genesis_
Member
- Nov 9, 2023
- 81
- 117
Hahahah mkuu napenda sana unavyoichambua biblia kwa kweli wewe ni role model wangu nikupe maua yako🙏🏽🙌🏻🙌🏻🙌🏻.Mkuu 😅😅 nakuelewa sana na kwa bahati mbaya ulichosema sio msingi wa Dini unayoamini Ni msingi wa Mila za kiKatolick ambao unaenda mpaka kwenye Council of Ephesus mwaka 431 AD..
Ambao ndo walianzisha Dogma na mila inayoitwa "Theotokos" katika Kanisa...
Maana yake ni Kumsafisha maria na kuwa Mama wa Mungu ...
Maana hakuingiliwa mpaka anakufa....
Sasa huko tupaache nataka tutoke kwenye misingi ya kidini wala misingi yoyote ya ukweli uliopo wala y watoto..
Natka twende kwenge mantiki na logic..
Kuna mwanaume unayemjua ambaye atamlipia Mahari mwanamke Na atakaa naye miaka yote zaidi ya 20 bila kumuingilia (Na zingatia mwanamume ni Rijali)...
Unacholeta ni Wazo la kwenye aprokrifa moja inayoelezea kuhusu uchungu wa maria wakunga waliomzalisha na Jinsi alivyokuwa Bikra na alivyoendelea kuwa bikra baada ya kujifungu...
Narudia Tena Someni Sana ili mtoke gereza la akili
Huwa ninascreeshut baadhi ya reply zako ili nzirudie kuzisoma.
Alishajibu au kaingia mitini🤣