Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Mfano wa ndoa aliouasisi Mungu katika bustani ya Eden ni Adam na Hawa Mungu angeona haja angemuumbia wake wanne 😀Tumeelewana Ustaadh?
 
Mtume Paulo alisema ndoa ni optional, ilimradi uweze kudhibiti tamaa! Otherwise Ndoa ni muhimu

Kuna watu maarufu hawakuwahi kuoa
1)Yesu
2)Paulo
3)Eliya
4)Yohana Mbatizaji
Na wengineo 🙏
Usipooa hutakiwi 1. kununua kahaba, 3. usijichue, 3. Wala usiwe shoga.

4. Uwe towashi, mwili wako uwe Sadaka Kwa Mungu.

Kama huwezi kuwa kati ya hao hapo juu, oa haraka mke mmoja tu.
 
Huwezi kumtambua mchawi Kama wewe sio mchawi, kumpata mke mwema lazima uwe mume mwema!

First thing first, ndiyo maana Yesu alisema utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake mengine mtazidishiwa
 
Usipooa hutakiwi 1. kununua kahaba, 3. usijichue, 3. Wala usiwe shoga.

4. Uwe towashi, mwili wako uwe Sadaka Kwa Mungu.

Kama huwezi kuwa kati ya hao hapo juu, oa haraka mke mmoja tu.
Unawazungumziaje padre na watawa wa Catholics
 
Huwezi kumtambua mchawi Kama wewe sio mchawi, kumpata mke mwema lazima uwe mume mwema!

First thing first, ndiyo maana Yesu alisema utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake mengine mtazidishiwa
Hayo ni mapotofu Yako, usihusishe na Neno la Mungu.
 
Mapotofu Yapi mkuu? Kwamba unaweza kumpata mke mwema ilhali mwenendo wako sio mzuri?
Ndo ukubali kuacha mweneno mbaya.

Mungu akupe mke MWEMA. Hairuhusiwi kuonja onja, hayo Si maandazi.
 
Mfano wa ndoa aliouasisi Mungu katika bustani ya Eden ni Adam na Hawa Mungu angeona haja angemuumbia wake wanne 😀Tumeelewana Ustaadh?
Mbona Adam alikuwa na mke kabla ya Eva!
Anaitwa lilith
 
Yeye atakayenikana mbele ya watu NAMI NITAMKANA MBELE YA BABA YANGU ALIYE MBINGUNI
Mpaka hapo amesema ukinikana mbele ya watu na mimi nitakukana mbele ya baba yangu aliye mbinguni,,sasa kwanini mnasema Yesu ni MUNGU wakati ana baba yake?
 
Kwa hiyo Mungu alikufa kwa ajili ya dhambi za watu pale msalabani!?
 
Hahaha Hakujibu mkuu Labda niangalia Kma kajibu
 
Kwa hiyo Mungu alikufa kwa ajili ya dhambi za watu pale msalabani!?
Ndio, aliitoa Roho yake ndani ya MWILI na kuirudisha tena siku ya tatu,

Kisha akapaa Mbinguni, na hata sasa ameketi katika KITI Cha enzi.
 
Na ukimtenga Yesu na Mungu, unaitwa Mpinga kristo.

Karibu.
Mpinga Ni yoyote anayepinga Yesu Sio Masihi...
Na Yeyote atakayesema vinginevyo kuhusu Umasihi..
Kama wewe unayesema Yesu ni Mungu wewe ni Mpinga kristo...
Soma 1 Yohana 4:1-5

[1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

[2]Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.

[3]Na kila roho isiyokiri hivyo haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

[4]Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.

[5]Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
 
Mimi NINAKIRI kuwa Yesu ndiye Mungu pamoja na wanadamu yaani Immanuel.

NINAKIRI Yesu ndiye Mungu na hatenganishwi, ndiye huyo AKETIYE KATIKA KITI Cha enzi sawa sawa na ( (Ufunuo 19:6-11).

Yesu NDIYE MUNGU alpha na Omega, mwanzo na mwisho sawasawa na (Ufunuo 1:8)
 
Ndo uelewe kuwa wote wapingao kuwa Yesu Kristo/ Messiah, Mungu hakuja katika mwili, ndiyo Roho ya mpinga kristo.

Kusema Yesu hatenganishwi na Mungu, ni sawa na kusema Yesu Kristo ndiye Mungu katika form ya mwanadamu!!!

Vipi ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…