Mpinga Ni yoyote anayepinga Yesu Sio Masihi...
Na Yeyote atakayesema vinginevyo kuhusu Umasihi..
Kama wewe unayesema Yesu ni Mungu wewe ni Mpinga kristo...
Soma 1 Yohana 4:1-5
[1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
[2]Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
[3]Na kila roho isiyokiri hivyo haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
[4]Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.
[5]Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia