Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Lazima zote zitumike kumhubiri Kristo, maana yeye ni yule yule toka zamani mpaka sasa.Kama agano jipya ni halisi kwanini wanaendelea kutumia agano la kale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima zote zitumike kumhubiri Kristo, maana yeye ni yule yule toka zamani mpaka sasa.Kama agano jipya ni halisi kwanini wanaendelea kutumia agano la kale?
Asili ya NDOA duniani ni Edeni.Yakobo alikuwa na mke zaidi ya mmoja,Ibrahim alikuwa na wake wawili,suleiman nae hivyo hivyo kifupi manabii wengi walikuwa na wake zaidi ya mmoja...nyinyi wakristo kwanini hamtaki tuwe na wake zaidi ya mmoja?
Ukiachana na ilo dini kabla hazijafika africa mababu zetu walikuwa na wanawake zaidi ya mmoja,kwanini nyinyi wachungaji hamtaki tuoe mke zaidi ya mmoja?
Kuna sehemu katika agano la kale yesu ametajwa?Lazima zote zitumike kumhubiri Kristo, maana yeye ni yule yule toka zamani mpaka sasa.
HakikaKataa ndoa, Bora njoo tukae, NDOA NI UTAPELI
Hao manabii na mitume waliokuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja walikuwa wanaenda tofauti na MUNGU?Asili ya NDOA duniani ni Edeni.
Mungu hakukosea kumpa Adam mke mmoja.
Abraham alikuwa mpagani, na Mungu alipomchagua alimtumia hivyo hivyo.
Amen
Ndio yupo sana tu, ila lugha iliyotumika kumzungumzia (figurative language) inahitaji umakini kuigundua.Kuna sehemu katika agano la kale yesu ametajwa?
(Mathayo 19:3-9.)Hao manabii na mitume waliokuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja walikuwa wanaenda tofauti na MUNGU?
Licha ya Utamu unaohubiriwa siku zote ndani ya ndoa. Kwa baadhi imekua ni shubiri.Salaam / Shalom!!
INTRODUCTON.
NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho.
Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu.
Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao kukutana, ni Hadi wamwombe Mungu, Kuzini kabla ya Kuoa kunamweka mtu katika position ya Kuoa au Kuolewa na mtu mume au mke asiye ubavu wako sahihi.
Matatizo mengi ya NDOA na magomvi ni sababu ya Kuoa au Kuolewa na mtu asiye chaguo Kutoka Kwa MUNGU.
Mwanaume anapofikia uamuzi wa Kuoa, shetani huleta wanawake wengi karibu Yako, na Mungu Huwa tayari amemleta mtu sahihi, ukiitumia macho ya MWILI kuchagua mke, utaangukia Kuoa uliyeletewa na shetani, ndomana Kila aliyeoa Huwa na simulizi, hujikuta katika wakati ambapo huhitaji achague, wakati kiuhalisia, atokaye Kwa Mungu, ubavu wako Huwa ni MMOJA tu!!!
Utaniuliza, kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwamba tukioana mke mmoja, mume mmoja, wanawake watabaki bila waume, Hilo Lina sababu na majibu yake, Si Leo.
Utaniuliza pia ikiwa aliumbwa Adam mmoja na Hawa mmoja, kwanini idadi ya wanawake iwe kubwa kuliko wanaume? Hilo nalo majibu yake Si Leo!!
Ulimwengu wa Giza NDOA Yao ni kinyume na NDOA aliyoasisi Mungu, Ulimwengu wa Giza hakuna NDOA, wachawi, mama na mwanae wanajamiiana, USHOGA ,USAGAJI,kujamiiana na wanyama na Kila UOVU,umeanzia katika Ulimwengu wa Giza,Kisha kuletwa duniani, huko hawana mipaka, ni tafrani tupu.
Ili kuivuruga Dunia, Ulimwengu wa Giza hufanya jitihada juu chini Ili kwenda kinyume na maagizo ya Mungu Ili watu wasioane na kufikia baraka za wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu.
Ibilisi na shetani ajua akivuruga NDOA Takatifu atavuruga uzao wa mwanadamu, sababu watoto wakipatikana na kutunzwa vizuri katika taasisi aliyoasisi Mungu, watazaliwa watoto watakaomcha Mungu.
NINI HUTOKEA WAWILI, MUME NA MKE WANAPOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA KIMWILI NA KIROHO?
Katika mwili, anaposimama Mchungaji kufungisha NDOA Takatifu kati ya mke na mume KIMWILI,
Pia, Katika Ulimwengu wa Roho pia wawili Hawa huunganika, Mungu akiwa shahidi.
Muunganiko huo hutokea Kwa Mfano wa nyota mbili zenye uelekeo tofauti angani, zinapokutana na kupata crash, nyota na Nuru kubwa huzaliwa sababu ya muunganiko huo. Na mng'ao huongezeka sana.
