bora siku hizi kuna maji ya chupa yanauzwa barabarani unaweza kununua kwa ajili ya tahadhari ya kujisaidia porini/vichakani. Wale wa tishu huwa wanaacha uchafu wao huku watoto wa vijijini wakipekuapekua wakidhani ni kitu kizuri kumbe ni uchafu tu
 
Ndugu mwandishi huu utafiti wako ni uchuro.

Ulipofika hapa Afrika kusini kwenye uwanja wa ndege ulikuta maji hakuna au ulikosea unakutana na choo cha karatasi, mbio ukapata jibu pasipo kuuliza.

Kwa kigupi hamna kitu hicho, uongo ulikuwa unakaribia kuharibu ukweli
 
Hawatokuamini maana hawatembei sometime kule Zambia umekaa na mtu anatoa harufu
Bahati nzuri nimewahi kuishi na hizo jamii so naongea nachojua. Tuliwahi kuwa na mabishano na hao jamaa, walikuwa wanashangaa kwa nini tutumie maji badala ya tp....ila walikuwa wananuka, tena joto likizidi hukai karibu nao.
 
Wasio wakristo wala waislam vii? Budha, Hindu, Wapagani nk.
Vitabu vya sayansi darasa la 3 ulitoka kapa.
Ila Mayala!!
Kwamba tissue paper zilikiwepo tangu enzi za kuanzishwa ukristo?
Wapo waislamu na wale walioathiriwa na ustaarabu wa kiislamu wanatumia maji, wazungu na walioathiriwa na uzungu wanatumia makaratasi.
Halafu Kuna wengine wanaishi kama mbwa akishajisaidia anasepa zake hana muda wa kujisafisha kwa maji Wala hana muda wa kujisafisha na maji. Kwahiyo hao mabudha uliowataja huenda ni kundi hilo linalonisaidia kama mbwa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…