PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wenzenu kutumia maji ni mfumo wao wa maisha wanaofundishana majumbani.Msikitini tunafundishwa kutumia maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzenu kutumia maji ni mfumo wao wa maisha wanaofundishana majumbani.Msikitini tunafundishwa kutumia maji.
sasa kila mmoja wetu hapa anaona unaenda chooni na maji badala ya tishu, si wanajua tu umetawadhia maji? Uongo gani natunga wakati ni kweli natumia maji? Sina mazoezoea ya kutumia tishu, maji ndio nimezoea kujisafisha, sijidhalilishi elewa hivyoKwa hiyo ulijisaidia na kujitawaza mbele ya masela?? Wewe lazima utakuwa una kasoro siyo bure. Yaani unatunga uongo kwa gharama ya kujidharirisha na wala hata haujali.
Zambia hawana huo utamaduni wa kujisafisha, wapo zaidi kwenye culture zaoHawatokuamini maana hawatembei sometime kule Zambia umekaa na mtu anatoa harufu
choo kila mmoa anaenda na maji au tishu, ukienda na maji unaonekana unaenda kuyafanyia nini chooniMimi siamini kama nchi hii kuna sehemu pana maji ya kutosha lakini watu hawanawi maji,huu mfano wako ni illogical kwa sababu huwezi ukaniaminisha hapa kwamba ilikuwaje mpaka hao unaoita workmates zako wajue ulinawia maji ulipoenda haja.
Maswali ni mengi uliwaaga unaenda choo?ok sawa uliwaaga lakini pia uliporudi ukawaambia ulinawia maji?what for,yaani kabisa ”amenawia maji ana kinyesi mkononi huyo” yaani kabisa haya ndiyo yalikuwa maneno ya wafanyakazi wenzako?andika vitu vyenye kuleta maana bro.
Mzazi wako yeye alikufundisha nini sasa?Sisi waislamu tumefundishwa misikitini namna ya kujisafisha baada ya kujisaidia.
choo hakina bomba, kila mtu anaenda na maji yake au tishu zake, kuna mpaka makaratasi kujifutia baada ya kwenda haja kubwa. Sina mazoea ya kutumia tishu/makaratasi au majani mapana ya mitiAisee! Na wao wanakuwepo huko chooni Wakati unajisaidia!? Wamejuaje unajiosha na maji!?
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.
Hii ni mada ya swali Je Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, kuna uwezekano Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?.
Jambo la leo ni usafi binafsi wa mwili, baada ya kupunguza uzito, wenzetu Waislamu na nchi za Kiislamu, wanatumia maji kujiswafi, lakini Wakristo na nchi za Kikisto wanatumia karatasi laini, toilet paper, kujiswafi kwa kujifuta baada ya ile shughuli, hapa nauliza ni kujifuta au pia kujipaka?.
Hizi dini kuu zote mbili, Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mzaliwa wa kwanza, Ismail, na Wakristo wa ni uzao mzaliwa wa pili, Isaka. Sheria ya Mungu wa dini zote mbili ni sheria moja ya Musa iliyoshushwa kwenye torati.
Kwenye sheria hiyo, Mungu alielekeza namna ya kujiswafi, kabla hujaenda mbele zake na kuelekeza kabisa, lazima unawe kwa maji tiririka!.
Ukristo ulipoingia, wakabadili baadhi ya mambo, ikiwemo kutumia karatasi laini kujiswafi baada ya ile shughuli. Katika pita pita yangu nchi nyingi za Kiislamu, kwenye public toilets zao, kuna maji tiririka, lakini kwenye nchi za Kikristo, kuna TP!.
Sisi Tanzania kwasababu nchi yetu haina dini, public toilets zetu zina both, maji tiririka na TP. Ukisafiri kutokea Dar kwenda Dubai, Doha, Muscat, UAE, kote huko kwenye public toilets zao, utakuta maji tiririka, na TP. Ukienda SA, London, Paris, New York, kwenye public toilets zao, kuna TP only hakuna bomba lolote la maji!.
Japo TP inasafisha, kwa vile ni kavu, inasafisha kwa kupaka, huwezi kulinganisha na maji tiririka ambayo yanasafisha kabisa compared to TP.