Mamajusi, alipozaliwa Yesu, wao waliona Nyota yake, na ilionyesha nini Yesu amebeba, lakini Kwa watakatifu, hatuchunguzi Nyota, sisi huomba Mungu atuzidishie mafanikio Kutoka KIBALI tulichozaliwa nacho.
Kila mtu ana KIBALI, KIBALI Kutoka Kwa MUNGU ndiyo Bahati na mafanikio ya mtu huzaliwa nazo Toka tumboni, Mtu mume na mke sahihi wanapoungana katika NDOA Takatifu huunganisha KIBALI Cha mke na KIBALI Cha mme na kuwa kitu kimoja. Nguvu na uwezo wa mafanikio ya mke na mume sahihi Huwa hayazuiliki, baraka Huwa ni mara mbili, na hatua zao Huwa za haraka sana.
Narudia, hakuna mchawi au Pepo awezaye kuzuia mafanikio ya mtu mume na mke waliofunga NDOA sahihi Walio mwili mmoja, kuwatenganisha hao ni Hadi uvunje NDOA kwanza ndipo uweze kuwatenganisha.
Mafanikio Yako kijana yapo katika NDOA, watoto na uzao sahihi umo katika NDOA sahihi, jambo muhimu la kuzingatia, ni upate Mume au mke sahihi aliye Ubavu wako.
HITIMISHO.
NDOA na iheshimiwe na watu wote, vijana wajitunze na kutunza bikira zao kabla ya Kuoa na Kuolewa Ili kupata baraka za NDOA.
Usipojitunza, usipotunza Bikra Yako, utapata wa kufanana nae, Pipa na mfuniko.
Kwa Leo niishie hapa.
Mungu na Awabariki.
Karibuni.
Amen
Baba wa wazinzi wakataao NDOA na baba wa wachawi ni MMOJA, Ibilisi/shetani.Kataa ndoa, Bora njoo tukae, NDOA NI UTAPELI
Kuoa mke au Kuolewa na mume asiye ubavu wako ni kukumbatia miiba.Licha ya Utamu unaohubiriwa siku zote ndani ya ndoa. Kwa baadhi imekua ni shubiri.
Wanandoa wameoana bila kua na Uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya ndoa.
Wakazingatia zaidi vichocheo vya kimwili na sio upendo..
wako wanajutra sasa maeneo mbalimbali mtaani, wamekua ni wanaharakati sasa wa haki sawa kwenye ndoa...
Na wameshaanza na wanazibomoa kwelikweli..
Kuoa mke au Kuolewa na mume asiye ubavu wako ni kukumbatia miiba.
MKE hapatikani Kwa pesa, mke Si Kwa ajili ya tamaa ya macho pekee,
MKE au mume ni reflection ya familia ya Mungu duniani.
Watu wamuulize Mungu kabla ya Kuoa, atawapa mke au mume sahihi.
Amen
Kukiuka agizo la Mungu juu ya NDOA Takatifu ya mke mmoja na mume mmoja ni kumtii shetani.Kataa ndoa, Bora njoo tukae, NDOA NI UTAPELI
Yesu aliwaita uzao wa Nyoka!!Hao wapinga ndoa ww waulize mmetokea wapi mitaani au gesti!?
Ukioa Pepo katika form ya kibinadamu, au ukaoa asiyekuwa ubavu wako, lazima ufe mapema Kwa stress!!EPUKA BIASHARA HII, IMEUA WENGI!
Ingekuwa kheri kwako kukubali kuwa u kipofu Ili ushikwe mkono kuelekezwa njia sahihi.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu.
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani.
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima.
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani.
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”.
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
Asante. Jibu la utapeli wako hilo hapo
NDOA halali ni ya mke mmoja na mume mmoja,Ndoa haifungwi kanisani na mchungaji hafungishi ndoa ule ni ushahidi tu, Ndoa nia agano la kiroho na inafungwa mara Moja tu basi kwenye maisha ya mwanamke nayo ni siku ile tu anayoitoa bikra yake.
Ndoa za sasa ni maigizo ya ndoa, mwanamke mchafu na mzinifu anaokotana na kijana wanaenda Kwa mchungaji (pengine ni mlevi, muongo, muasherati nk) anawaambia kuanzia Leo ninyi ni mke na mume na wenyewe ndio wanaota ndoa takatifu.
Ndoa ni agano, ukisikia mfalme Suleiman alioa wake zaidi ya mia Saba sio kama alikuwa anafungishwa ndoa kanisani ni wanawake aliowatoa usichana.
Hesabu 31: 17- 18 Mungu aliagiza hivi
'
Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume.'
Wanaosema kataa ndoa ,wengi hawamaanishi kile wasemacho hapa jukwaani wengi ,wameoa na wanaishi na wake zao, na inawezakana hawana sauti ndani ya nyumba.Hao wapinga ndoa ww waulize mmetokea wapi mitaani au gesti!?