Kwa vile sheria ya usafi wa mwili imeelekezwa kidini, na ni Waislamu wanaitekeleza kama Mungu alivyoelekeza, hivyo kuna uwezekano kwenye usafi wa mwili, tukubali tukatae, Waislamu ni wasafi zaidi kuliko Wakristo, na kwa kulijua hilo na umuhimu wa usafi, wanawake wa kisasa wenye kujijali, wanatembea na wipes, na nyumba nyingi za kisasa wanatumia maji tiririka.
Kwa wenzetu Waislamu, wale hata wale wenzetu wao, wakiwa kwenye hali fulani ile, huwa hawafungi na hawaruhusiwi kwenda kuswali Masjid au Msikitini, lakini sikuwahi kusikia hili kwa Wakristu, hivyo wenzetu wale, hata wakiwa kwenye ile hali, wanatinga tuu ibadani mbele za Mungu!, hivyo inawezekana kwenye usafi binafsi, wanawake wa Kiislamu ni wasafi kuliko wanawake wa kikristo?.
Tena usikute usafi huu kwa Waislamu sio usafi tuu wa mwili, ni mpaka moyo na roho, ndio maana wanawake wa Kiislamu wanaweza kuvumilia na kustahimili uke wenza, na ingefanywa survey ya ni wanawake gani akiwa mama wa kambo, anatesa watoto wa aliyemtangulia, a wicked stepmother, mngeshangazwa na matokeo.
Kuna vitu vingi wazungu wametupotosha sisi Wakristo ikiwemo hoja ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu, ndio maana nilimpongeza yule Blaza wangu na kumshauri "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
Nani aliwaambia wazungu na nchi za Kikristo TP tuu inatosha?.
Nimepandisha bandiko hili kufuatia mimi ni mpenda kula kula vyakula locals kila ninaposafiri, Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? sasa sometimes, tumbo linachafuka ukiwa safarini, inakubidi ujiswafi kwa maji tiririka, tumbo linapokutibuka, ukakuta hakuna maji ni TP pekee ni shughuli, hivyo nimekereka sana na hili!. Hawa wazungu vipi?.
WHO wanapaswa watoe muongozo na maelekezo, public washrooms zote lazima ziwe na maji tiririka na TP, ili wale wa kunawa, wawe huru wanawe na wale wa kujipaka, waendelee kujipaka!.
Paskali
Rejea za mleta mada kuhusu Waislamu na Wakristo
- Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo
- Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
- Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?
- Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Hujawahi kukutana na mrembo ukimweka doggie hutamani kuendelea?Mzee mwenzangu umenichekesha sana, mimi kama mzee wa hovyo nakupa 🫡
Hivi ukitembea bila kunawa na maji huko matakoni hamnuki mavi? Samahani lakiniNdio maana ushoga uko sana huko pwani maana mnaingia na kopo la maji chooni kujitekenya mqundu kwa vidole eti ndio kutawadha, halafu hiyo mikono mnatumia kusalimia watu.
Yote hii kisa Muarabu alibuni dini ya juzi sana baada ya Yesu kuondoka, akawaagiza muwe mnajitekenya humo.
Mimi huwa sisalimii kwa mikono hadi nijue dini yako.
Mavi yaliyopo tumboni mwako ulishawahi sikia harufu yake?!Hii mada sijui imenipita wapi waisalamu wasafi wa nini??ok mleta mada ni wasafi wa mwili ila kwenye utumbo kumejaa mavi na muharo
Bahati nzuri nimewahi kuishi na hizo jamii so naongea nachojua. Tuliwahi kuwa na mabishano na hao jamaa, walikuwa wanashangaa kwa nini tutumie maji badala ya tp....ila walikuwa wananuka, tena joto likizidi hukai karibu nao.Hawatokuamini maana hawatembei sometime kule Zambia umekaa na mtu anatoa harufu
Wapo waislamu na wale walioathiriwa na ustaarabu wa kiislamu wanatumia maji, wazungu na walioathiriwa na uzungu wanatumia makaratasi.Wasio wakristo wala waislam vii? Budha, Hindu, Wapagani nk.
Vitabu vya sayansi darasa la 3 ulitoka kapa.
Ila Mayala!!
Kwamba tissue paper zilikiwepo tangu enzi za kuanzishwa ukristo?
Dini ndio utamaduni wenyewe huo, huwezi tenganisha dini/imani na utamaduni.Nimesoma heading tu. Tofautisha dini na tamaduni. Hapa Tz, bila kujali dini, utamaduni wetu ni maji.